makampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Makampuni ya China yatoa nafasi za ajira zaidi ya 500 kwenye maonesho ya ajira ya Chuo Kikuu cha UDSM

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kikishirikiana na Taasisi ya Confucius, hivi karibuni kiliandaa Maonesho ya tatu ya Ajira kati ya China na Tanzania baada ya maonesho hayo kusita kwa takriban miaka sita kutokana na changamoto kama vile janga la UVIKO-19. Baada ya kurejea kwake sasa maonesho...
  2. Uraibu wa kamari: Rais wa Brazil atishia kufungia makampuni!

    Rais wa Brazil Lula Da Silva ametishia kuyafungia makampuni yanayojihusisha na michezo ya kubahatisha kupitia michezo mbalimbali mitandaoni ili kuondoa janga la uraibu lililowakumba raia wake! Hela ya chakula mtu anasukia mkeka! Brazil mulls ban on sports betting Brazilian President Lula da...
  3. Market value ya makampuni ya Marekani

    Mchina ananitahidi lakini hawa jamaa ni ngumu Sana kuwapita Hiyo ni orodha ya market value ya baadhi ya Makampuni ya 🇺🇸USA
  4. Tigo na makampuni mengine ya simu njooni mjibu tuhuma hizi kabla hatujawakimbia

    Kuna madai yaliyo tolewa huko London mahakamani kwamba Tigo muliwapa watu fulani data za kumfuatilia Tundu Lissu. Mbona mmekaa fofofo hadi sasa hamseki kitu? Mpaka sasa hamja kanusha kwamba ni ya uongo- kama ilivyo lipotiwa: Firm disclosed phone data of shot Tanzanian politician, UK tribunal...
  5. Uwezo wa Watanzania Ma CEO Makampuni ya Kimataifa, Je Tunao?, Tuna Uwezo?. Big Up Helios Towers, Kuing’arisha Tanzania, Fursa kwa Watanzania!

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mara yangu ya kwanza kutinga New York, kutembelea Makao Makuu ya UN, nilitembezwa sehemu mbalimbali za UN, huku nikitambulishwa kwa staff wa UN ambao ni Watanzania, ukiondoa UN Radio, huko kuingine kote Watanzania ni wa...
  6. Habari nzuri kwa makampuni ya Mabasi: CATL wazindua battery yenye lifespan ya miaka 15!

    Watengenezaji wakubwa wa battery za magari ya umeme CATL jana (tar 13 Sept) wamezindua battery Tectrans Bus Edition kwaajili ya mabasi ya umeme yenye lifespan ya miaka 15 au Kilometa Mil 1.5 na warranty ya miaka 10 au kilometa Million 1. Hii battery ina energy density ya 175 Wh/kg ambayo ni...
  7. Kampuni za simu ziimarishe PIN zake katika huduma za kifedha

    Nayaomba makampuni ya simu yote, nchini kwetu, yaimarishe pin zake katika huduma za kifedha, badala ya 1234 au 1978 au 1785, waboreshe na kuwa #25j au@@01 au%21@ hili litasaidia sana katika kuimarisha usalama kwa huduma za wateja wenu kifedha. Inshaallah! Nambari pekee zimekuwa easy to be...
  8. A

    KERO Makampuni ya mikopo na matangazo yao ya biashara yanaingilia faragha zetu

    Kumekuwa na tabia ambayo imezidi kumea katika jamii yetu na nchi kwa ujumla kwa makampuni ya mikopo kutuma msg kwenye siku zetu wakitangaza huduma zao. Idara za masoko za makampuni ya kukopesha yamekua yakituma msg kwa wananchi kujitangaza ili kuoata wateja. Hofu yangu kubwa ni wapi wanapata...
  9. Makampuni ya mitandao ya kijamii yanatafutiwa dawa kama hayatazuia uzushi mitandaoni

    Umoja wa Ulaya unafikiria kuyabana makampuni yanayotoa huduma za mitandao ya kijamii kutafuta namna ya kuwabana watumiaji wanoitumia kueneza habari za uzushi na uvumi unao hatarisha usalama wa jamii. Many social media companies have invested heavily in content moderation over the years. But the...
  10. Nikikumbuka Mabasi ya Mwendokasi, TAZARA, TRC, KAMATA, UDA, ATC, makampuni ya usafiri ya mikoa KAUDO, KAUMA, KAURI nk sina Imani na SGR

    Wakuu. Hii SGR imeanza kwa mbwembwe nyingi kama zilivyoanza kampuni nilizozitaja hapo juu zikisimamiwa na serikali kama DART ambayo ilianza kwa mbwembwe nyingi kama SGR ikuwa na mabasi ya kisasa yenye kamera, screen, mike zikifanya kazi na mpangilio mzuri wa tiketi hadi kutumia kadi na simu...
  11. Je, ni sahihi makampuni ya mawasiliano kukopesha muda wa maongezi Kwa riba?

    Straight to the point. Nimekuwa nikifikiria Jambo hili na kuona Kama haliko Sawa. Kwanza ukisajili laini na kutaka kukopa muda wa maongezi papi hapo hawakubali. Wanachotaka ni uwe umenunua muda wa maongezi (uwaingizie faida) mara kadhaa ndipo uruhusiwe kukopa. Sasa Kwa kuwa tayar mteja...
  12. Eti Marekani wanachapisha dollar market value ya baadhi ya makampuni ya Kimarekani

    Narudia tena na tena mchina, Russia bado
  13. PreGE2025 Mitandao ya simu inapaswa kutoa ufafanuzi hii kauli ya Nape haitakiwi kupuuzwa hata kidogo

    Tukumbuke tu kwamba kumekuwa na malalamiko mengi ya wateja wa mitandao ya simu, kuktwa salio pasipo kujiunga na huduma yoyote ile. Hivyo basi kwa kauli hii ya waziri, haina budi wahusika watoe ufafanuzi. Je, ni maelekezo kutoka juu? - Malalamiko yangu kwa mitandao ya simu, hasa Halotel na...
  14. Mawaziri kuchukua fedha kutoka makampuni yaliyo chini ya wizara zao ni ufisadi!

    Kumekuwa na tabia iliyozoeleka ya mawaziri kuagiza makampuni na mashirika yaliyo chini ya wizara zao kutoa fedha kugharimia miradi mbalimbali bila utaratibu wa kisheria. Lakini kuna uwezekano mkubwa pia mawaziri huwa wanachukua fedha kutoka makampuni na mashirika kwa ajili yao binafsi! Huu ni...
  15. B

    Hujuma kwa wateja, Makampuni ya Simu yanatoa namba za simu kwa wanaotoa mikopo haramu mtandaoni

    Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. Swali la msingi ni kuwa hawa wanaokopesha wanapata wapi namba za ndugu zako, jamaa, na marafiki ambazo wanazitumia ujumbe kuwataarifu kuwa unadaiwa, umeshindwa kulipa mkopo,na maneno mengine yasiyo na staha. Fikiria mkopeshaji ambaye si tu hajawahi hata...
  16. C

    Huduma ya kujitenga (self exclusion) kwenye makampuni ya kubashiri iwe kwa mujibu wa sheria

    Huduma ya kujitenga kwa muda ama moja kwa moja (temporary self exclusion or permanent self exclusion) kwenye makampuni ya michezo ya kubashiri (online) haipaswi kuwa ni huduma ya hiari kwa watoa huduma bali itengenezewe sheria na kuwa ya lazima. Katika nchi duniani huduma hii inasimamiwa kwa...
  17. S

    Makampuni ya kukopesha mitandani, yameiweka serikalini mfukoni au hii ni biashara ya watawala?

    Katika mambo ya kushangaza hapa nchini, ni uwepo wa haya makampuni ya kukopesha mitandaoni ambayo yanaonekana kufanya hii biashara kiholela lakini kwa kutumia mitandao ya makampuni ya simu jambo ambalo linashangaza sana. Yaani biashara haramu inafanyika huku taasisi za kuthibiti huu uharamu...
  18. Apps kila kona!!

    Wiki kadhaa niliingia CRDB na shida zangu kama mteja. Baada ya kukutana na wafanyakazi na kuwaeleza shida yangu ikawa kama mteja mkorofi. Jamaa nikashangaa wanakuwa wakali, eti "unatakiwa uwe na CRDB App". Nilipowajibu siitaki ikawa kama nimewaambia wasinihudumie, hii imenishangaza kwa kweli...
  19. O

    SoC04 Taarifa Binafsi zinazokusanywa na Makampuni ya mikopo Ya Online ni hatarishi kwa Faragha ya Mtu

    Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama Branch, PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X. Bongopesa Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na Kampuni hizi. Nimejaribu kadhaa na hakuna ya afadhali, unakuta inakusanya taarifa...
  20. Kwanini Makampuni ya Simu yanalazimika kuhuisha namba za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya?

    Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…