Mnaotafuta Kocha kuna huyo Romuald Rakotondrabe pale Madagascar ✍️👊 Mwalimu sana huyu!
Nabi Nessredine pia hana kazi kwa sasa✅
Jose Riveiro naye hakijaeleweka saaana ✅
Miloud Hamdi atafukuzwa pale Ismailia muda wowote wiki hii ✅
Wengine mnaoweza kuwatafuta:
Miguel Gamondi - Singida Huwa...
Benchi la Taifa stars kichwa cha mwendawazimu, limejaa uswahili Swahili mwingi , watu kama Julio kiwhelu , Juma Mgunda na Hemed Morocco hawafai kuwa hata wafua jezi wa timu ya Taifa ..
Hao ni wahuni tu , ujuaji mwingi lakini maarifa sifuri...!!Kocha mkuu amejaa kiburi kisicho na faida , na...
Wakati msimu unaanza, Miguel Gamondi aliendelea na kazi yake, Ila mashabiki wengi hatukufurahishwa na mwenendo wa matokeo ya ushindi mwembamba, Yanga ilikuwa inashinda lakini kwa taabu, hatimaye Tabora na Azam wakachukua alama. Tukaona isiwe kesi, ikatua mashine ya Kijerumani, pira likaguswa...
Timu nzuri inajengwa na kocha sio wingi wa mastaa, kocha ndio anajua taaluma yake inahitaji wachezaji wa aina gani, PSG iliwahi kujaza mastaa kibao na haikuwahi kufanya vizuri kama PSG hii yenye wachezaji wawili TU wanaojulikana sana Dembele na Hakeem.
Wachezaji kama akina Vitinha alikuwepo...
(1) Kwanini kuna makocha maalum wa makipa na hakuna makocha maalum wa forwards, mildfilders au mabeki??
(3) Kwanini wachezaji wengi wastaafu wakiamua kuwa makocha basi ni wale mabeki, forwards au viuongo wa zamani na sio makipa wa zamani?? Kwanini makipa wa zamani sio makocha wakuu wa timu...
Mara nyingi utasikia watu wanasema "mpira una lugha yake" ila wanachoshindwa kutambua ni kuwa kushindwa kuelewa lugha fulani kunaweza kukupunguzia uwezo wa kuelewa maelekezo kwa haraka na ufasaha na pia kukupunguzia confidence.
Nikiangalia wachezaji wa Simba kama Karabaka, Mashaka, Balua...
Wewe ni kocha umesomea taaluma yako ya ukocha na ukapewa leseni ya ukocha unawezaje kupangiwa kikosi na kiongozi wa timu ambae hana uelewa wowote na taaluma ya coaching?!...
Ifikie hatua haya malalamiko ya makocha kupangiwa timu na viongozi yafike mwisho
Wewe ni kocha ukiona kiongozi...
Hawa makocha baada ya kupigwa na Yanga walitimuliwa wote Kwa nyakati tofauti, hadi Leo hawajulikani wapo wapi? Labda wapi makwao wakilea wajukuu
Yaani hao makocha hawana hadhi hata ya kufundisha championship
Yanga ndo timu inawapa platform coaches, wanakuja Yanga wanapata jina na kuaminiwa na...
Wanamichezo naomba tujadili Kwa kina Matatizo ya Makocha wetu WA mpira miguu hapa nchini.
Kwanini Makocha wetu hawaendi kufundisha nje ya Tanzania.
Wana udhaifu gani na ni changamoto zipi wanazokumbuna ambazo huwafanya washindwe kutekeleza majukumu yao Kwa ufasaha.
Misimu kadhaa iliyopita kuna wakati aliyekuwa kocha wa Simba Robert Oliveira "Robertinho" na kocha wa Yanga Nasridine Nabi walilalamikia wingi wa mechi na umbali ambao wachezaji husafiri baada ya kucheza mechi na kabla ya mechi inayofuata.
Wote wawili walisema umbali na ukaribu wa kati ya...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametoa pongezi kubwa kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia pamoja na timu ya Taifa Stars kwa mafanikio makubwa ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Pia, Soma: Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya...
Its match day!!
Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni.
Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu.
Saa 10:00...
Ni baada ya kipindi cha kwanza kuisha kulizuka mzozo kwenye lango la kwenda vyumba vya mapumziko, baada ya varagati hilo alionekana moja ya makocha wa Singida Black Stars akiwa amelala chini.
I will be short
list yangu ya matapeli since 2014 -
1. Vítor Salvador (Jul 2014 - Jun 2015)
2. Goran Kopunovic (Jan 2015 - Jun 2015)
3. Dylan Kerr (Jul 2015 - Jun 2016)
4. Pierre Lechantre (Nov 2017 - Jun 2018)
5. Patrick Aussems (Jul 2018 - Nov 2019)
6. Sven Vandenbroeck (Dec...
Nikiwa kama mdau na mshabiki wa soka la Tanzania, nami nimewiwa kuchangia hili kwa maendeleo endelevu ya soka la klabu ya Yanga na Taifa kwa ujumla
Nashauri klabu ya Yanga ilete kocha kijana mzawa awe kwenye jopo/benchi la ufundi la kocha wa timu ya Yanga( Dar Young African FC). Hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.