makocha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC inachezea sana hela kwa kuwafidia makocha inayowafukuza ovyo ovyo

    Huyu kocha Graham Potter aliyefukuzwa majuzi amekuwa millionaire ghafla. Tangu Chelsea inunuliwe kutoka kwa billionare Roman Abrahamovich chini ya mwaka imeshafukuza makocha watatu Frank Lampard, Thomas Tuchel na sasa Graham Potter kabla ya mikataba yao kuisha na kuwalipa fidia ya mamilion ya...
  2. Tango73

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba wapenzi wenu wamejifunza nini kuhusu makocha walionao sasa vilabuni?

    Makocha wa yanga na simba wamegeuka kuwa lulu sasa vilabuni mwao baada ya kupitia misukosuko ya kutakiwa kufukuzwa. Ukweli kabisaa nabi aliponea chupuchupu pale yanga iliotoka sare nyumbani dhidi ya africa club ya tunisia na ilingojewa timu ishindwe tuu mechi ya marudiani kabla ya kocha...
  3. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji acha kuwabebesha makocha lawama

    Ubahili wa Mwamedi Ndio chanzo Cha yote haya. Halafu MASHABIKI mbumbumbu wanamtupia KOCHA LAWAMA. Simba Ina wachezaji WATANO TU. Inonga, Chama, Saido, Manula, Kapombe na Shabalala . WACHEZAJI MIZIGO WENGI MNO. Kanute, Banda, Ottara, Okwa, Onyango Umri, Sawadogo, Baleke. WAZAWA. Nyoni, Boko...
  4. Logikos

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Afrika kwa Mara ya Kwanza Makocha wote Wazawa

  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC na Azam FC tafuteni haraka Makocha wapya, Nabi tuliyekuwa tunamngojea atimuliwe Yanga SC jana mmeshamkosa

    Najua mlikuwa mnalificha hili ila kwa wadadisi na wachunguzi wabobezi wa masuala mtambuka nchini Tanzania, Rwanda na Uganda, akina GENTAMYCINE tuna taarifa za uhakika kuwa wote Simba SC na Azam FC mlikuwa mnavizia sana na hata kuombea Yanga SC jana ifungwe na Club Africaine ili Kocha Nabi...
  6. Championship

    JamiiForums Tanzania Makocha kumi bora kuwahi kufundisha mpira wa miguu Tanzania 1990-2022

    Hawa ndio makocha bora zaidi katika soka letu katika kipindi tajwa hapo juu. Kigezo kikuu ni idadi ya vikombe ila pia tumeangalia ubora wa mpira na uwezo wa kuboresha vipaji vya wachezaji. 1. James Siang'a 2. Abdallah Kibaden 3. Patrick Phiri 4. Jack Chamangwana 5. Patrick Aussems 6...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ya Makocha Nabi na Kaze 'Kutukanana' mlibisha haya Kanusheni sasa na la Aucho na Morrison kutukanana jana mazoezini

    "Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga." Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza...
  8. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Makocha 13 kushuhudia Derby ya Simba dhidi ya Yanga leo

    Siku ya leo Derby kati ya wababe wawili Simba dhidi ya Yanga itaweka rekodi ya kushuhudiwa na kufuatiliwa na makocha wa timu 16 za Afrika. Mchezo huu muhimu utashihudiwa na Kocha wa Club Africain ya Tunisia kwani atapenda kuwajua wapinzani wake Yanga atakaokutana nao tarehe 2 November 2022...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tunashinda ila Makocha wa JamiiForums tumsaidie Kocha Mgunda kukipanga Kikosi chake

    Binafsi ningependa zaidi vifuatavyo: Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohamed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Joash Onyango 6. Henock Inonga 7. Saido Kanoute 8. Muzamir Yasin 9. Moses Phiri 10. Clatous Chama 11. Augustine Okra Kikosi B 1. Aishi Manula 2. Israel Mwenda 3. Mohamed...
  10. aka2030

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya hovyo kuwapa wachezaji majina ya wachezaji na makocha wakubwa kutoka nje inakera

    Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake. Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep Guardiola Mnene, hebu waacheni watengeneze utambulisho wao.
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Makocha England waanza kupinga uwepo wa VAR

    Baadhi ya makocha wa Premier League wanataka matumizi ya Teknolojia ya kumsaidia mwamuzi uwanjanani ( (Video Assistant Referee -VAR) kuondolewa kutokana na waamuzi kufanya makosa licha ya kuitumia. Kocha wa Tottenham, Antonio Conte amelalamika waamuzi wa England kushindwa kutafsiri Seria za...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Osama El-labi ni bondia mzuri na anahitaji makocha wazuri tu ili kuja kuwa bingwa wa ndondi hapa nchini.

    Habari Jana usiku nlifuatilia mpambano kati ya emiliano patrick na Osama el-labi,kwa hakika nimevutiwa sana n kipaji cha huyu bondia chipukizi.Osama ametuonesha sisi wapenzi wa ndondi kuwa atakuja kuwa moja ya mabondia wazuri hapa nchini. Wito wangu ni kwa wadau wa ndondi kuweza kumpatia...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wacha mvua inyeshe tuone panapovuja

    Pira la leo litatoa majibu ya viwango vya wachezaji pamoja na makocha kati ya simba na yanga.
  14. Shark

    JamiiForums Tanzania TFF; Makocha wenye CAF Diploma A hawa hapa

  15. N

    JamiiForums Tanzania Somo laanza kumuingia CEO wa Simba, ataka clubs za Afrika kutumia makocha wa kiafrika

    Opportunities ilitokea wazi kwa yule kocha toka Ghana, yule kocha toka Guinea wa Horoya, kama kawaida mkakimbilia wazungu Zoran kalilia nafasi mbili kuingiza beki na foward kila mtu kaona aina ya usajili wake ni bora mara 100 angekuja Harvey ngomo wa cameroon kama beki leo team iko stuck na...
  16. The Boss

    JamiiForums Tanzania Orodha ya makocha EPL waliofukuzwa baada ya kufungwa na Liverpool

    Mourinho kafukuzwa mara mbili na Liverpool...jumla wanafika 6 sasa...hatari sana 1. Jose Mourinho -chelsea, Man U 2. Marco Silva - Everton 3. Fransesco Guidolin - Swansea 4. slaven bilic -west ham 5. slavisa Jokanovic -Fullham 6. scott Perker -bournemouth... Hii list itaongezeka Tu Nani...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Maswali ya waandishi wa habari wetu kwa makocha na wachezaji ni ushahidi wa elimu ndogo

    Baadhi ya Waandishi habari wetu wana walakini ya wazi kabisa. Maswali yao kwa makocha na wachezaji wa nje na ndani yanamtia kichefuchufu hata msikilizaji. Wanaiangusha taaluma ya habari, hayana weledi kabisa. Pia hawajui kiingereza lakini wanataka kuwahoji wachezaji wa timu ngeni.
  18. Ituzaingo Argentina

    JamiiForums Tanzania Al Ahly na makocha wa nje

    Al ahly SC ni club pendwa barani afrika, na hata nje ya Afrika, ni klabu inayoongoza kuwa na many fans nchini Misry na hata all afrikans kwa ujumla, ikifuatiwa na Zamalek kisha Raja Casablanca n.k. Kinachoshangaza timu kama Al ahly why inatumia makocha wa nje, wanakuja kupiga hela tu, wakati...
  19. Tango73

    JamiiForums Tanzania Makocha wazarendo wasiruhusiwe kuifundisha taifa stars

    Ethiopia inafundishwa na kocha wao mzarendo basi imekuwa nongwa eti na sisi tumpatie timu kocha mzarendo kwa sababu misri kafungwa na ethiopia! hii inaonesha kwa kiasi gani watu wanaopenda ushirikina wanataka kutuulia timu yetu ya Taifa stars.hawana nafasi watu hao kumsogelea KIm Paulsen...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Upuuzi: Simba wanaenda kurudia kosa lilelile kwa makocha

    Nimeona taarifa kwamba makocha 100 wametuma cv ,99 ni kutoka europe na south america, mmoja tu wa Afrika na hajakidhi vigezo Hivi nyie viongozi wa simba mnadhani kwa nini walioko Afrika hawajatuma cv? wanajua shobo zenu kwa wazungu, mko radhi mumpe kazi mtu ambaye hajui soka la afika wala...
Back
Top Bottom