maji

  1. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es Salaam, ni wakati muafaka kuitokomeza CCM katika uchaguzi wa serikali ya mitaa kutokana na kero ya maji.

    Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mdogomdogo maji na mafuta yanaanza kujitenga, Yanga anacheza mechi zake kibingwa na ndiye bingwa mtarajiwa!

    Wenye uelewa na Mpira watakuwa wamenielewa ninachomaanisha, siku zote timu yenye tabia za kuchukua ubingwa uwa Zina viashiria Fulani Fulani vya kutwaa ubingwa! Viashiria ivyo yanga anavyo kwa 100%, yanga amekuwa awezi kudondosha point kizembe ata kama mechi imewakalia vibaya lazima waondoke na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania TBL, wadau wajadili usalama wa maji kwa Dar

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Usambazaji Maji wa Wizara ya Maji, Joyce Msiru (katikati) wakipokea ripoti ya Maji inayolenga kukabiliana na changamoto za usalama wa maji jijini Dar es Salaam kutoka kwa Michelle Kilpin, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Breweries...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Hamis Taletale Atimiza Ahadi: Aondoa Changamoto ya Maji Chumvi Katika Vijiji vya Mgude na Ngerengere

    Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ametimiza ahadi yake kwa Wananchi wa kata ya Ngerengare baada ya kufanikisha kupatiwa huduma ya maji baridi ambapo jumla ya matanki matatu yametolewa na Serikali kusambaza maji katika Vijiji viwili vya Mgude na Ngerengere. Kwanzia sasa Vijiji...
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maji Malamba Mawili hayajatoka kwa mwezi 1 sasa, shida nini?

    Tatizo la maji lilikuwepo kwa muda mrefu baadaye mwezi wa 6 yakarejea yakawa yanatoka kwa wiki mara moja, sasa ni mwezi na siku bila hata tone shida nini? DAWASA mbona mnapenda kutuvuruga akili, au mnafurahia yale magari yaliyoandikwa DAWASA yanavyotuuzia lita 1000 kwa 15000? Kibaya zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Jumaa Aweso alivyomzawadia Diamond Platnumz kwenye birthday yake

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, alimzawadia Diamond Platnumz KEKI kwenye kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake hapo jana Oktoba 2 na kula pamoja diko la birthday nyumbani kwa Staa huyo wa Bongo Fleva. Diamond alishukuru Waziri kwa heshima hiyo na kutoboa siri kuwa Waziri alihusika kupendekeza wimbo...
  7. JamiiForums Tanzania Watu 45 Wafa Maji Nchini Djibouti, IOM yasema

    Shirika la kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema kuwa watu 45 wamepoteza maisha na wengine 111 hawajulikani walipo kufuatia ajali ya baharini iliyohusisha chombo kilichokuwa kimebeba wahamiaji haramu. Tukio hilo lililotokea katika fukwe ya Obock iliyo karibu na Godoria ilihusisha boti mbili...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Responded Hatimaye maji yameanza kutoka Mbezi Beach kwa Zena, JF mbarikiwe

    Wakuu, kumbe vitu vikiruka kupitia JF mambo yanaenda eeeh? Baada ya JF kurusha maji yamerejea, hapa ndio pa kuleta kero zetu Wakuu. Tukaoge vizuri na kuosha vyombo vichafu vya siku mbili. JF iishi milele🔥🔥🔥 Pia soma: KERO - Mbezi Beach kwa Zena hatuna maji siku ya 3 leo tatizo ni nini?
  9. JamiiForums Tanzania Responded Waziri Aweso: TARURA na MWAUWASA wanafanya mchakato wa kurejesha maji kwa Wakazi wa Shamaliwa - Mwanza

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kusema kuwa Wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wao hawana huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara wameharibu mabomba, ufafanuzi umetolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Waziri Aweso amesema “Ni sahihi kuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania KERO Singida: Wakazi wa Sabasaba Singida Hatuna maji wiki ya pili sasa

    Habarini wanajukwaa... Takribani wiki ya pili sasa Tarura walikuja kutifua barabara kwa ajili ya matengenezo ya barabara zilizopo eneo la Sabasaba Manispaa ya Singida. Kama wananchi hatupingani na shughuli za maendeleo zinazoletwa na Serikali ya mkoa shida ni kwamba wazee wa kazi walivyokuja...
  11. JamiiForums Tanzania CWT tawi la Songea kwanini hamtoi hela za wastaafu waliopunjwa kuanzia 2016 hadi 2024 wakati nauli zao mlikula?

    2021 aliwaita wastaafu wote ambao walipunjwa pensheni zao na mkafanya nao kikao mkakubaliana atumwe katibu dodoma kwenda kufuatilia hayo mapunjo ambayo baadhi ya wastaafu katika penshen zao walipata pesa tofauti na wanachodai na mkakiri kweli mahesabu hayakufanyika vizuri. Baada ya katibu...
  12. JamiiForums Tanzania Bilioni 1.3 Kutatua Changamoto ya Maji Kijiji cha Kumubuga, Ngara

    BILIONI 1.3 KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI KIJIJI CHA KUMUBUGA, NGARA Serikali imetenga Shilingi Bilioni Moja na Milioni Miatatu (Bilioni 1.3) ili kutatua changamoto ya tatizo la Maji katika Kijiji cha Kumubuga Kata ya Nyamagoma wilayani Ngara mkoani Kagera Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji Dar es Salaam na Pwani

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), inahitajika kufanya innovation katika idara ya manager watu hatuwezi kuwa na viongozi ambao hawajitambui katika wajibu wao uliowafanya wawe hapo! You can imagine maji hayatoki takribani siku 4 sasa na this later imetolewa...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Responded Miundombinu ya mabomba kwenye Vyoo vya 'Magufuli Bus Terminal' imeharibika, maji yanatoka ovyo na hakuna anayejali

    Kituo kikuu cha Mabasi Dar es Salaam 'Magufuli Bus Terminal' ni miongoni mwa maeneo ambayo Serikali imekuwa ikikusanya mapato, kutokana na hilo inatarajiwa Miundombinu na huduma za kituo hicho ziende sambamba na kodi na tozo wanazotozwa Wananchi ambao wamekuwa wakifika eneo hilo. Kwa sasa licha...
  15. JamiiForums Tanzania KERO DAWASA, ni lini mtatoa huduma ya maji bila mgao?

    Habari wakuu, Nina miaka kadhaa katika jiji hili la Dar es salaam, na wengine wote wanaoishi katika jiji hili ni mashahidi, Kila nyumba ina vifaa vingi vya kutunzia maji, iwe ndoo, jaba au tank na kuna wakati unakuta maji yote uliyotunza yameisha ndanj na maji hayatoki, hasa kipindi hiki...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais wa Kenya maji ya shingo, akimbilia mahakamani kujaribu kuzuia kung'olewa kwenye nafasi yake

    Naibu wa rais Kenya amelazimika kukimbilia mahakamani kujaribu kuzuia mchakato wa kubanduliwa kwake ofisini ingawa uwezekano wa bunge kumuondoa bado ni mkubwa zaidi. Tayari wabunge wapatao 242 wameridhia muswada huo kuletwa bungeni kati ya angalau wabunge 117 waliohitajika kisheria. Endapo...
  17. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji Tabata, DAWASA hawana majibu

    Kwenu Wahusika, kwa mara ya pili! Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya kuingia gharama kubwa kupata maji hayo. Bill yetu ya hivi karibuni inaonyesha matumizi ya maji kuwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya upatikanaji wa maji mji mdogo wa Ushirombo, Wilaya ya Bukombe

    Mh. waziri wa maji tunawasilisha kwako barua ya kero na Usumbufu mkubwa wa upatikanaji wa maji mji mdogo wa Ushirombo, Wilaya ya Bukombe. Hii yote ni kukosekana kwa uwajibikaji kwa Mkurugenzi Mtendaji. ======= Waziri wa Maji Mh. JUMAA AWESO S.L.P, 456 Dodoma YAH: KUTORIDHIKA NA UTENDAJI KAZI...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Shamaliwa - Mwanza hatuna Huduma ya Maji zaidi ya Mwezi, Wanaoboresha Barabara wameharibu Mabomba

    Sisi wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wetu hatuna huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara kwa nia ya kuboresha wameharibu mabomba na hivyo Mamlaka ya Maji kulazimika kukata maji. Wanachofanya wanaotengeneza Barabara ni jambo jema lakini sasa...
  20. JamiiForums Tanzania MUWASA Yaendelea Kusambaza Maji ya Bomba Musoma Vijijini

    MUWASA YAENDELEA KUSAMBAZA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI Mitambo iliyofungwa Bukanga, Musoma Mjini, kwa ajili ya kuzalisha maji kutoka Ziwa Victoria ina uwezo wa kuzalisha lita milioni 36 za maji kwa siku - haya ni maji mengi mno ukilinganisha na mahitaji ya maji ya kila siku ya Mji wa Musoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…