Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Septemba 27, 2026, ametembelea Maktaba ya Taifa ya Qatar (Qatar National Library) jijini Doha, Qatar.
Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu amepokelewa na Rais wa Maktaba hiyo, Dkt. Mohamed Bin Ahmed Bin Twar Al Kuwari, na kupata fursa ya kufahamu...