majirani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Oscar Lyrics

    Majirani zako ni watu wa namna gani?

    Jirani kama jirani ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku hasa hasa kama ikitokea mkawa mnaelewana vizuri. Mnaweza kushirikiana katika shida na raha, wakati mwingine jirani yako anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko hata ndugu yako wa damu. Pamoja na yote hayo wakati mwingine inaweza...
  2. Mhaya

    Nchi Zenye kutumia Ubabe kulinda Mipaka yake na Maeneo Jirani, hata kama Nchi Jirani haitaki kulindwa italindwa tu

    The Monroe Doctrine sio dhana ya kipekee tu kwa Taifa la Marekani. Kwa wasiofahamu Monroe Doctrine ni sera inayokataza Mataifa ya kigeni hasa ulaya na kwingineko wasipeleke au kusogelea Nchi zozote zilizoko katika mabara ya America kusini na America kaskazini. Na nchi yoyote itakayojaribu...
  3. K

    Tanzania sio nchi ya Amani wala Haki majirani wametupita kwa mbali

    Tanzania sio nchi ya Amani wala Haki majirani wametupita kwa mbali Zambia , malawi, kenya wana haki na Amani Uganda, Rwanda na Burundi wana amani hawana haki Tanzania haina amani wala haki
  4. The Khoisan

    Tanzania tulikuwa Wasuluhishi kwenye Migogoro ya Majirani zetu .... Kwanini wao hawaji, Wanatutelekeza!!?

    Tanzania imekuwa mstari wa mbele kusuruhisha migogoro mingi Afrika. Hasa ya Majirani zetu. Rais Mkapa, Kikwete na Samia wamesaidia kutuliza hali ya hewa kwa Majirani zetu hasa Kenya. Mboan sasa wao wako kimya wakai kwetu kunawaka moto? Kwa nini SADC na EAC wako kimya mpaka sasa...!!?
  5. Mike A Mugilanetza

    Majirani sio Maiti

  6. Bila bila

    Kwenye "A" tukaweka "O" ili kuwapoteza majirani

    Kichwa cha habari kimebeba maneno ya Msemaji Ahmed Ally akiongelea usajili wa kiungo mpya mkabaji wa Simba Kante. Sitaki kuhafifisha maneno yake maana namuheshimu Sana, lakini kwa hili Kagoma pale katikati ni mali ya Kagoma. Sijaona wa kumtikisa mvunja kuni wa Taifa.
  7. Think2

    Salamu ni kitu cha muhimu sana hata kama hutaki kuongea na majirani zako

    Hata kama uko busy sana jitahidi kusalimia majirani zako na sio kuwapita kama huwajui Siku ukiugua ghafla na huwezi kushika simu kupigia ndugu ndio utajua umuhimu wa kuishi na majirani vizuri. Note: Maisha ni yako sawa ila matanga ni yetu.
  8. D

    Unapotaka kuhamia sehemu au kununua makazi, kuna umuhimu wa kuangalia aina ya majirani?

    Unahama kutoa sehemu A kwenda B, kuna umuhimu wa kuangalia utapakana na majirani wa aina gani?? Kabila au dini zao?? Financial status?? I'm just asking.
  9. Mindyou

    Hii story ya Barbara Hassan imenisikitsha. Nini husababisha majirani kuwa kimya namna hii?

    Wakuu, Nimekutana na clip hii ya mtangazaji wa kipindi cha asubuhi wa Mjini FM, Barbara Hassan akiwa anazungumzia kuhusu mtoto wake. Anasema alikuwa na dada wa kazi ambaye alikuwa anamsaidia katika malezi ya mtoto. Kumbe huyo dada alikuwa na tabia ya kumnyanyasa na kumtesa mtoto wake kwa...
  10. ELI COHEN

    Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
  11. M

    CRDB Bank makao makuu na kelele kwa majirani

    Tunashangazwa na kelele za jirani zenu CRDB Bank makao makuu, Ali Hassan Mwinyi. Mfano leo tangu saa 11 alfajiri wanefungulia mziki mkuubwa wakati muda huo hakukuwa na watu hata 10. Na mara zote hata wakiwa na promotion tu magari yao makubwa yenye PA system yatakuwa kupaki nje na sauti kuubwa...
  12. CM 1774858

    Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni zaidi ya Bajeti ya majirani zetu wa Burundi sasa Kila mwanakigoma anapato la TZS2,400,000 kwa mwaka

    Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni juu ya Bajeti ya nchi ya Burundi, Pato la mtu mmoja mmoja lafikia milioni 2.4. Chini ya Rais Samia hali ya Uchumi ya Mkoa imeendelea kuimarika ambapo pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 4.1 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 5.6 mwaka...
  13. Jackal

    Bi Mkubwa Kawapa Kichambo Majirani Na Wao Wamejibu

  14. GENTAMYCINE

    Kigogo Kigogo kwa hili ulilosema siongezi neno lolote, kwani umemaliza kila kitu na ndiyo Watanzania tunadharaulika mno na Majirani na Duniani pia

    Taifa ambalo redioni ahsubuhi wanajadili michezo.Mchana hadi jua linapo zama wanarudi kwenye michezo,usiku wanajadili ngono hadi pakuche.hakuna vipindi vya taaluma ujasiriamali,Kilimo,Midahalo. Hilo ni Taifa ambalo lipo kaburini kitambo...! (Kigogo Kigogo) Na kutokana na hii Aibu ndiyo maana...
  15. Setfree

    Je, ni sahihi Wakristo kuishabikia Israeli inapowapa vipondo majirani zake?

    Swali langu ni hilo kwenu nyinyi mnaoshangilia na kuruka ruka mnaposikia Israeli imewapa vipondo majirani zake. Naomba mnipe majibu yenye msingi wa Maandiko. Mimi Biblia yangu inanikataza kufurahia vita na mauaji na badala yake inanihimiza kuombea amani na kuwa mpatanishi. "Heri wapatanishi...
  16. Y

    Nani anaehusika kuharibu uzi wangu nikiwananga waKenya ?

    Leo jioni niliandika mada kuhusu walimu wa kikenya walivyokuwa wanakunywa nyuka mabel mstarini, lakini cha ajabu naona sijui ni wakenya wameingilia kati ? uzi ume editiwa yaani ili uonekane laini kama uji wa maziwa. Nilichokiandika hapa ni kweli na ni kweli tupu, hakuna haja ya kupepesa...
  17. Tlaatlaah

    Tutalinda amani, umoja na usalama wa taifa letu Tanzania kwa nguvu na gharama yoyote ile licha ya matusi ya majirani waandamaji na masufuria vichwani

    Tutakua wa mwisho kujibu matusi yenu dhidi ya Taifa letu na tutakua wa mwisho kuchukua hatua dhidi ya uchokozi wenu wa kichochezi dhidi ya amani yetu, but ni vizuri mkafahamu, Kwa vivu mkubwa na uzalendo wa kiwango cha juu sana, tutailinda amani, umoja na usalama wa Taifa letu Tanzania bila...
  18. K

    Tanzania imeingilia mambo ya nchi zote majirani

    Tanzania imeingilia mambo tena ya kisiasa ya nchi zote hapo chini. Kama hujui kasome historia ya Tanzania. Wanaosema sijui Tanzania hawataki uharakati sisi tulikuwa na wanaharakati hapa kutoka kila nchi. Kamuulizeni Generali Ulimwengu Kenya Uganda mpaka vita Rwanda na Burundi Congo Zambia...
  19. khamis kilo

    Nawatesa majirani na maisha yangu kuwa siri yangu

    Niende moja kwa moja tu kwenye kuandika huu uzi 🙏 Alhamdulilah naishi maisha ya kawaida sana kwa kipindi hiki maisha yangu sasa yamedondokea kwenye shughuli za ujenzi wa tiles, japo nilishawahi kuajiriwa kwenye baadhi ya kampuni za kuchezesha michezo ya kubashiri miaka ya 2015-2020, baada ya...
Back
Top Bottom