maji ya kunywa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbepo yamba

    White house ya nchi ya Mtanila mpaka sasa imetumia 30b. Hadi maji ya kunywa anaagiza US

    Juzi hapa amestopisha mzabuni wa maji asilete tena toka US. Sasa kwa boko la jana atatumia ya arabuni au china? Ni suala la muda. Ndugu zangu wana Mtanila, mnabanangwa kisawasawa na huyu mtawala wenu
  2. comrade_kipepe

    Hii taarifa kwamba Malkia anakunywa maji kutoka Marekani imekaaje?

    Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka Marekani. Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??) Eti...
  3. Knock life

    Kikwete aliwahi kusema kuwa wana Ccm hawaachiani maji ya kunywa, kwahiyo kama Kuna watu hamkuelewa mtaelewa kwa njia ngumu

    Wana Ccm hawaachiani maji , kauli hii aliitoa kikwete .
  4. Sifi Leo

    Kusema ukweli zomea zomea Yao imechangia kumuua. MLIO karibu na Dr Kigwangala na wengine mpeni Maji ya kunywa

    Kusema ukweli huyu aliishatabiliwa kuuwa kwa sumu, na ikishindikanika akizomewa presha itapanda na atakufa. Je angetangaza kutogombea angezomewa na nani? Msomaji, utasema walio mzomea ndio walio mpigia kura jibu ni hapana ukitaka ukweli karudie kuhesabi kura uone ukweli KIMSINGI hakushinda ila...
  5. Dogoli kinyamkela

    Wafugaji wa kukuChukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako.✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya ku

    Wafugaji wa kuku Chukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako. ✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya kuku Mdharau asili hufa masikini
  6. Waufukweni

    VIDEO: Tundu Lissu anyimwa Maji ya kunywa Mahakamani, Hakimu atoa utaratibu

    Wakuu! Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amenyimwa maji ya kunywa mahakamani aliyokuwa akipewa na kaka yake wakati wa usikilizaji wa kesi yake ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
  7. BabaMorgan

    Ukifikiria kiundani hili la kununua maji ya kunywa ni ulimbukeni na ushamba

    Kama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa. Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani...
  8. Mwachiluwi

    Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

    Hivi ni mimi tu naona haya au Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Heche: Umasikini wetu ni umasikini wa makusudi, inawezekanaje eneo lenye madini yasiyopatikana kokote duniani halina maji ya kunywa mpaka leo?

    "Umasikini wetu ni umasikini wa makusudi Hivi inawezekanaje eneo linalotoa madini yasiyopatikana kwingine kokote duniani halina maji ya kunywa mpaka leo? Maji yanatoka ziwa Victoria yanakwenda Misri Jangwani watu wote wanapata maji, kutoa maji kutoka Arumeru yafike hapa imeshindikana miaka 63...
  10. F

    Pendekezo la Biashara ya kuchakata maji ya kunywa

    Habari, nimepita na kuona machine ndogo za kuchakata maji ya kunywa kwa uwezo 500L kwa saa zinauzwa hapa Tanzania, nimeona ni fursa kwangu kwakuwa nina source ya maji nyumbani na eneo naloweza funga mashine hivyo kubakiwa na kazi ya kutafuta chanzo cha fedha kufanikisha, hivyo nimeona niliweka...
  11. ELI COHEN

    Usingomaza unaongezeka kwa maana wadada hawataki tena kutii mabwana zao ila wakienda makazini hata boss akimtuma maji ya kunywa anasema "yes sir"

    Najua mnaweza kuja na claim ya kuwa unakuta bwana ni mkorofi, aaah waapi!? Ebu jaribu kuwa mpole wa kupitiliza uone jinsi gani mwanamke atakavyokuendesha. Tatizo kuwa hamtaki tena role ya "traditional woman" iliozoeleka katika mapenzi, mnataka mapenzi ya instagram, ukweli ni kuwa mwanaume...
  12. P

    Dr. Janabi hujaliona hili? chuo chetu kikuu hakiruhusu wanachuo kuingia na maji ya kunywa maktaba

    Kuna taratibu zingine ukizikuta unaanza kujiuliza hawa waliwaza nini? Kwa aina ya viongozi waliopo pale chuoni kwetu sina shaka wote wanajua umuhimu wa kunywa maji kila wakati ili Ubongo ufanye kazi vizuri. Sasa inakuaje mwanafunzi anaingia maktaba anakatazwa kubeba maji ya kunywa na kule...
  13. Waufukweni

    LGE2024 Siyame awavaa CCM kwa kuwapa wana Momba maji ya kunywa yasiyo salama

    Mtiania wa Nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kuwapelekea maji safi na salama wananchi wa jimbo la Momba mkoa wa Songwe, awataka wananchi wanapokuja viongozi wa kiserikali wawapatie hayo...
  14. Echolima1

    Majeshi ya Israel yateka maeneo ya magaidi wa Hezbollah huko Lebanon

    Magaidi wa Hezbollah Wameamua kukimbia na kuyaacha maeneo yao baada ya kupata ki pigo kikali kutoka majeshi ya Israel. Huko Lebanon kusini. Kitendo hicho cha Israel kimesababisha kilio huko Tehran maana hawakupenda kipenzi chao kuchakazwa hivyo.
  15. Hismastersvoice

    Nilikamatwa Morogoro stesheni ya SGR nikituhumiwa kusafirisha chupa ya mil.500 ya maji ya kunywa!

    Ijumaa tarehe 20 saa 1:15 asubuhi haikuwa siku njema kwangu, nilifika stesheni ya SGR nikiwa na furaha ya kuanza safari ya kuelekea Dar es Salaam, baada ya kukaguliwa tikiti yangu nikaambiwa niweke begi kwenye mtambo wa ukaguzi kisha nikaenda upande wa pili wa mtambo kulipokea begi. Nilipofika...
  16. JanguKamaJangu

    Mazingira ya Mashine za maji ya kunywa ya bure kwa Wananchi Dar es Salaam haziko salama, Wizara ya Afya fatilieni kinachoendelea

    Katika pitapita zangu kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, zaidi ya miezi mitano kuna jambo nimekuwa nikilichunguza ikiwa ni baada ya kukumbana nalo kwa mara kwa mara kwenye nyakati na maeneo tofauti. Ukipita baadhi ya maeneo yaliyopo pembezoni mwa barabara kwenye Jiji la Dar es...
  17. Bunchari

    Kwanini mahotelini huduma ya maji ya kunywa huwa Bure na kwa unyenyekevu mkubwa Toka kwa mmiliki wa hoteli

    Habari wakuu I real hope you are doing good Nimekua nikijiuliza kwanini mtu anapoenda mgahawani kuomba huduma ya maji ya kunywa pasipo kuitaji hudumu upata mapokezi mazuri hita pale ambapo mmiliki wa mgahawa anapokua na mauzo yasiyoridhisha Hii imekaaje ndugu zangu?
  18. K

    Maajabu ya maji ya kunywa katika kutibu Vidonda vya Tumbo na Bawasiri

    Poleni na majukumu mbalimbali ndugu zangu, Bila kuwapotezea muda,napenda kutoa ushuhuda juu ya umuhimu wa maji ya kunywa kama tiba katika kutibu tatizo la Vidonda vya tumbo na Bawasiri. Tatizo la vidonda vya tumbo,kwangu lilikuwa ni la zaidi ya miaka mitano ,licha ya kujitahidi kutumia dawa...
  19. T

    Biashara ya kuuza maji ya kunywa

    Habari za asubuhi Nilikuwa naomba kuuliza hii biashara ya kuuza maji ya kunywa Katika vituo mfano wa atm imeakaaje ( faida na hasara zake) Naomba kuwasilisha
  20. T

    Biashara ya kuuza maji ya kunywa (maji baridi na maji Moto) katika vituo vya daladala

    Habarini za asubuhi Kuna biashara nimeona ikianza kushika Kasi dar es salaam, uzaaji wa maji ya kunywa kwa gharama nafuu ya shiling Mia mbili kwenye vituo mfano wa ATM hii imeakaaje wataalamu naomba kuwasilisha
Back
Top Bottom