maisha

  1. JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Wenye Imani za Kikristo na Kiislamu, Mlijengaje Imani Zenu? Mimi hata Upagani Umenishinda; Nifanyeje Kumuona Mungu Mnayemuona?

    Dini zote zinaegemea juu ya udhaifu wa binadamu wa kufikiria na kukubali hali ya kutokuwepo baada ya kifo. Lakini ni nini hasa kinachotufanya tusikubali wazo la kutoweka bila alama yoyote? Je, ni woga wa kutokuwa na maana, au ni hitaji la kufarijika kwamba kuna mwendelezo wa safari hii baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Uislam ni hadithi za maisha ya jamii ya qurayshi na machache kutoka kwenye biblia

  3. JamiiForums Tanzania Uhalisia wa maisha tuishiyo sasa

    Kuna ladha na maana havipo tena.. Milele😭😭😭😭 Walivyo wa kileo😪
  4. JamiiForums Tanzania Hobi yako hiyo unayopoteza nayo muda, inawezaje kubadilisha maisha yako?

    Mvulana Aliyependa Kusoma Kutokea umri mdogo, Jeff Bezos alikuwa na kiu kisichoisha cha kujisomea. Mama yake Jackie alimkuta Jeff mara nyingi akiwa chumbani, akiwa amezungukwa na milima ya vitabu, akiwa amepotelea kwenye dunia za mbali zilizoko vitabuni. Alimtia moyo kwa kupenda kujisomea, kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Haya Maisha ni Kitendawili Kigumu kweli kukitegua na Mambo yamebadirika sana

    ...... Mods msi-edit huu uzi
  6. R

    JamiiForums Tanzania Salamu ya masikini ilishatafsiriwa ni kuomba msaada, jitahidi sana kwenye haya maisha upigane na umasikini watu wasikukwepe

    Hata kabla hujafungua kinywa au hata kabla simu yako uliyopiga haijapokelewa, tayari unaonekana unataka kutaja shida usizoweza kuzitatua sababu ya kukosa pesa hivyo unataka kuomba msaada, Ukiona watu wanapita kama vile hawajakuona, wanajifanya kuwa bize kuongea na simu, n.k. hesabia...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha

    Hiyo ni Moja ya picha inayotrend sana mtandaoni, Mama mmoja akiwa hotelin na familia yake lakin wakionekana kumtenga aliyedaiwa ni mfanyakazi wa ndani Tena kwa kumwambia ageuke upande mwengine ili watu wasije kutambua kwamba wapo pamoja Je huu ni unyanyasaji, roho mbaya au ni uchoyo? Nipe...
  9. JamiiForums Tanzania Mitihani ya maisha

    Mitihani ya maisha. Anaitwa Pereira Ame Silima alikua Mbunge wa jimbo la Chumbuni, Zanzibar kuanzia mwaka 2010 hadi 2015. Pia amewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha 2010 hadi 2012, kisha Naibu Waziri Mambo ya ndani 2012 hadi 2015. Kwenye uchaguzi wa 2020 alichukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar...
  10. JamiiForums Tanzania Aina hii ya maisha mpaka lini kuchelewa kulala na kuwahi kuamka

    Mbinguni tutafika tukiwa hoi wakuu sio mchezo fikiria tu lifestyle ya kuchelewa kulala na kuwahi kuamka mwili haupati fursa ya kupumzika ipasavyo unalala saa 7 usiku afu saa 10 alfajiri unapaswa uwe tayari umeamka. AIna hii ya maisha lazima upate changomoto ya afya ya akili ukiongeza na ugumu...
  11. JamiiForums Tanzania Maisha ni magumu ,Hali si shwari mtaani

    Maisha ni magumu wazee, Na wanadamu ni wepesi wa kusahau ni miaka michache tu mkoani Morogoro watu wengi walipoteza maisha katika tukio la uchotaji wa mafuta baada ya Gari kupinduka. Leo hii pichani ni wananchi wanaochota mafuta baada ya Lori kuanguka. Picha inaeleza Mengi. Source ITV.
  12. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Watu 700 wakadiriwa kupoteza Maisha kwenye Tetemeko la Myanmar

    Zaidi ya watu 700 wameuawa nchini Myanmar na maelfu ya wengine kujeruhiwa kufuatia tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 ambalo lilisikika pia katika nchi jirani. Wengi wa walioaga dunia wako Mandalay, mji wa pili kwa ukubwa nchini Myanmar, na mji ulio karibu zaidi na kitovu cha tetemeko la...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini watu Tunalalamika MAISHA MAGUMU?

    Kuna sababu nyingi zinazochangia watu kulalamika kuhusu ugumu wa maisha. Baadhi ya sababu hizo ni kama zifuatazo: * Gharama za Maisha Kupanda: * Bei za bidhaa na huduma muhimu kama chakula, nyumba, na usafiri zinaongezeka, na hivyo kuwafanya watu wengi washindwe kumudu mahitaji yao. *...
  14. JamiiForums Tanzania Picha X-rays kali za kutisha ambazo ni ngumu kuamini

    Maisha ni safari ya ajabu, Hizi picha hapa chini sio za kuchora, ni matukio halisi yaliyotokea. 1. Mwaka 2020, msichana mmoja alipata ajali mbaya akiwa ndani ya gari huku miguu yake ikiwa juu ya dashboard. Ajali ilipotokea, mguu wake ulisukumwa kwenda nyuma vibaya na hii ni picha ya X-ray...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Haya maisha bila kujitoa sadaka huwezi toboa

    Kabla sijafa masikini wana jf mnipe muongozo hilo ndo ombi langu kwenu Ninashida kubwa sana kwenye upande wautafutaji wangu. Kila nachofanya hakiendi mambo yamekua magumu sana. Najua huenda kuna watu wanashapitia hali kama na wakapata muongozo mambo yakakaa sawa ww kama mtu mzima naamini...
  16. JamiiForums Tanzania Je, Umewahi Kujiuliza Maisha Yana Maana Gani? Labda Ulimwengu ni Mtihani, Maisha ni Somo; Kila Kitu Unachofanya Kina Maana Kubwa Kuliko Unavyodhani

    Ulikuwa njiani kurudi nyumbani, mawazo yakiwa mbali, labda ukifikiria siku yako ilivyokuwa—halafu ikatokea. Ajali ya gari. Hakukuwa na kitu cha pekee kuhusu ajali hiyo; ilitokea ghafla kama zilivyo ajali nyingi. Haikuwa na ukatili wa sinema au miujiza isiyoelezeka. Ilikuwa tu… mwisho wako...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Heri Mchina anaepunguza ukali wa maisha kuliko mzawa anaetupiga, usumbufu wenu unatufanya tuzidi kujaa kwao, Mchina haendi popote, HERE TO STAY !

    Acheni kujibanza kwenye kisingizio cha uzawa, wateja wanachotaka ni kupunguza ukali wa maisha. Tunachotaka kukiona ni ladha ya ushindani wa kibiashara, haiwezekani kitu ya tsh elf 5 unauziwa mpaka elf 30, mchina anakuja kuuza kwa bei rahisi mnaanza kulia Uzalendo, ni uzalendo gani huo wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  19. JamiiForums Tanzania Nawatesa majirani na maisha yangu kuwa siri yangu

    Niende moja kwa moja tu kwenye kuandika huu uzi 🙏 Alhamdulilah naishi maisha ya kawaida sana kwa kipindi hiki maisha yangu sasa yamedondokea kwenye shughuli za ujenzi wa tiles, japo nilishawahi kuajiriwa kwenye baadhi ya kampuni za kuchezesha michezo ya kubashiri miaka ya 2015-2020, baada ya...
  20. JamiiForums Tanzania Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

    Habari zenu ndugu zangu , Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma! Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki. Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…