maisha

  1. JamiiForums Tanzania Kutoa msaada ni sadaka inayoweza kukufanikisha katika mambo mengi kwenye maisha yako

    Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia, Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
  2. JamiiForums Tanzania Zaharani - Maisha na mashairi

    ZAHARANI - MAISHA NA MASHAIRI. Verse..1. Hizi mbio sio za Baiskeri , Haiwezi kabiri Kasi/ Tahadhari usije Ukaferi , Mbuzi Amzindi Farasi/ Usiwambie Watu watakucheka/ 😄 🤣 "hahaha " Wengi wameishia Sakafuni/ Chunga usipige mweleka , Usafi wa Nafsi sio Sabuni/ Unapozungumzia Hip hop , Lazima...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Eng. Kundo, nusuru maisha ya Wananchi na Watumishi Kata ya BUNAMHALA

    Ni jambo la kusikitisha na linaloumiza moyo kuona hali ya miundombinu ya barabara na daraja katika Kata ya Bunamhala, iliyopo Wilaya ya Bariadi Mjini. Mbunge wetu, Mhe. Kundo Andrea Mathew, tunaomba utupie macho hali hii inayotishia uhai wetu. Kama unavyoona kwenye picha na video, hapa ndipo...
  4. JamiiForums Tanzania Sauti nne pekee ambazo sisi wanaume tunapenda kuziskia kwenye maisha yetu.

    #everything in life come and Go
  5. JamiiForums Tanzania Hekima

    Usitake muujiza , kama unaweza kutumia maarifa ukafanikiwa . Hekima uwa Ina jieleza yenyewe.
  6. JamiiForums Tanzania Tafiti;waliopo kwenye ndoa wanaishi maisha marefu yenye sonona tofauti na walioko singo?

    Marriage license ==== Fahamu Zaidi Tafiti: Waliopo kwenye ndoa, huishi maisha marefu zaidi tofauti na waliopo 'singo'!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Stadi za maisha: Elimu muhimu inayokosekana kwa wanafunzi shuleni

    Mara nyingi wazazi wanapochagua shule kwa ajili ya watoto wao, kigezo kikuu huwa ni ufaulu wa kitaaluma. Siku hizi, baadhi ya wazazi wako tayari kulipa ada kubwa ili kuhakikisha watoto wao wanasoma katika mazingira bora, huku wakiachia jukumu la malezi kwa walimu. Kwa upande mwingine, shule...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha ya wairani kabla haijawa jamuhuri ya kiislam

    Kipindi Irani inaongozwa na vibaraka wa Marekani ndio ilikuwa hivyo hapo Sasa ndio Marekani ilikuwa inajisikia raha maana walikuwa na nafasi ya kufanya biashara zao za Pombe Madawa ya kulevya Umalaya Ushoga Na kuiba rasilimali za Irani Watu wenye akili kama akina Komenei wakasema hili...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi cooperative officer II wana maisha kweli?

    Kuna usaili wa huko utumishi wa cooperative officer ii, jina lilivyokaa tu inaonekana ni njaa kali sana. Sasa nawaza nikapige huo usaili au nikomae zangu na mchina tu huku private. Je wakuu,hao cooperative officer ii wana maisha kweli au njaa kama zote?
  10. JamiiForums Tanzania Trend mpya Instagram: Wadada wengi wa mjini wamegeuka washauri wa maisha wakiwa ndani ya magari yao wakirekodi video

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
  11. JamiiForums Tanzania Maisha ya mende (mdudu)

    Maisha ya mende yanahusisha mzunguko wa ukuaji unaopitia hatua tatu kuu: yai, tunutu (nymph), na mende mpevu. Mende ni miongoni mwa wadudu wastahimilivu zaidi duniani, wakiwa na uwezo wa kuishi katika mazingira magumu sana. 1. Mzunguko wa Maisha (Life Cycle) Mende hupitia mchakato wa ukuaji...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinauma kama kujiona unazeeka Bila maendeleo yoyote kwenye maisha yako

    Hakuna kitu kinauma kama kujiona unazeeka Bila maendeleo yoyote kwenye maisha yako 🤔
  13. JamiiForums Tanzania Credit Card au Debit Card: Ni kadi ipi Inafanya Maisha yako Kuwa Rahisi Zaidi?

    Katika dunia ya leo ya miamala ya kidijitali, kadi za benki zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu kila siku. Iwe mi kulipia huduma ama kununua bidhaa madukani hadi kufanya manunuzi mtandaoni, watu wengi sasa hutegemea kadi badala ya kutembea na pesa taslimu. Lakini swali linabaki: kati ya Credit...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wengi wameoa/kuolewa kwa kufata mkumbo na imewagharimu sana

    Jipange vizuri kiuchumu, tafuta mwenza sahihi, usisikilize maneno ya watu au fulani kaoa ngoja na mimi nioe try at you own risk. Jipange kwanza usifate mkumbo
  15. JamiiForums Tanzania Big Yes or Big No

    Kwenye video hii kuna mwanamke anayewapatia ushauri watoto wa kike. Baadhi ya wanawake wamemuunga mkono sana huku wanaume wakionesha kuwa ameongea tope. Ukitazama ushauri wake ni sawa na kusema “When You Get a New Girlfriend, Tell Her You will be Fired from Job in Two Months Away and See What...
  16. JamiiForums Tanzania Binafsi maisha ya Dar es salaam yamenishinda

    Kuanzia suala Zima la imani, huku watu wengi hasa maeneo ya mjini na uswahilini hawana imani kabisa wako mbali na Mungu. Suala la malezi ndio kabisaa mana watoto hujifunza kwa wanaowazunguka mtoto akikulia vingunguti Tabata au mbagala kazi ipo. Suala la ajali ndo usiseme ajali za uzumbe kabisa...
  17. JamiiForums Tanzania Kama kijana upo chini ya miaka 30 soma hapa ili ufanikiwe kwenye maisha

    Ili kijana kujenga mafanikio yenye heshima na ambayo ayachoshi roho yako zingatia vitu hivi hapa. 1.uhusiano wa kiroho(spirtual relationship) Kijana hili ufanikiwe ni muhimu kujenga uhusiano wako na Mungu katika maisha yako. Uhusiano wako na Mungu unajengwa private na sio public, Tenga muda...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ukata wa fedha na ugumu wa maisha watesa viongozi wa CHADEMA Taifa

    Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa. Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana...
  19. JamiiForums Tanzania Siri ya watu wenye high frequency(aura) na maajabu yake katika maisha

    High frequency(aura) ni energy au uwezo ambao mtu anakuwa nao kutoka kwa Mungu( God) au presence of God within. Kwa nini watu hawa wana high frequency ni sababu ya pure heart(upendo) sehemu yoyote yenye upendo uwa ina high frequency au aura, Mungu ili uwepo ndani yako lazima moyo wako uwe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…