makalio makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa ni wapotezaji (losers) wakubwa katika era ya maendeleo ya mitandao ya kijamii ni wanawake.

    Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio. Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara...
  2. JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa najua wakuoa hawa wenye makalio makubwa ila hao sio kabsa wa kuwasogelea

    Wengi wao hawana akili hata kidogo, wanafikiri matako yao ndio kila kitu kumbe kuna cha zaidi kushinda makalio Na dzain ya wengi wenye makalio ni kama wanajitegesha hivi kama wapo kazini kwa kufikiria wanaume wengi tunapenda makalio makubwa, wapo kama wanajiiuza hivi umsifie ana makalio...
  3. JamiiForums Tanzania Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

    Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa mafuta yanayohifadhiwa sehemu ya chini ya mwili ni tofauti kabisa na yale ya tumboni. Kulingana na wataalamu wa afya, mafuta haya ya nyonga husaidia kunasa asidi za mafuta hatari mwilini. Jambo hili husaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa hatari ya kupata ugonjwa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Twende na ukweli haujawahi ku-date na mdada mwenye makalio makubwa zaidi ya miezi 7

    average ya muda mdada mwenye makebo makubwa kukuvumilia ni miezi mitatu hadi sita, kuongeza na mwezi mmoja wa wewe kulia lia ili mrudiane ni miezi 7. Ukiona mdada mwenye makebo makubwa yupo na wewe mwaka mmoja hadi miwili ujue ana pata uhuru wa wewe kutomfatilia na yeye kuridhika na mfuko wako...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi wanaume tunaopenda wadada wembamba bado tupo au ni mimi tu?

    Hakika slim girls wapo moyoni mwangu Kwanza tu unaweza kumbeba wakati wa tendo na kumkunja kisawa sawa maana body inaruhusu Lakini pia kwa sisi wwnye vibamia kadude hakadzuiwi na kuishia kwenye MAKEBO makubwa , kanazama angalau. Big up kwa wadada wembaba JF.
  6. JamiiForums Tanzania 75% ya reels za kibongo zimejaa taswira ya makalio makubwa na uhimizaji wa ngono

    I dare you nenda tik tok na insta, then scroll reels zenye asili ya kibongo ni makebo utakutana nayo kwa wingi bila kupenda, Uongeaji wa matusi ya nguoni na utakutana na video zenye asili ya utupu utupu ambazo zinaita ngono na ufuska.
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ni ngumu kufanya commitment na wadada wenye makalio makubwa?

    Wanawake wana malingo ila wadada wenye makebo makubwa wana malingo PRO MAX. Ni wabinafsi mno. Nimekata tamaa sasa. Huyu ni wa pili ananifanyia vituko.
  8. JamiiForums Tanzania Toa ushahidi ni wapi umewahi ona mwanamke mwenye makalio makubwa akawa na akili popote pale Duniani?

    Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu. Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kwa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumu sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako...
  9. JamiiForums Tanzania Kila mdada mwenye makalio makubwa huwa ana rafiki yake huyo alie flat na anakuwaga ndio mshauri wake mkuu na msemaji

    Ukimuita mtu, utasikia "jamani hauoni ana haraka "
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mchepuko lazima awe na makalio makubwa zaidi?

    Eti wakuu.?
  11. JamiiForums Tanzania Kupenda Wanawake Wenye Makalio Makubwa Kunasababishwa na Njaa

    Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona' hupata faraja na kuona ile ni dalili ya uwepo wa chakula dalili ya mafanikio. Maana yake ni kwamba, watu...
  12. JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna nchi Afrika inaizidi Afrika ya kusini kwa wadada wenye makalio makubwa.

    https://youtube.com/shorts/ZE6JoCrTnxA?si=909EeGhifyHrywRl
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Hakuna kundi la vijana hapa bongo linaloongoza kufurahia maisha kama mabinti wenye makalio makubwa

    Wengine picha zetu za before and after bado mbavu zimekakamaa njaa tupu🤣 ila hawa tipwa tipwa kamechipukia juzi kana 21yrs old ila ghafla unaona kanapiga picha mara kapo ngoro ngoro mara dubai, mwaka kesho kana duka la nguo hapo sinza.
  14. JamiiForums Tanzania Wadada Wenye Miili Mikubwa Tujitahidi Kujisafisha vyema kupunguza Aibu

    Habari jamani leo naomba nije kasi na haraka maana kituko nilichoshuhudia jana ni aibu kubwa sana. Songa nami. Jana pale maeno ya Ubungo External kulikuwa na shughuli ya kumtoa mtoto 40. Waalikwa walikuwa ni wengi na palikuwa na hekaheka nyingi sana. Sasa basi katika makutano hayo alikuwapo...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume asiyependa makalio makubwa

    Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa? Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
  16. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

    Tipwa Tipwa wamebaki kwa ajili ya burudani tu za kutolea stress za mihangaiko. Wengine Unakutaga wanahagaika in their 20s, wanauza utu kwa ajili ya starehe na pesa za kuhongwa, wakishafikia 35 sasa ndio wanaanza kutafuta mabwana na kuja na nyuzi humu wakitafuta wazee wa miaka 50 maana wanajua...
  17. JamiiForums Tanzania Binafsi hadi hii leo sijawahi kukutana na mdada mwenye makalio makubwa (curvy) halafu eti anaishi maisha ya kuunga unga

    Hata kama alizaliwa bonyokwa ndani ndani huko nyumba ina ufaa wa miaka 8 na aliishia la saba, baba anabeba magunia kwa wahindi, mama anauza vitumbua mtaani na yeye hana kazi maalum lakini still anakula vizuri zaidi ya sisi tuliorudi veta.
  18. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mdada mwenye makalio makubwa akawa kiongozi wa presentation, wanakaaga nyuma alafu akivuka geti la chuo anataka yeye ndio awe mbele

    Utamsikia "guys nisaiiiiiidieniii mwenziooo😔" Mkishatoka tu nje ni kama hawajui group mates wake🤣
  19. JamiiForums Tanzania Sijui kwa nini ila wadada wenye makalio makubwa hawahitaji kuongea sana hata kama anakutaka atapita tu mbele yako ili wewe ujiongeze mwenyewe

  20. JamiiForums Tanzania Kila mdada mwenye makalio makubwa ana huyo rafiki yake mwembamba mwenye mdomo sana

    Ukimuita tu huyo mdada utakasikia kanasema "aziza ebu twende tunacheleewa"
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…