makada wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwanachuo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vigogo wa CCM Mkoa waanza kusaka Ubunge Jimbo la Moshi Mjini

    Joto la siasa limezidi kupanda Mkoani Kilimanjaro hususani Jimbo la Moshi Mjini ambapo inasemekana baadhi ya Viongozi wa CCM Mkoani hapo wameanza harakati za kuusaka Ubunge kupitia makundi mbalimbali ya kijamii na ya Mitandaoni. Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema, Viongozi hao...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete ndio ilithubutu Kuwafunga Jela Mawaziri na Makada wa CCM Mafisadi!

    Wote tunakumbuka Daniel Yona alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri Basil Mramba alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri Rajab Marandu alifungwa Jela kwa Ufisadi wa EPA Hii ndio rekodi pekee ambayo Shujaa Magufuli aka Jiwe hakuivunja Ramadan Kareem 😄
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wakurugenzi wa halmashauri ni makada wa CCM, hawawezi kutenda haki

    Zitto Kabwe amesema kuwa ''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Chama cha Waganga wa Tiba Asilia Simiyu, wakana chama chao kujaa makada wa CCM

    Mara baada ya kuibuka maneno mengi mitaani kuwa Chama cha Waganga wa Tiba Asilia na Tiba Mbadala Mkoa wa Simiyu kina makada wengi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwenyekiti wa umoja huo, Mayunga Kidoyai amefafanua kuwa taaluma yao au kazi ya mtu binafsi haiwezi kuingiliana na suala la kichama kwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Ma - DED zaidi ya 100 watapandishwa kizimbani na TAKUKURU kwa Ufisadi basi mfumo wa MagufulI kuteua Makada wa CCM Umefeli

    Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI. Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge. Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni...
Back
Top Bottom