majuto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Safari moja ilivyotaka kunianzishia safari nyingine ya majuto

    Mwaka jana nilienda mkoa fulani kumsalimia ndugu yangu, vilevile nilitaka nikapumzike nitulize na akili kidogo. Nilikutana na mwanaume kwenye huo mkoa akaonyesha nia ya kutaka kuanzisha mahusiano yatakayopelekea ndoa kwa maelezo yake ya awali, sikuwa na huo mzuka wa ndoa ila nilihisi ana nia...
  2. B

    Picha: Bashasha na tabasamu za JK zageuka uso wa ndita na hatia

    Bashasha na tabasamu siku alipoihondomola CCM kwa kulazimisha jina la ampendae yeye lipite bila mchakato... Kikaja kikaharibika.... Wananchi wamelikataa jina, watu wameimba mitaani HATUMTAKI HATUMTAKI HATUMTAKI... kisha wakamwagwa damu zao...
  3. Wabongo nimewakosea sana. Naomba radhi kwa kupiga magoti mbele yenu

    Katika harakati za uchaguzi nilikua mwana CCM damudamu, nikimuombea kura rais wetu Samia. Nilileta Uzi, rejea Uzi wa tumuache Samia amalize muda wake, ukiisha ataondoka. Lengo lilikua kumpigania ili aendelee na awamu nyingine. Sikufahamu kesho yangu na yetu. Nilipiga kura na kuondoka zangu...
  4. Usipochukua hatua mapema ewe kijana Nilichogundua 40 years kwa mwanaume ni umri wa majuto,fedheha na kejeli

    Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike...
  5. Majuto ya Chid Benz

    ''Sina wa kumlaumu,niilijipoteza mwenyewe, Kwa sehemu kubwa Jamii hainitazami tena kwa jicho la Usaidizi, Jamii inanitazama kama Mlevi au Teja,Lakini pengine Mimi ni Mfano hai unaoweza kutumika kusaidia kizazi kingine kinachoteketea kimya kimya. Nilikuwa Msanii Pekee wa Hip Hop niliyekuwa Hot...
  6. Sikutegemea hakika nimekoma ni majuto 70% furaha 10%

    ISEE kiukweli mwenzenu nna majuto+furaha,kuna binti nilikutana nae katika harakati zetu vijana,mimi ni kijana ambae sijawahi kuoa japo ka umri kangu kanakaribia thirty,huyu binti sio pisi kali wala nini,na mimi niliwish siku zote nije kuoa binti ambae ni standard ili kuepusha mambo mengi against...
  7. Ukiwa boss, usilewe na suti. Kesho ni jana ya keshokutwa yenye majuto na gharika

    Siku nikiwa boss, nitakumbuka kuwa watu wana maisha nje ya ofisi, nitajua kuwa mfanyakazi mwenye huzuni hawezi kutoa furaha kazini. Siku nikiwa boss, sitaamini kuwa vitisho huongeza tija, badala yake, nitawaongoza kwa kuhamasisha na kusikiliza. Siku nikiwa boss, nitajenga mazingira ya kazi...
  8. E

    The Rise of Princesses: The Last Princess Of Peru

    SURA YA KWANZA: DAMU YA UFALME Mimi ni Triza, binti wa saba wa Mfalme Himza wa Peru. Katika kasri letu kubwa lenye kuta nene za dhahabu na mawe mazito, mimi na dada zangu tumeishi maisha ya hofu chini ya kivuli cha baba yetu. Dada zangu ni Adira, Sayina, Miran, Elvya, Kiyara, na Zafrina. Mama...
  9. R

    Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  10. Kulipigania penzi kunaweza kuwa ndio sababu ya anguko lako na majuto ya milele maishani mwako.....weka ukomo wa uvumilivu....(True story)

    Habari za muda huu waungwana wa hapa..... Leo nimemkumbuka mdogo wangu wa kike mtoto wa mama yangu mdogo..... Mdogo wangu ambaye alikuwa binti ambaye familia ilikuwa na matumaini makubwa sana kwake kutokana na wajihi na tabia zake njema....... Kwa kufupisha story safari yake ya kielimu...
  11. Hamas walitegemea hawa bidada wataonyesha sura za hofu na majuto ila hawajui hata Israel wenyewe wameshindakana kama wao

    Naona matapeli wamewaachilia watu wasio na hatia. Hongera kwa benja kwa kuwaminya hadi wanaanchia wenyewe .
  12. Ni heri kukataliwa kuliko kuishi na majuto

    Jana ndiyo nimeamini ni heri utupe nyavu halafu ukataliwe kuliko kuishi na majuto baada ya kutotupa nyavu. Jana nilikuwa nasafiri kutoka mkoa X kwenda Z kwenye basi nilikaa na binti mmoja alikuwa mchangamfu kweli, tulipiga stori za hapa na pale mpaka alipofika anaposhukia, alikuwa anashukia...
  13. Vijana jifunzeni kwa hawa wazee wenu wanao sota huko kwenye majiji na mijini huku wakijificha kwenye majuto makubwa ya kivuli cha wapambanaji

    Ndugu zangu salaam Enyi vijana wa kiume na kike jifunzeni kwenye makosa ya hawa wazee wanao bebeshwa vitu vizito huku mijini na kwenye majiji kwa malipo kiduchu yaliyo ambatana na dharau na matusi kedekede nao walikua vijana kama nyie Vijana ili muwe na maisha mazuri uzeeni lazima uishi sasa...
  14. Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

    Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake. Mojawapo ya tukio la ajabu ni...
  15. Teknolojia: Kivuli cha Ushindi au Majuto bila muendelezo nanenane itabakia kuwa ya msimu tu.

    Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.” Lakini dunia ilibadilika haraka. Kamera za kidigitali zilikuja na ufanisi, urahisi, na ubora ambao...
  16. Kupinga Mabadiliko: Hadithi ya Maumivu ya Majuto tuyatumie vizuri maonesho ya nanenane

    Mwaka 2000, teknolojia ya kamera za digitali iliibuka na kuleta mtikiso katika sekta ya upigaji picha. Wapiga picha wakongwe waliamua kuendelea na kamera zao za filamu wakiamini kuwa teknolojia ya digitali haitadumu. Lakini mambo yalibadilika—haraka zaidi kuliko walivyotarajia. Kamera za...
  17. Kwa Wahenga: Mnaomkumbuka muigizaji Mwanaachia aliigiza na Mzee Majuto na Mzee Small

    Kwa Wahenga wenzangu ambao tulikua miaka 1990s wakati huo kuna ITV na ITV 2, Cheka na CTN kulikuwa na muigizaji wa kwanza hapa Bongo Alikuwa akiigiza Ana kigugumizi na tumbo kubwa na pia kwa miaka hiyo alikuwa akiimba Taarabu Huyu jamaa alifariki mapema akiwa kwenye ubora wake kama...
  18. Ananikumbuka sana, anajutia sana, majuto kawa mjukuu sasa

    Liza Anasema alifanya makosa kingine utoto Tu anasema nilikua mwanaume sahihi kwake mi sijui....... Usikite mbele nami ningekua kivuruge Anasema nimsamehe Sana akili za kitoto Tu zile maisha kwake ovyo ni magumu Sana nimpe chance again wakati anajua tayari nina mke iyo chance nampaje kifupi...
  19. Mambo ambayo mwanaume yanayoweza kukuletea majuto na mateso katika mahusiano/ndoa

    MAMBO AMBAYO WANAUME TUNAKOSEA NA KUJIKUTA KATIKA MAHUSIANO/ NDOA INAYOKUTESA Na Comrade Ally Maftah Leo nime wiwa kugusia mambo ambayo wanaume tunayakosea na kujikuta kwenye mahusiano ya mateso au ndoa zinazovunjika na kutuacha na majuto. 1. KUANZISHA MAHUSIANA NA MWANAMKE ALIYEKUWA KWENYE...
  20. G

    Tuliozaliwa na kukulia mjini bila kupajua / kutembelea vijijini kwetu tukutane hapa, una majuto yoyote ?

    Nimezaliwa mjini, nimekulia mjini maisha yote hadi sasa na mimi nimekuwa mzazi sijawahi kukijua wala kutembelea kijiji cha mzee. Kitu nachojua pekee ni kwamba mzee ni wa huko Ruvuma, maeneo ya Tunduru. Kuna kipindi huwa natamani walau ningekuwa naweza kwenda kusalimia na kutalii huko kijijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…