maisha

  1. JamiiForums Tanzania Tuenjoy maisha ndugu zangu, maisha yenyewe mafupi haya

    Vitabu vya dini vinasema kuna maisha huko mbinguni baada ya kifo, ndugu zetu waislamu wameahidiwa mabikra 72 huko peponi. Yote yaliyosemwa kwenye vitabu vya dini kuhusu maisha baada kifo imebakia kuwa fumbo kwetu, maana hakuna aliyeenda huko na kuleta mrejesho, hata yesu mwenyewe alisema...
  2. JamiiForums Tanzania Ikiwa ingekubidi ule vyakula vichache pekee maisha yako yote nini ungekula na kwanini ?

    Tufanye umeambiwa uchague vyakula fulani bora ila vichache na itakubidi ndo uvile maisha yako yote usibadilishe aina nyingine me nadhani ambavyo ningeweza kufikiria vingekuwa ni. 1.parachichi Kwa sababu ya afya ya moyo. 2.kabeji au tembere maana ina vitamini k,na itazuia saratani. 3.samaki...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

    Nimeajiriwa ngazi ya chini Serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa. Mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo. Nina mawazo kuacha kazi changomoto sijajipanga. Niwaza hadi nimefika mwisho sijui nifanyeje, nina madeni mengi, na hapo hata...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuishi Maisha Ya Kitajiri Kwa Kuanzia Hapo Ulipo Sasa

    Rafiki yangu mpendwa, Kwenye harakati za kujenga utajiri na uhuru wa kifedha, huwa ni rahisi sana kujisahau kuyaishi maisha. Ni mpaka pale mtu anapofikia lengo alilokuwa nalo ndiyo anagundua hapati furaha aliyotegemea angeipata. Tatizo siyo kwamba utajiri na uhuru a kifedha hauleti furaha...
  5. JamiiForums Tanzania Maisha matamu ila mapenzi yamekuwa machungu kama kitunguu swaumu

    Mungu awe nanyi, Dunia Ina mengi matamu tumeishi nyakati zote tunaona utamu wa Dunia ila kwa sasa mapenzi yamekuwa Machungu sana, bila pesa wanaume tumegeuka vibwengo watazamaji wa miili minono ya wanawake ikipita barabarani, ukijikaza kidogo tu swali la kitaifa linakuhusu. Una shingapi? Hii...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana wasomi wanapitia wakati mgumu maisha baada ya vyuo

    Maisha baada ya chuo ni magumu sana, mtu unaweza kuwa unajitafutia riziki mfano boda boda unakutana na disappointments nyingi. Kuna watakaokwambia kuwa umesoma Kwa ajili gani na unafanya kazi duni lakini watawala watatuita maafsa, ila yote ya yote ni kufocus na kujituma ukiwa unasubiri miujiza...
  7. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania wataendelea kupigwa na maisha mpaka mwisho wa Dunia

    Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote za kiuchumi. Kama viongozi wa Kitaifa wanawajumuisha Kizazi og na Wadudu wa Arusha kwenye issue...
  8. JamiiForums Tanzania TANESCO: Unit 75 kwa mwezi ni chache sana kwa maisha ya sasa ya technolojia

    TANESCO wanatakiwa kwenda na wakati unit 75 kwa mwezi kwa maisha ya sasa ni chache sana maana kwa sasa vitu basic vya umeme majumbani ni vingi mambo yamesha badilika na nyie mbadilike Mtu anatumia umeme kwa kujibana bana kisa anaogopa kuvuka unit 75 na wakati vitu alivyo navyo ni basic kabisa...
  9. JamiiForums Tanzania Baadhi ya sababu za kukataa kuoa, hoja zangu ni katika mtazamo wa kukataa kuuishi Ujinga na Upumbavu

    Shalom, Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa. Na katika hili sipo hapa kusema msioe bali iwe ni afya kujadili na kutambua haki ya kila mtu kupanga na...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha tuko safarini na tuko ndani ya historia nani anabisha ?

  11. JamiiForums Tanzania Lipi jema kwa Mswahili / Mwafrika kati ya Kuchagua Kuishi maisha ya Kujitenga nao waseme Unaringa au Kujichanganya nao Wakuzoee na waanze Kukudharau?

    Yaani kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajikita Kusoma sana tu Comments zenu basi ni katika huu Uzi wa leo.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuna familia ambazo zinaamini ili utoboe katika maisha basi uajiriwe na nyingine katika kupambana (kujiajiri)

    Kama kichwa cha mada hapo juu kinavyojieleza, kuna familia ambazo zimeaminishwa ili waweze kuendesha maisha nipale wanapokuwa katika ajira ,ama shirika au serikalini. Na familia hizi nyingi zitafanya juu chini kuhakikisha mwanafamila wao unaingia katika ajira ama serikalini au katika taasisi...
  13. JamiiForums Tanzania John Malecela amefikisha miaka 90, Cleopa Msuya amshauri aandike kitabu cha maisha yake

    MZEE JOHN MALECELA AMEFIKISHA MIAKA 90 MZEE CLEOPA MSUYA KAMSHAURI AANDIKE KITABU CHA MAISHA YAKE TANZANIA IFAHAMU MCHANGO WAKE MKUBWA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Nimeangalia video ya Mzee Malecela aliyepata kuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Waziri Mkuu akisheherekea miaka 90 nyumbani kwake...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiwa serious sana na maisha unakitafuta kiharusi

    Kwenye maisha usiwe serious sana ishi Kama mwijaku furahia maisha fanya vitu ambavyo vinaonekana vya ajabu mtu mzima kuvifanya mfano kubebana mgongoni,. Kuwa serious kwenye ishu ya posho tu maana usipokuwa serious kwenye hela unaweza kudhulumiwa usipate gawio. Kula vinono na kunywa pombe...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Happy Sham El-Nessim! Sherehe za Uamsho wa Maisha ! Zilizoasisiwa mwaka 2700 BC

    Sham El-Nessim, sherehe ambayo hufanyika kwa uzito sawa na Pasaka, inayoangukia siku baada ya Jumapili ya Pasaka kila mwaka. Taratibu na imani zinazohusiana na sherehe za leo za Sham El-Nessim zinaunganisha moja kwa moja na sikukuu za Misri ya Kale. Sawa na Pasaka, tamasha linahusu dhana za...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanzo dunia na maisha ya viumbe vilivotangulia na kupotea

    Dunia iliundwa karibu miaka bilioni 4.5 iliyopita, lakini viumbe hai vya kwanza vilianza kuonekana miaka mingi baadaye. Mchakato wa kuibuka kwa uhai duniani unahusisha hatua kadhaa za mageuko na maendeleo ya viumbe hai. HISTORIA NA AINA YA VIUMBE VILIVYO KUWEPO DUNIANI Viumbehai...
  17. JamiiForums Tanzania Ukiwa mkweli kabisa kutoka moyoni, How are you? Unaendeleje na hali?

    Wana MMU, Wengi tukisalimiana unaambiwa good moorning, unajibu tu kukamilisha salamu. Unaulizwa unaendeaje na hali unajibu fasta tu salama wakati ukweli ni kwamba unakaribia ku give up, maisha yako yameshikiliwa na ki uzi chembamba tu kiasi kwamba upepo ukipiga kidogo tu umekwenda. Wengine...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Rihanna Atoa Somo Zuri kwa Wanawake. Jitahidini Kuishi Maisha Ambayo Hamtajutia Baadaye

    Kuna msemo wa Kiswahili unaosema muda ni mwalimu mzuri. Hili linaonekana wazi kwenye maisha ya wanawake. Labda tuzungumzie mastaa fulani wa kike ambao wanajutia sana maisha waliyoishi miaka ya nyuma. ●RIHANNA Kwenye mahojiano yake ya karibuni alisikika akisema "Huenda ikaonekana ni unafiki...
  19. N

    JamiiForums Tanzania TAWA yafanya msako wa mamba tishio kwa maisha ya binadamu Rufiji

    Katika kuhakikisha usalama wa maisha ya watu wilayani Rufiji, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imefanya msako wa mamba wanaotajwa kutishia maisha ya watu kutokana na kusogea karibu na makazi ya watu kufuatia kusafirishwa na mikondo ya maji yaliyosababishwa na mafuriko...
  20. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Teknolojia: Faida na Hasara zake katika maisha yetu

    Habari zenu wadau wa Jamii forums, Leo nimekuja na suala dogo tu kuhusiana na teknolojia faida zake na hasara katika maisha yetu ya kila siku. Teknolojia imeleta mapinduzi makubwa katika maisha yetu. Imebadilisha jinsi tunavyowasiliana, tunavyofanya kazi, na tunavyofurahia burudani. Kuna faida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…