Majimbo (the Swahili word for "regions") is a Swahili term that is commonly used in Kenya to refer to the idea of political devolution of power to the country's regions. It is alleged by critics, including former vice-president Oginga Odinga in his book Not Yet Uhuru, to have been coined by European settlers in Kenya's White Highlands region, around the time of independence in 1963, who preferred to retain an autonomous, ethnically-based governance over the region. It has also been alleged, by some of its critics, that majimbo is a pretext for the type of communal violence that has plagued Kenya's elections especially since the return of multiparty politics. In his autobiography Illusions of Power, G.G Kariuki, a long serving KANU Member of Parliament, goes as far as to allege the existence of a plot to instigate communal violence in Kenya's independence elections by supporters of a Majimbo system of government.
1JIMBO LA ZANZIBAR
Hili tayari ni kama Jimbo linalojiendesha maana tayari lina utawala wake binafsi,
2. JIMBO LA KASKAZINI (Northern Zone state)
Mji mkuu: Arusha
Maeneo: Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga
Kazi kuu:
Utalii (Ngorongoro ,Kilimanjaro)
Kilimo cha mazao ya biashara
Huduma za...
Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa.
Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC.
Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
Kama tutajiingiza katika mfumo wa serikali ya majimbo hapa Tanzania, ni muhimu kuzingatia athari za kisiasa na kijamii ambazo mfumo huu unaweza kuleta.
Mfumo huu unaruhusu kila jimbo kuwa na udhibiti katika utawala na sheria zake, na mara nyingi hii inachochea mgawanyo wa nguvu katika nchi...
Watu walinunua teuzi kwa mamilioni ya pesa kwa kuwa inaeleweka uchaguzi mkuu kwao ni ndani ya cham tu huku nje maigizo.
Wengine wakaamua kusaliti harakati za ukombozi na kugeuka machawa wa serikali kandamizi.Waliunga juhudi muda ambao ndugu zao ambao walikuwa wanafanya harakati pamoja wakiwa...
Ndivyo ilivyo au ni mara chache ?
Nilikuwa napitia matokeo ya waliopitishwa kwenye kura za maoni, ghafla nikastuka na kitu kimoja kikavuta sana attention yangu.
Majimbo ya kina Mwaisa, yaani maeneo yanayojulikana kuwa na mizizi yao hakuna hata mmoja aliyeweza kupenya kura za maoni kutoka kwa...
Wanajamvi poleni na hongereni kwa majukumu.
Niende moja kwa moja kwenye mada;
Mikoa ya pembezoni mwa nchi kama Kigoma na Katavi ina raslimali za kutosha kama madini, mbuga za wanyama, bandari, ikulu ndogo nk lakini kiwango cha umaskini ni kikubwa sana katika mikoa hiyo.
Katiba pendekezwa ya...
Kuna majimbo kadhaa yatatokewa kama zawadi kwa vyama shikizi ili kuhalalisha uchaguzi wa 2025.
Je wagombe wa CCM kwenye hayo majimbo wanajijua kuwa watatolewa kafara.
Tuwatonye mapema ili wasitumie nguvu nyingi kwenye uchaguzi.
Mkoa wa una majibo Matano; Jimbo la Mpanda Mjini, Jimbo la Katavi, Jimbo la Tanganyika, Jimbo la Katavi na Jimbo la Nsimbo yote naona kuna ukimya unatawala kuhusu majibu ya Kura za Maoni kuhusu wanaowania Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nini kinaendelea?
Pia soma ~ Nini kinaendelea...
Jimbo la iringa mjini mshindi ni Fadhili Ngajiro kwa kura 1899 na wa pili ni Moses Ambindwile kwa kura 1523. ANACHUKULIWA MOSES, fadhili kagombea zaidi ya mara mbili akakosa, leo kaongoza lakini anaemfuata ni mgeni kabisa chamani na siasa za Iringa mjini lakini amemkaribia mwenyekiti wa jumuiya...
Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
Kuna nyakati zifike watu tutumia akili tulizo pewa na Mwenyezi Mungu, tupunguze kuuziwa ujinga na hadaa.
Hakuna mbunge kutoka chama chochote kile anaweza letea Jimbo lake maendeleo ilihali nchi haina sera za Jimbo na jimbi linategemea sera za nchi.
Hawa wabunge tunao wapigia chapuo kwa...
Mratibu wa Uchaguzi na Kampeni wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Kanda ya Serengeti Catherine Ruge ametangaza kupatikana kwa watia nia wa ubunge katika majimbo yote 10 ya mkoa wa Mara akieleza kuwa hamasa imekuwa kubwa kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kuchukua fomu za kugombea udiwani...
Majimbo ya uchaguzi katika mikoa ya Kaskazini yanapaswa kuongozwa na watu waliowazaliwa au waliokulia katika maeneo hayo. Itakuwa ni dharau kwa wananchi wa mikoa hii iwapo watu wa nje – wasiokuwa na mizizi wala historia ya eneo – watateuliwa au kupitishwa kugombea nafasi za uongozi kwa kigezo...
Wilaya ya Mpwapwa ina Majimbo mawili, Mpwapwa Mjini na Kibakwe.
Hamtakosa kuondoka na VICHWA kadhaa vya mtoaji na mpoleaji
Sisi ngoja tuendelee kukusanya Ushahidi.
Najiuliza kwanini wanasiasa wengi ambayo tayarii walikua wakiyatumikia majimbo yao kwa miaka mingi zaidi ni wagumu kuwaachia watu wengine wenye nia ya kutumikia wanainchi ?
Mfano: majimbo haya Bumbuli,, Rufiji,, n.k??
Amos Makalla anasema tuna majimbo 272 ya uchaguzi sasa inakuaje tunakuwa na wabunge 393?!
Hii ni demokrasia ya aina gani ambapo bunge linajazwa watu wasio na majimbo yoyote ya uwakilishi?
Tunahitaji kubadilika
Ikitokea Jimbo au kata mbunge au diwani wa CCM amekufa hapo kijana ingia chap unapata nafasi, ikitokea mbunge au diwani ametangaza kutoendelea na madaraka hapo kijana usizubae chukua nafasi haraka.
Ikitokea mbunge au diwani ndugu yako sana msihi akutupie taulo akiridhia chukua nafasi haraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.