makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Walichofanya Unitree Robotics kwenye Chinese New Year Gala 2025&2026 ni mabadiliko na maendeleo makubwa ya AI lakini napata hofu

    Walichofanya kampuni ya maroboti kutoka China Unitree Robotics katika sherehe za mwaka mpya wa kichina 2025 na hii ya juzi tu hapa ni kuonesha kwa namna gani haya mataifa makubwa kama China walivyo shupalia suala zima la AI na maendeleo yake. Lakini mimi hii teknolojia ya AI toka kuanza...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 The economist: Samia Suluhu Hassan ameisababishia matatizo makubwa Tanzania, toka nchi ipate uhuru

    Jalida kubwa kabisa duniani, limemwelezea Samia Suluhu Hassan kama kiongozi aliyeiletea matatizo makubwa sana Tanzania toka nchi ipate uhuru. The Economist wanasema chini ya Samia, Serikali imeua watu wengi kuliko watu waliouliwa na Mjerumani kwenye Majimaji War. Chini ya Samia kumeshuhudiwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bila shaka tumejifunza kuwapa madaraka makubwa watu kutoka kanda ya ziwa tushaona wapoje

    Bila shaka kila mtu ameona nini kitatokea Iwapo tukiwapa madaraka makubwa watu kutoka Kanda ya ziwa maana tumeona mtu kama mwendazake alipewa madaraka makubwa tumeona alichokuwa anafanya yaani hawa watu wa kutoka kanda ya ziwa hawa wasukuma ni wabinafsi Wanajificha kwenye kichaka cha upole ila...
  4. JamiiForums Tanzania Uvunjifu wa sheria unaoendelea haukubariki utachochea maandamano mengine makubwa nchi nzima na hatutaomba ruhusa kudai hiki zetu

    Uvunjifu wa sheria unaoendelea haukubariki utachochea maandamano mengine makubwa nchi nzima na hatutaomba ruhusa kudai hiki zetu
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke jitahidi uyajue mafuta ya Miski haswa kwa wenye maumbile ya kike makubwa.

    Ukiwa kama mwanamke jitahidi uwe na mafuta ya miski halisi itakusaidia kufanya uke ubane, inarudisha joto asilia na inaondoa harufu mbaya ya uke. Uke unakuwa mdogo mnato kama wa mtoto.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ubakaji, Kutesa, Kuua, Kupoteza? Makosa ya Samia ni makubwa mno machawa zidisheni maombi. Hapa haponi mtu

    Hakika angechezea tu Uchaguzi pengine angeepuka adhabu na mauti inayomnyemelea kwa sababu ujinga kama huo wanaufanya Kagame, Museveni, Paul Biya na wengine wengi.. Kuna ushahidi kuwa dunia hupotezea ujinga na wizi wa kura katika chaguzi za Afrika kwa sababu hakika ni ujinga tu. Lakini Unateka...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuitisha maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu

    Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu. Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana. Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TRA: Makampuni Yenye Madeni Makubwa ya Kodi Yasiyofanya Kazi – Je, Kuna Njia Bora ya Kuyarejesha Kwenye Mfumo Rasmi?

    Ningependa kutoa ushauri wangu kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu changamoto ya makampuni na biashara zenye madeni makubwa ya kodi lakini ambazo kwa sasa hazifanyi kazi au zimekwama kabisa. Kwa uhalisia, biashara nyingi hazikufa kwa makusudi ya kukwepa kodi, bali kutokana na mazingira...
  9. JamiiForums Tanzania Kuendelea kuteka na kuuwa na kuendelea kuwashikiria watu mateka na kutofanyika kwa mabadiliko yoyote kutochochea maandamano mengine makubwa

    Kuendelea kuteka na kuuwa na kuendelea kuwashikiria watu mateka na kutofanyika kwa mabadiliko yoyote kutochochea maandamano mengine makubwa. Vitendo hivi wananchi hawavichukulii kama vitisho bali vinachochea moto na hasira lazima maiti ziachiliwe, mateka wote na wafungwa wa kisiasa waachiliwe...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania ikisimamia Sheria vizuri itafanikiwa zaidi ya Mataifa makubwa

    Changamoto inayoisumbua Tanzania ni kulega kwa misimamo ya kusimamia Sheria zake na si vinginevyo Tanzania ijikite zaidi kwenye kusimamia Sheria zake itafanikiwa kuliko hata Mataifa makubwa Tanzania ina Sheria nzuri sana za kukuza Uchumi wa Taifa lake lakini bado haijaweka mkazo kwenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye madeni makubwa zaidi duniani

    Madeni ya umma barani Afrika yanaendelea kuwa changamoto kubwa kwa nchi nyingi, huku viongozi wa bara wakitafuta suluhu endelevu ya mgogoro huu unaokua kwa kasi. Mwezi Mei 2024, Umoja wa Afrika uliandaa mkutano wake wa kwanza kuhusu madeni ya umma mjini Lomé, Togo, ambapo ilibainika kuwa zaidi...
  12. JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Je, kuna uhusiano gani kati ya madaraka ya Urais na kuzeeka mapema?

    Wanajamvi heri ya mwaka mpya 2026. Baada ya kunywa Balimi zangu kadhaa, nimejiuliza, hivi URAISI una nini hasa kuwafanya watu (Maraisi) wawahi kuzeeka kwa kasi ya kutisha? Je, ni majukumu mazito ya kuelemea mtu kiasi gani kumfanya mtu (Raisi) azeeke kwa haraka? . Uraisi una siri gani mpaka mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Mafanikio makubwa ya IDF kwenye uwanja wa Medani 2023/2024/2025!!

    Maangamizi mkubwa zaidi wa magaidi uliofanywa na IDF katika miaka miwili iliyopita: Walioangamizwa na Wasifu wao kwa mwaka (2024): 1) Salee al-Arouri Naibu kiongozi wa kisiasa wa Hamas, mwanzilishi wa tawi la kijeshi la Hamas 2) Marwan Issa Naibu kamanda wa tawi la kijeshi la Hamas 3)...
  14. JamiiForums Tanzania Kuzaliwa kwa Magufuli Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana, nchi hii inastahili vilaza pekee, siyo watu wenye akili kubwa kama magu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kitendo cha Magufuri kuzaliwa Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana Taifa hili ni la vilaza watu wenye akili kama Magufuri hawakutakiwa kabisa Magufuli kalikuta taifa hili miaka 60 ya uhuru halina hata ki fly over cha mchongo yeye...
  15. JamiiForums Tanzania Nyerere hakutaka jambo lolote aliloanzisha libadilishwe, Rais aliyetaka kubadilisha alijiingiza kwenye matatizo makubwa

    Ni vigumu sana kuzungumzia Chama Cha Mapinduzi pasipo kumhusisha Mwl Nyerere Hii ni kwasababu Chama Cha Mapinduzi kinaishi kwa kufuata misingi ya Mwl Nyerere Mambo yote aliyoanzisha Mwl Nyerere hakutaka kuona yakibadilishwa Raisi yeyote yule aliyemfuata na akajaribu kubadilisha basi alijikuta...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza Taarifa za Mashuhuda na Wahanga, Mauaji Makubwa ya Watanganyika Yalisababishwa na Chuki za Wazanzibari kwa Watanganyika.

    Ukifuatilia kwa umakini maelezo ya mashuhuda na manusura wa mauaji ya Watanganyika yaliyofanyika kwa siku 3 mfululizo kuanzia tarehe 29 Oct, ni dhahiri mauaji makubwa ya holela yalifanywa na askari wa kutoka Zanzibar, nao waliyafanya hayo kwa misingi ya chuki dhidi ya watanganyika, na siyo...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Anapaswa Kuwa Mtu Mwenye Maono Makubwa na Upeo Mkubwa Kiakili

    Samia Suluhu Hassan hana sifa hizo ndiyomaana anapambana kuua watu wenye upeo mkubwa wa akili wanaomwambia ukweli. "Ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali inakosea" Maxence Melo.
  18. JamiiForums Tanzania Bora angeendelea kutawala Malkia tu sasa hivi nchi ingekuwa na maendeleo makubwa sana

    Wakuu Habari zenu? Bora angeendelea kutawala malikia maana waliochukua nchi na kuona wanaweza kujiongoza mpaka sasa wako kwenye kuangaika na vyoo vya kujisaidia baada ya miaka 64 ya uhuru kwa maana ya kwamba walikuwa hawajui haya mambo yalitakiwa ya fanywe miaka ya 90 huko? Au ndio wanaangaika...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Samia amefanya makubwa halafu kuna Wapumbavu wanasema hakuna alichofanya na wanahamasisha maandamano!

    Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel akizungumza na Wananchi Mkoani Kilimanjaro amesema hakuna Rais aliyefanya makubwa ndani ya miaka minne kama alivyofanya Rais Samia. Upande wa Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Dkt. Mollel ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo la Siha...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z watoa taarifa kuelekea maandamano makubwa Desemba 25 (D25) hadi mwaka mpya wa 2026

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1 Itolewe kwa Uharaka Dar es Salaam, 12 Disemba 2025 Na. 028 Tunatambua wazi kwamba Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na vyombo katili vya ulinzi na usalama na tume batili ya uchaguzi wamefanya uhaini wa kupindua mamlaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…