makalio

Andrew Makalio (born 22 January 1992) is a New Zealand rugby union player who currently plays as a hooker for Tasman in New Zealand's domestic Mitre 10 Cup and for the Crusaders in the international Super Rugby competition.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Video ikionesha wadada wakipata wakati mgumu kukaa chini baada ya kufanyia upasuaji katika clinic ya kuongeza makalio

    🤣 Maisha ni mapambano, na hawa wanapambana kukaa.
  2. JamiiForums Tanzania Wadada Wenye Miili Mikubwa Tujitahidi Kujisafisha vyema kupunguza Aibu

    Habari jamani leo naomba nije kasi na haraka maana kituko nilichoshuhudia jana ni aibu kubwa sana. Songa nami. Jana pale maeno ya Ubungo External kulikuwa na shughuli ya kumtoa mtoto 40. Waalikwa walikuwa ni wengi na palikuwa na hekaheka nyingi sana. Sasa basi katika makutano hayo alikuwapo...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume asiyependa makalio makubwa

    Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa? Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
  4. JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna muziki, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio. Sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani

    Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana makali ikiwa hali hii itaendelea Sijajua watu wanaweza kujifunza nini kupitia makalio kama baadhi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

    Tipwa Tipwa wamebaki kwa ajili ya burudani tu za kutolea stress za mihangaiko. Wengine Unakutaga wanahagaika in their 20s, wanauza utu kwa ajili ya starehe na pesa za kuhongwa, wakishafikia 35 sasa ndio wanaanza kutafuta mabwana na kuja na nyuzi humu wakitafuta wazee wa miaka 50 maana wanajua...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi serikali imewashindwz kabisa Hawa jamaa wa tuma kwenye namba hii

    Hivi Kuna watu wantuma pesa kirahisi kabisa mda huu Kuna jinga linatuma sms ya hivi aisee tanzania imeshindwa kuwashugulikia Hawa wajinga maana ni usumbufu sana aisee watanzania tufanye kazi hii sio ajira shenzi kabisa huyu jamaa nilijua meseji ya maana kumbe jinga Moja
  7. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mdada mwenye makalio makubwa akawa kiongozi wa presentation, wanakaaga nyuma alafu akivuka geti la chuo anataka yeye ndio awe mbele

    Utamsikia "guys nisaiiiiiidieniii mwenziooo😔" Mkishatoka tu nje ni kama hawajui group mates wake🤣
  8. JamiiForums Tanzania Sijui kwa nini ila wadada wenye makalio makubwa hawahitaji kuongea sana hata kama anakutaka atapita tu mbele yako ili wewe ujiongeze mwenyewe

  9. JamiiForums Tanzania Kila mdada mwenye makalio makubwa ana huyo rafiki yake mwembamba mwenye mdomo sana

    Ukimuita tu huyo mdada utakasikia kanasema "aziza ebu twende tunacheleewa"
  10. JamiiForums Tanzania Fanya ujinga wote ila usioe mwanamke aliyekuzidi chochote, labda akuzidi makalio na weupe tu.

    Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio. Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote...
  11. JamiiForums Tanzania Mnasema wanawake wenye makalio makubwa wana confidence ila kiukweli ni arrogance

    Imagine mtu anatembea bara barani sehemu finyu then akuoneshi motion ya kupishana kama vile wewe unavyomuonesha, anatembea towards you kama vile presence yako haipo hio yote ili wewe umpishe kwa kujibana bana coz yeye ndio pisi kali matawi ya juu mwenye wiggle wiggle. Sasa wakikutana na no...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kukiri bila shurti makalio yana umuhimu wake, akili zikiwa za kuvukia barabara zinatosha

    Leo nakiri bila kushurutishwa makalio yana umuhimu wake. Najua baadhi ya waja hasa flat screeners wataguna😜na wengine wameenda mbali zaidi kwa kudai eti makalio makubwa yanapunguza akili. Nimegundua akili zikiwa za kuvukia barabara zinatosha. Kwanza mnaotaka miakili mingi yanini? mnataka...
  13. JamiiForums Tanzania Hongereni tamthilia ya Jua Kali. Mmewekeza zaidi katika uhalisia na uelewedi na sio makalio na show off.

  14. JamiiForums Tanzania Je ni kweli wanawake wengi wenye makalio makubwa ni watupu kichwani?

    Haya wanaume jibuni hili fumbo, kuna ukweli wowote katika hili? Kama ni kweli mbona wanaume wa Tanzania wanapenda sana Minyambizi? Yani Minyambizi ndio inaendesha range na wembamba Passo.
  15. JamiiForums Tanzania Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

    Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu. Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa. Na mwanamke priority yake ni kupenda...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake zama hizi kucheza kwa kubinua na kutikisa makalio kuna namna wanaume tumefeli au ni mashetani yao tu?

    Hello members, nawasalimia kwa vibes za jukwaa tukufu, jukwaa linalohuisha maisha yetu na linatufanya tuishi bila stress. Nawakariibisha kwa majibu, maoni na mtizamo kuhusu wanawake kubinua na kutikisa makalio hovyo kila pahala, hususani kwenye sherehe, matamasha, kupost video mitandaoni na...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanawake: Kwani haiwezekani kupiga Picha bila kuonesha makalio?

    Kila nikipita kwenye mitandao kuanzia Instagram, Twitter ( X ), Facebook n.k kote huko kwa asilimia kubwa unakuta Picha au clip ya demu akionesha makalio bila aibu Sasa najiuliza ni matangazo au ni Nini???, au ndio Dunia unaelekea mwishoni??? Wengine mpk skuizi wanaenda kufanya upasuaji (...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Trends za muonekano zinavyowatesa wanawake enzi na enzi

    Mitazamo ya uzuri wa mwanamke siyo ya kudumu, inabadilika kulingana na nyakati. Enzi za mabibi zetu wanawake wenye mwanya walionekana kuwa ndiyo warembo zaidi. Ikawalazimu bibi zetu kubomoa meno ya mbele ili kupata pengo litakalohesabika kama mwanya. Enzi za mama zetu, wanawake wenye rangi ya...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuongeza shape kwa njia ya upasuaji huwa linafanyikaje?

    Salam sio lazima! Ndugu wanabodi, Mimi naomba kufahamishwa ni kwa namna gani nyama za kujazia eneo husika zinavyopatikana, yaani zinatolewa wapi kuja kuboresha uumbaji wa eneo la makalio, au yanaumuliwa kama maandazi yaliyowekewa hamira na kuongezeka size kwa kutumia hamira maalum,nisaidieni...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake na tabia ya kutusogezea makalio kwenye usafiri wa umma

    Zamani nilijua wanaume ndio tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikuwa wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati amesimama nyuma ya mwanamke. Siku hizi mambo yamekuwa vice versa ambapo mfano kwenye mabasi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…