Moja kwa moja kwenye mada, Ni ndugu yangu mmoja ameshakamata 40 years mpaka Sasa Ana kazi Ni afisa kilimo na mifugo.
Jamaa Ni hataki kusikia habari ya kuoa, Ni baada ya kupigwa tukio na alokua manzi yake miaka mitano ilopita.
Alishangaa tu anaambiwa manzi yake kaolewa na yeye Hana taarifa...