Taarifa za ndani ya viunga vya mteuzi zinaeleza, bwana January Makamba ambaye ni Waziri wa zamani hivi karibuni atateuliwa kuwa Balozi
Vilevile, Nape Nnauye inatarajiwa atateuliwa awe Waziri wa habari kwa awamu nyingine na atasaidiwa na Simai. Wizara ya michezo itakuwa Wizara kamili na Mwijuma...