makongamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natamani kuwepo na makongamano ya self awareness ya kusaidia vijana kujua sababu kuu ya ukapuku na fujo zetu ni sisi wenyewe watu weusi.

    Ishu sio kujilaumu kwa mtiririko huu Ila kujua kweli, ili tujiondoe katika utumwa wa victim mentallity wa kufundishwa kulaumu wazungu huku anaekufundisha kulaumu anatumia mwanya huo kukuminya wenye wewe mwafrika mwenzake. Truth prevails, truth heals, right? Tukijua ukweli kuwa kuna jamii...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nyuma ya pazia: Wanayopitia Waamini wanaofika kwa Mwamposa kwenye makongamano ya kidini

    Hufika Kawe wakiwa na matumaini ya kupata huduma za kiroho, na kwa wengi wao matumaini hayo hutimia. Lakini kwa baadhi, safari hiyo hubadilika na kuwa mapambano ya kutafuta malazi, chakula na nauli ya kurejea nyumbani. Ni katika mazingira hayo ndipo huibuka simulizi ambazo hazisikiki jukwaani...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya makongamano na shughuli za ibada Tanganyika Peaks–Kawe, nani anawajibika kwa usafi wa mazingira?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, eneo la Tanganyika Peaks–Kawe limekuwa likihudumia shughuli mbalimbali kutokana na kufanyika kwa makongamano ya kidini, hususan ibada zinazoratibiwa na Kanisa la Arise and Shine (maarufu kama kanisa la Mwamposa). Viwanja hivyo vimeendelea kuwa na shughuli mbili...
  4. JamiiForums Tanzania Tunapoteza muda, maandamano ya amani ni kwa ajili ya makongamano

    Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti kisingizio Samia atoke, wazee huyo hawezi kutoka kwa amani mnapoteza muda Kama mmekosa kazi za kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Kingereza kingi na presentation nyingi kwenye makongamano ya Ulaya sio hoja ya kuzuia uchaguzi!

    Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi . Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu. Acheni utoto !
  6. JamiiForums Tanzania Madai 20 ya Lost Genarations: Tunataka yafuatayo kutoka Serikali ya Rais Samia yafanyiwe kazi

    Kwako mheshimiwa Samia Hassan Rais wa Tanzania, Tunahitaji maswala yafuatayo yatatatuliwe kwa faida yetu sote, hii nchi ni ya Watanzania wote, kama kuna kuteseka tuteseke wote na tufurahie maisha wote. 1. Serikali iachane na Uraibu wa Magari ya Kifahari ambayo ni mzigo mkubwa sana kwa walipa...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuyaepuka sana wakati wa maombezi kwenye makongamano na semina

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 =================================================================================== Ujumbe Maalumu Kwa Mitume, Manabii, Wachungaji, Maaskofu, na Waumini Vituo Vya Maombi na Maombezi Duniani; _______________________________________________________________________________ Ipo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wanapata wapi fedha za matamasha, hafla na makongamano wakati kila siku tunakopa huko Duniani?

    Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe? Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi? Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Mtume wenu Mwamposa hupenda kufanya Makongamano yake Tanganyika Packers hasa tarehe hizi?

    Hasa hasa kila tarehe za mwisho wa Mwezi kuanzia 25 hadi tarehe za 7 na 9 za Mwezi mpya. Natamani mno kuuona akiandaa Makongamo yake tarehe za kuanzia 11 hadi 22 za kila Mwezi. Nimemtaja hapo Mtume wenu kwakuwa Mimi siyo Mtume wangu na nikiwasoma Watume wakweli katika Biblia na Historia...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi :Walamba Asali kuandaa makongamano, maandamo ya makundi mbalimbali , ikiwemo ya kigeni Rasimi, ili mgeni Rasimi amchambe Dkt Bashiru

    Wakuu, Msiombe Mwanafamilia kusimama aseme Ukweli na kukemea maovu yanayoendelea ndani ya familia Unaambiwa utaitwa Kila jina, mchawi wewe, huna shukran wewe, msaliti wewee n.k !! Ndiyo hayo anayopitia Mh na Dkt Bashiru !! Dkt Bashiru kaamua kutumia sauti yake kufikisha ujumbe wa...
  11. JamiiForums Tanzania Makongamano ya aibu na makongamano ya haiba

    (sehemu 1) Kwa mada hii nilikuwa na vichwa vingi vya kumwaga. Kwa mfano, ningeliweza kuiita “WAAFRIKA HATUKO SAWA NA WENGINE” au “WAAFRIKA WAMOJA, HATUVAI MBILI.” Vichwa vyote hivyo vingeliweza kuwa muhtasari sahihi wa maudhui ya mada hii. Ninasema kwa jinsi tunavyofikiri, kuamua na kutenda...
  12. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkiishamaliza makongamano ya Katiba Mpya nchi nzima, mtafanyeje?

    Sasa hivi naona mnaelekea kumaliza nchi nzima kwa makongamano ya katiba mpya! Lakini sioni kama kuna tija yoyote mlipoishapita pote wala wananchi hawana Habari na katiba mpya, Mnafanya tu vituko mara mwende uwanjani na blauzi za katiba mpya, mara muingie kanisani na blauzi za katiba mpya...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaohudhuria makongamano ya wanawake tuweleweje?

    Kongamano la wanawake mwanaume unawezaje kuhudhuria na kujichanganya kabisa na wanawake kama mwenzao? Niliona Dodoma Rais aliitisha kikao na wanawake nikashangaa midume imehudhuria. Halafu cha kushangaza zaidi SSH aliposema mwaka 2025 ni zamu yao wanawake kuweka rais wao mwanamke mwenzao...
  14. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mawakili wa shetani kwenye makongamano ya siku ya Nyerere.

    Zamani kanisa katoliki kama linataka kumfanya mtu kuwa mtakatifu lilikuwa linaajiri mtu fulani wa kuitwa Advocate Dei(wakili wa shetani). Kazi yake ilikuwa ni kuchambua mabaya ya mtu huyo na kujenga hoja kuwa hafai kuwa mtakatifu. Kwahiyo, huyu mtu anayepewa utakatifu alikuwa ni bora sana...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie vizuri bajeti za matamasha na makongamano

    Wakati Tanzania tunakabiliwa na changamoto nyingi mno za kijamii, imezoweleka Sasa kuona Serikali ikifanya mikutano, warsha, na sherehe mbalimbali ambazo gharama zake ni zaidi ya umuhimu wake. Gharama hizo zinahusisha na uhanasishaji, muda wa kutoa huduma kwa wananchi kwa vile maofisi yanakuwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Makongamano ya kudai Katiba Mpya, Haki za Msingi ziheshimiwe

    Kudai haki za msingi za yeyote ni masuala yasiyo hitaji ridhaa za asiyehusika na hasa mlalamikiwa. Haki za msingi kwa mlalamikaji haziwezi kutegemea ukubali wa mlalamikiwa. Mlalamikaji na ategemee machungu kamili kutoka kwa mlalamikiwa, ujira wa kutokuchoka kwake ni kupatikana kwa haki husika...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA, hiki ndio kipindi cha kuandaa makongamano mengi ya Katiba Mpya

    Ni wazi kabisa kwamba Serikali (CCM) imedhamiria kufubaza harakati za kudai katiba mpya Tena kwa nguvu zote, na hii ndio maana ya kumbambika mbowe kesi ya Ugaidi. Lengo lao kubwa ni kuwatisha Ili mpunguze Kasi, Kesi ya mbowe itapigwa danadana Sana mpaka pale ninyi mtakapo ishurutisha serikali...
  18. JamiiForums Tanzania Ratiba mpya ya Makongamano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi kutolewa agosti 5

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika katika Mkutano wake na wana habari uliofanyika makao makuu ya Chadema . Amesema Makongamano ya ndani ni haki ya kikatiba ya vyama vya siasa , hivyo hawana sababu ya kuyasitisha . Ushahidi wangu : Kauli ya Msemaji wa Jeshi...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mbowe, unataka tujikinge na Covid-19 au tufanye makongamano?

    Hakuna mahali wala nchi ambapo chanjo ya corona ni lazima. Watu tunajiamulia. Kwangu mimi nimeifanya lazima. Ila mke Wangu na wanangu wao wanaona heri kupima Mara nyingi kwa kuwa hawana uhakika na hizi chanjo na matokeo yake. It’s a free decision. Mwenyekiti wa CDM kafiwa majuzi na ndugu yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…