makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu

    Wakuu, Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia. "Hakuna kituo chochote...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Makonda si ungesema umeandaa press conference ya kujijenga kisiasa?

    Nafuatilia mkutano wako ITV kwa wananchi uliouita ni Taarifa ya miezi 6 ya utekelezaji wa majukumu ya Serikali mkoani Arusha. Lakini ninachosikia kupitia kwa waandishi kina Zembela uliowaandaa, maswali mengi kuhusu Matendo Yako binafsi kama Makonda. Hakika ungesema uko kwenye kampeni za...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Zuio la kusafiri Marekani lilikuja sababu ya kupinga masuala ya ushoga

    Wakuu, Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu. Makonda akijibu swali hili amesema kelele hizi zilianza alipoanzisha...
  4. N

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, Umeshindwa kujifunza kwa Paul Makonda na Petro Magoti?

    Hivi ni wewe ULIKUWA Kagera wakati wa tetemeko la ardhi wakati ule...naomba nikumbushwe, sikumbuki kama tayari ULIKUWA siasani. Ukaenda Kagera dege la precision likaanguka pale kwenye maji, palikuwa na uchelewaji mkubwa wa kuokoa majeruhi na Vifo (ndipo walipozaliwa nyota wapya kina Majaliwa)...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuzungumza na wanahabari kuhusu Ripoti yake ya Miezi Sita

    RIPOTI YA MIEZI 6 YA MHE. PAUL MAKONDA (MKUU WA MKOA WA ARUSHA) Mhe. Paul MAKONDAAtazungumza na Waandishi wa Habari Jumapili Novemba 17, 2024 Ukumbi wa Simba Hall AICC - ARUSHA Kuanzia Saa 9 Kamili Mchana. TUKIO HILI KUBWA LITAKUA LIVE KUPITIA @WASAFITV NA YOUTUBE WASAFIMEDIA ...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga kwanini msijenge uwanja wenu (Stadium) kwenye eneo mlilopewa na Rc Makonda enzi hizo?

    Yanga mlipewaga eneo na Rc Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar. https://www.mwananchi.co.tz/mw/michezo/yanga-kujenga-viwanja-vitatu-eneo-la-makonda-2976210 Hilo eneo bado lipo. Hayo mabilioni ya kununua wachezaji wazee mngetumia kuendeleza eneo alilowapa Makonda, huko Kigamboni. Na mgekuwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Donald Trump kabla ya Uchaguzi alijikabidhi mbele ya Mungu

    Donald Trump kabla ya Uchaguzi alijikabidhi mbele ya Mungu. Ni sawa kabisa na yule kiongozi pendwa mara kwa mara tunapomuona misikitini na makanisani alijikabidhi kwa Mwenyezi Mungu. Inapendeza sana, hata CHADEMA huwa tunaanza na Mungu. Siku njema. Soma: Donald Trump ashinda Urais wa...
  8. JamiiForums Tanzania RC Makonda aagiza Wazee na Viongozi wa Dini kutopanga foleni kwenye ofisi za Umma

    Wakuu kumekucha salama? Huko Arusha Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda ameagiza kupewa kipaumbele kwa Viongozi wa dini na Wazee wote wa Mkoa wa Arusha pale watakapokuwa kwenye Ofisi zote za Umma Mkoani humo kwa ajili ya kutafuta huduma. Mbele ya waumini wa Msikiti Mkuu wa Bondeni Jijini Arusha...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ikimpendeza Rais Samia amuhamishie RC Makonda Mwanza

    Kumepoa sana , kwa ubunifu wa Makonda ndani ya Muda mfupi Mwanza itaipiku Mama waletee hawa watu Rc Makonda .
  10. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa RC Makonda kuboresha makao makuu ya polisi Arusha

    Maeneo ni mengi ambayo binafsi naona uwepo wa Mh Makonda umefanya uboreshwe. Mojawapo ni kituo cha polisi central pamoja na makao makuu ya mkoa (ofisi ya RPC) Hakika yanaendana na hadhi ya Arusha. Hongera sana Makonda. Endelea kuangazia maeneo yote na kuhimiza utendaji wa kuzingatia huduma...
  11. JamiiForums Tanzania Paul Makonda awakabidhi Arusha timu ya Coastal Union ya Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametangaza rasmi kuwa timu ya Coastal Union ya Tanga, maarufu kama "Wagosi wa Kaya," sasa itaanza kutumia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kama uwanja wake wa nyumbani. Hatua hii inalenga kukuza mchezo wa soka mkoani Arusha, huku pia ikileta manufaa makubwa...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Makonda apiga chai na maandazi wakati akitoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kujiandikisha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la Mkazi, ili kuwa sehemu ya maamuzi ya kuchagua viongozi wanaohitajika kwenye ngazi ya vijiji na vitongoji. Makonda ametoa wito huo, Alhamisi, Oktoba 17, 2024...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ndiye Mkuu wa Mkoa bora wa wakati wote

    Povu rukhsa! Nikiri tu kuwa mimi ni muumini wa mtu yeyote anayetumia akili yake vizuri. Makonda anajitofautisha sana na viongozi wengine hapa nchini. Yeye ni mchapa kazi na mbunifu sana. kwa sasa mkoa ambao una mkuu wa mkoa makini ni Arusha tu. Tunawaomba viongozi wengine wafanye kazi kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Makonda effect: Nani alishiriki mkutano huu wa Lema juzi?

    Naona kila mtu yupo busy na Landlover festival. Makamanda Arusha tupeni feedback ya mkutano wa Lema wa juzi. Au ndio kashapotezwa na Makonda kwa kukubalika kwa Makonda?
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya kwanza Napongeza Ubunifu alioufanya Makonda Arusha

    Mimi sio mshabiki wa Makonda, kutokana na namna ninavyomjua. Tabia zake binafsi na hulka zake ndo chanzo kikuu cha mimi kutokuwa shabiki wake na kila siku kumpinga kwenye masuala mengi sana. Katika kumfuatilia kwangu tangu akiwa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, then Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
  16. JamiiForums Tanzania Makonda: Kesho kama huna gari aina ya Land Rover, baki tu nyumbani!

    Wakuu, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa siku ya kesho ambayo kutakuwa na tukio kubwa la Land Rover Festival ambalo linafanyika huko jijini Arusha kama huna gari aina ya Land Rover paki tu gari lako nyumbani. Makonda amesema kuwa kwa kuwa kesho kutakuwa na msafara wa gari...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema: Land Rover Festival ni mkakati wa watu wasijiandikishe

    Uandikishaji kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa umeanza rasmi leo, tarehe 11 Oktoba, 2024, na utaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Hatua hii inampa fursa kila Mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda anahalalisha uvunjifu wa sheria? Hizo kesi anazosema auziwe yeye atazimaliza vipi au anatuma ujumbe gani?

    Makonda anaalika watu wenye Range, Doscovery nk kwenda Arusha kwenye tamasha la land rover festival 2024, huku akieleza kuwa watakaokwenda wakiwa njiani wakipata changamoto yoyote wamwambie Huyo Askari wa Barabarani ampigie Makonda, yaani kesi zote auziwe yeye Makonda, waseme Makond ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Team Land Rover wapita Mwenge kwa Mbwembwe kuelekea Arusha kwa Makonda kwenye Land Rover Festival

    Mambo vipi Wakuu! Team Land Rover wako njiani kuelekea Chuga wakitokea Dar es Salaam, na hivi ndivyo walivyopitia Mwenge, kuelekea Arusha ambako wanataka kwenda kuandika historia Jumamosi hii kwenye tukio la Land Rover Festival 2024, tamasha la kwanza la aina yake katika viwanja vya Magereza...
  20. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Arusha sasa inazalisha Magari aina ya Defender na kuyapeleka Ulaya

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameweka wazi kuwa Arusha imeanza kutengeneza magari aina ya Defender, ambayo sasa yanauzwa Ulaya. Akizungumza kwenye kongamano la Radiolojia lililofanyika leo Oktoba 9, jijini Arusha mbele ya Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko, Makonda ameeleza kuwa magari hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…