makofi

Teddy Makofi is a Zambian boxer. He competed in the men's light welterweight event at the 1980 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Leo nimeshuhudia mwanaume akipigwa makofi na mwanamke

    Tatizo jamaa alijifanya kidume saana, Kaingia mahali kaanza kuamrisha watu kumbe watu wanamchora tu. Mhudumu akazidisha bili, Si akabisha. Jamaa akala makofi. Haha, wakuu sio vyema kujutumua kila mahali.
  2. Je, wafahamu tafsiri ya makofi anayopigiwa Kassimu Majaliwa? Mlinzi wake kuwa MAKINI usibweteke inaweza kula kwako soon

    CCM haitaki kubadilika kulingana na nyakati, Kassimu Majaliwa nyota yake haijafifia hata iweje bado inang'ara sana hata km CCM na Samia mnajitaidi kuizima. Mlinzi wake nimekuona umeanza kubweteka, take care man. umeilinda hazina ya nchi system soon itatoa majibu.
  3. K

    Ni nani anawalipa Online TVs ili washushe Clips za Emmanuel Nchimbi kupigiwa makofi? Ili iweje?

    Hivi karibuni Februari 28, 2026 wakati wa Msiba wa Hayati Polycarp Kadinali Pengo kila mtu anakumbuka kilichotokea kuhusu suala ya kupigiwa au kutopigiwa makofi kwa wanasiasa. Baadhi ya Viongozi wastaafu walipigiwa sana makofi na waaumini lakini wale waliopo madarakani kwa sasa hali ilikuwa...
  4. Kama nawaona Wazee wa Dar es Salaam waliopiga makofi na kushangilia aliposema Who are you?

    Duniani kosa vyote usikose akili Bibi muuaji baada ya kuuwa Watanganyika alijisifia kwa ngebe mbele ya Wazee wa Dar es Salaam kuwa nguvu aliyotumia hadi kuuwa watu ilikuwa sahihi. Zaidi akawauliza Waliomsema kuua, kuteka na kupoteza watu hasa Marekani na Umoja wa Ulaya "Who are You?" Huku...
  5. M

    Chalamila na Msando ni muda wenu wa kuchunga ndimi zenu

    Chalamila na Msando ni muda wenu wa kuchunga ndimi zenu, kuna uwezekano mkubwa mkaingia mikono ya Raia wenye hasira kali
  6. Yanga kuweni na adabu si kila kocha mnapalamia mtakuja kupigwa makofi

    Kocha rhulan mokwena akihojiwa wiki kadhaa zilizo pita, ALIDAI KUWA Kuna KLABU Toka afrika mashariki ilimfuata akakataa. KLABU Haina miundo mbinu hata uwanja WA mazoezi TU ni mtihani Nikajiuliza TIMU zinazo saka KOCHA hapa afrika mashariki ni HIZI za Tanzania hasa NDO zina tetesi zakumfukuzia...
  7. M

    Polepole: Sikubaliani na mambo ya utekaji, dada yangu alitekwa wakamchapa sana makofi

    “Kuhusu mambo ya utekaji, siyaungi mkono. Dada yangu ametekwa jana. Mimi napost post ya kwanza, wamesharuka ukuta. Wamemtia pingu dada yangu. Wamempiga vibao”
  8. Watu wafupi nchini 'Wajukuu wa Samia' (Mr Pimbi, Tausi) watua Bungeni, wakaribishwa kwa makofi mazito

  9. Je angekuwa Mike Tyson ama The Rock je Will Smith ungewapiga makofi

    "Ilinisikitisha sana kuona mwanaume akipigwa makofi na kudhalilishwa namna hiyo tena na Mwanaume mwenzake. Taswira hiyo imeumiza sana nafsi yangu. Ilinikasirisha sana. Naumia sana kuona mtu anateseka namna hiyo, haswa kwenye mazingira ya watu kama haya." Nakumbuka Jazzy Jeff alifanya mahojiano...
  10. Kiboko ya Ali Kamwe, RC Paulo Chacha alitikisa bunge, Wabunge wapagawa na kumpigia makofi mazito

    Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge walipagawa kwa furaha na kumpigia makofi mazito, ishara ya kukumbuka tukio lake na Msemaji wa Yanga...
  11. Netanyahu na wenzake walisema Gaza hamna njaa mpaka congress wakampigia makofi, leo analalamika kuwaona mateka wake hali zao

    Wanaukumbi. All three Israeli captives were starved because of Israel. Israel controls the borders and the aid going in. It is Israel that imposed starvation on Gaza as a whole. The irony is that the same Israelis who claimed there was no famine in Gaza and ignored the suffering of Palestinian...
  12. Huu mchezo wa kuzabana makofi na bongo upo?

    Aisee huu mchezo sio poa yani unazabwa kofi mpk unaskia marue marue. Kibongo bongo mechi zake zinachezewa wapi?
  13. Uchawa hadi msibani! MC awataka waombolezaji wampigie Rais Samia makofi baada ya salamu msibani kwa Mafuru

    Wakuu Nimeshangazwa na namna MC wa msiba aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrance Mafuru alivyoomba waombolezaji wampigie Rais Samia makofi baada ya kutoa salamu zake. Katika mazingira ya msiba, ambapo wengi huwa wamezama katika huzuni na unyenyekevu, ombi hilo lilionekana...
  14. Washtakiwa Wapiga Makofi Wakihukumiwa Faini Ya Tsh 40000/=

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu Watanzania 64 kulipa faini ya Sh40,000 kila mmoja au kwenda jela miezi sita baada ya kupatikana na hatia ya kuondoka nchini kwenda Afrika Kusini bila kufuata taratibu za uhamiaji. Walihukumiwa adhabu hiyo katika kesi ya jinai namba 31302 /2024 ni...
  15. M

    Hivi ni sahihi kuipiga makofi msibani?

    Leo nilikuwa kawe kwenye msiba wa Askofu Jonathan kwanza nilikuwa nahuzuni kweli moyoni. Mpaka pale alipo panda Askofu mkuu wa makanisa ya Calvary akatoa maneno ya kuchangamsha kusahaulisha msiba kidogo moyo ukalainika huzuni ikapungua Katika kuendelea endelea pale akatoa maneno mazuri...
  16. Nimepigwa makofi na mke wangu

    Hii ndoa inaenda kunishimda kwa kweli Na sijui nifanyeje wakuu kwasababu ninawawaza watoto Wangu hiyo inanipa mawazo sijui nifanyeje sijui maana kila siku mimi ni wa kupigwa na mke wangu tu kila mara tu yaani hauipiti siku bila mimi kupigwa na mke wangu kosa sometimes silijui kwahiyo mie nabaki...
  17. Ni sahihi kupigwa na Mwenzi hata kama umekosea?

    Kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea? Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni mwa mashirika ya kutoa huduma za kifedha mjini, ameamua kwenda kuripoti kwa mjumbe baada ya...
  18. Tuliomuona Guede ni Garasa tukutane tunamuomba Radhi na pia tukawawambe Makofi waliotumwa Wachovu Fred na Job

    Kwa Mechi zangu Tatu tu nilizotulia na Kumtizama Kiufundi Guede nimelazimika kuuweka pembeni Usimba wangu na Kubakia Mwanamichezo na Mchambuzi kwa kusema kuwa hakika Yanga SC wamepata Mshambuliaji wa uhakika ambaye Natabiri atakuja kuwasaidia mno. Receiving yake, Positioning yake, Anticipation...
  19. Diwani wa CCM akamatwa kwa kumpiga makofi Mwenyekiti wake

    Diwani wa Kata ya Ilenda, Halmashauri ya Buchosa, Sengerema mkoani Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mneke Mauna anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, akituhumiwa kumshambulia na kumpiga makofi Mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo, Lazaro Lubalika. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  20. PreGE2025 Hofu: Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria aliwazuia Wajumbe kumpigia Makofi Mnyika

    Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo . Yaani Mhagama roho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…