makada wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto wa mbu

    90% ya waliohojiwa na Tume ya jaji Othman ni Makada wa CCM na viongozi wa Serikali

    Hii nchi jamani, yaani hii tume useless ata aibu haina, Kwa kilichotokea MO29 unaanzaje kupoteza muda kufanya investigation Kwa kuwahoji kina Majaliwa Nape Nauye Chalamila Dr.Mpango Makalla Wassira Jaji Mtungi Ma polisi Hivi hii nchi ina viongozi wenye akiri kweli? Yaani unafanya...
  2. M

    Ninyi Makada wa CCM mliochukua baiskeli, pikipiki, khanga na tisheti za Rais Samia wakati hamumtaki mnajisikia vipi leo hii?

    Baiskeli, Pikipiki, Khanga , tisheti na kofia mligawiwa kama njugu. Mkakataa waziwazi kiongozi wenu. Mkasombwa, maloli matrekta na matela ya punda kujaza mikutano. Leo hii mnatumia hizo baiskeli na pikipiki kwa shughuli zenu huku kumbe hamumtaki kiongozi wenu. Mnajisikia vipi?
  3. Genius Man

    Makada wa CCM hawawezi kuunga mkono muelekeo wa uongozi wa sasa na mauaji yaliyofanyika hata bunge halitaunga mkono chini chini wote wanalia machozi

    Makada wa CCM hawawezi kuunga mkono muelekeo wa uongozi wa sasa na mauwaji yaliyofanyika hata bunge halitaunga mkono chini chini wote wanalia machozi. mimi sio nabii ila ninajua kinachoendelea.
  4. Diwani

    Makada wa CCM. Chama chenu hakitawali hii nchi. AMKENI!!

    Ukiwa huku mtaani Vijana wa CCM wanadhani Chama chao ndicho "Chama Tawala". Chama kama taasisi haiishii tu kwa watu, bali Ilani, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya chama, kisha Wanachama na wafuasi. Katika hali ya kawaida tu; taifa lenye mfumo wa vyama vingi kama Tanzania suala la uhuru...
  5. Idugunde

    Sijaona MwanaCCM wa kumjibu Polepole. Mtu Kamwaga anajidhalilisha. Makada wa CCM hawajibu hoja wanamshabulia Humphrey

    Jibu hoja kwa hoja. Hii ndio kanuni ya kulumbana dunia nzima. Mfano Polepole ameeleza kinagaubaga. Angela Kiziga alifanya ufisadi wa bil 40. WanaCCM wajibu kama hakuna ufisadi huo. Na kwa nini afanye kazi ofisi ya rais. Gesi huko Cuba zinauzwa kwenye maduka serikali kama ilivyokuwa enzi za...
  6. M

    Huku makada wa CCM wakihonga mamilion ya Tsh mtoto akinyonga kwa kukosa Tsh 1500 ya mtihani.

    Hii inasikitisha
  7. E

    Simiyu: Lori laua wanne na kujeruhi 15, Rais Samia atoa pole

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu kwa vifo vya watu wanne kufuatia ajali ya lori aina ya Scania iliyotokea katika Kijiji cha Mwamishari Juni 16 saa 3 usiku, akisema watu hao walikuwa kwenye usafiri wa kwenda kwenye mkutano wake. Kabla ya kufika...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Makada wa CCM watembea kwa baiskeli mpaka ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma

    Baadhi ya matukio katika Mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi unaofanyika jijini Dodoma tarehe 29-30/05/2025. Na hao ni baadhi ya makada wazalendo wa CCM wakiendesha baiskeli wakiwa wanaingia ukumbi wa Jakaya Kikwete kushuhudia kila kitu kwenye mkutano huo
  9. W

    PreGE2025 Mchange aipongeza TAKUKURU, baada ya kushikiliwa na kuhojiwa kwa saa kadhaa

    Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) na Mkurugenzi wa Jamvi Media Group, Habibu Mchange, amepongeza juhudi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) katika kudhibiti vitendo vya rushwa, hasa kuelekea uchaguzi mkuu. Akizungumza na gazeti la...
  10. Idugunde

    Makada wa CCM acheni kupotosha umma. Hakuna mafanikio yaliyoletwa kwa wananchi na CCM kama mnavyotamba na kudanganya umma

    Maji safi na salama ni janga la kitaifa. Miaka 60 ya uhuru mnashindwa kusambaza maji safi na salama. Mfano ni mji kama Chato upo kma moja karibua na ziwa lakini wananchi hawapati maji safi na salama. Elimu imeporomoka mithili ya barafu mlima kilimanjaro. Mmjejenga mashule kibao ya kata. Lakinj...
  11. kipara kipya

    Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

    Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa. Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao...
  12. K

    Mwl. Nyerere alishituka ile 80% waliokataa vyama vingi nchini. Sio wananchi ni viongozi makada wa CCM ndio waliokataa mifumo ya kidemokrasia hadi leo

    Mwl. Nyerere alishituka Ile 80% waliokataa vyama vingi nchini. Sio wananchi ni viongozi makada wa CCM ndio waliokataa mifumo ya kidemokrasia hadi leo? Je ni maelekezo au ni Falsafa ya 4R kutoka kwa Mh. Rais Samia. Ndio uliokipa ushindi wa chama chake wa 98.9% kwenye uchaguzi wa serikali za...
  13. JanguKamaJangu

    LGE2024 Makada wa CCM wajitupa chini watoa shutuma kwa wanaokata majina katika kura za maoni Arusha

    Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Longdon kata ya Sokoni One Jijini Arusha, wamedai kuwa hawatashiriki uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa eneo hilo kutokana na aliyeongoza kupata kura za maoni 189 jina lake limekatwa na aliyepata kura 36 jina kurejeshwa kama...
  14. JanguKamaJangu

    LGE2024 Kura za maoni zazua 'mtiti' Unga Limited – Arusha, wengine watishia kutompa kura kada wao wa CCM

    Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Viwandani kata ya Unga Limited Jijini Arusha, wametishia kutompa kura za ndio mgombea wa uenyekiti wa mtaa huo kupitia chama hicho endapo aliyeshinda kura za maoni hatawekwa kama mgombea katika nafasi hiyo. Wanachamama hao...
  15. comrade_kipepe

    Kada wa CCM amwagiwa tindikali

    KWAMBA WASIOJULIKANA HAWACHAGUI WA KUWADHURU? AU TUNAJARIBU KUBALANCE MAMBO DAKIKA ZA JIOOOOOOOOONI, KUELEKEA SEPTEMBER 23 —— Watu wasiojulikana wanadaiwa kumvamia na kummwagia kimiminika kinachosadikiwa kuwa tindikali, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Idrissa Makishe...
  16. LESIRIAMU

    Tetesi: Makada wa CCM waondolewe kwenye vyombo vya kutoa haki

    Inasikitisha unapo ona vyombo vya kutoa haki vinacheza na maisha ya Watanzania kwa sababu za maamuzi ya makada. Hii kesi ya Soka na wenzake ni mfano ambao una onyesha jinsi haki zinavyozidi kupindishwa kwa maslahi ya kundi fulani Hivi ni kweli Jaji anaweza kusema hakuna ushahidi wa kwamba hawa...
  17. mwanachuo

    PreGE2025 Vigogo wa CCM Mkoa waanza kusaka Ubunge Jimbo la Moshi Mjini

    Joto la siasa limezidi kupanda Mkoani Kilimanjaro hususani Jimbo la Moshi Mjini ambapo inasemekana baadhi ya Viongozi wa CCM Mkoani hapo wameanza harakati za kuusaka Ubunge kupitia makundi mbalimbali ya kijamii na ya Mitandaoni. Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema, Viongozi hao...
  18. J

    Serikali ya Awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete ndio ilithubutu Kuwafunga Jela Mawaziri na Makada wa CCM Mafisadi!

    Wote tunakumbuka Daniel Yona alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri Basil Mramba alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri Rajab Marandu alifungwa Jela kwa Ufisadi wa EPA Hii ndio rekodi pekee ambayo Shujaa Magufuli aka Jiwe hakuivunja Ramadan Kareem 😄
  19. Chachu Ombara

    Zitto Kabwe: Wakurugenzi wa halmashauri ni makada wa CCM, hawawezi kutenda haki

    Zitto Kabwe amesema kuwa ''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo...
  20. K

    Chama cha Waganga wa Tiba Asilia Simiyu, wakana chama chao kujaa makada wa CCM

    Mara baada ya kuibuka maneno mengi mitaani kuwa Chama cha Waganga wa Tiba Asilia na Tiba Mbadala Mkoa wa Simiyu kina makada wengi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwenyekiti wa umoja huo, Mayunga Kidoyai amefafanua kuwa taaluma yao au kazi ya mtu binafsi haiwezi kuingiliana na suala la kichama kwa...
Back
Top Bottom