Maisha Bora is a village in central Kenya. It is in the eastern province of the country and is a subset of the town Isiolo in this division.
There are 1,500 inhabitants who speak the Turkana language and, predominantly, share a Somalian heritage and the Muslim religion. The main form of employment is slaughterhouse work, with rope making and bread baking.
There is currently a single-roomed nursery hut within the community but no school. Children who do attend school are generally earning an income from a young age. Combined with the small average income of residents the poor access to education has led to the low levels of literacy and school completion rates today.
A local stream provides water for washing and drinking, though it is not piped, and electricity and formal sanitation systems are also not present in the community. The rates of HIV/AIDS have been affected by the high level of truck traffic passing through Isiolo which has fuelled a sex trade regionally.
My people,
Unapomuacha mtoto wako aache sahani mezani baada ya kula sio tu kwamba unamfanya awe na tabia mbaya bali unamtengenezea mazingira ya kuwa na future mbaya huko ukubwani.
Mtoto anapomaliza kula na kisha mzazi ukamuondolea sahani yake,hii inamjenga mtoto akilini kwake kwamba kuna mtu...
Habari Tanzania !
Leo hii maisha bora kwa kila Mtanzania imekuwa ndoto na wakati mwingine inaonekana kama ni jambo lisilowezekana na hii ni chanzo cha aina ya watu na uwezo wao wa kufikiria.
1. Ujenzi wa Nyumba na Makazi ya kupanga yamekuwa aghali sana.
Njia: Punguzeni tozo na kodi kubwa...
Katika hali halisi ya maisha hatuwezi watu wote kualingana namna tunavyoendesha maisha yetu. Vivyo hivyo hata mataifa hayawezi kufanana kiuchumi. Vigezo vya upimaji wa uchumi si tu namna wanavyoishi bali pia hupimwa kutegemea na rasilimali zilizopo katika nchi husika..
Hakuna asiyejua kuwa...
Tabia ya viongozi wa nchi hii kujiona wao ndiyo bora na ndiyo wanastahili kuishi maisha bora kuliko watu wao iko siku itawagharimu.
Wanaishi maisha kifahari,wanaiba ,wanajisikia,waongo,ujanjaujanja,nk kwa sasa wanakoelekra ni kubaya kwani watu wanaelekea kichoka.
Raia wa kawaida wanamaisha...
Kuna wakati bidii iliheshimika, ilikuwa valued katika level ya dhahabu na almasi.
Kuna wakati bidii ilikuletea tumaini la kubadirisha maisha na hakika baada ya muda fulani bidii ilikufanya ufurahie kile maisha ilicho ki-offer.
Baada ya dunia kupitia recession, gharama za maisha kuwa corrupted...
Habari wana jf.
Nimekua nikisoma makala mbali mbali na material mbali mbali uko mtandaoni nimekua nikitaka kujua na kufatilia je maisha yanakua bora na salama pale unapo amua kuwa mtu mwema sana (nice guy) hapa duniani.
Leo nimeona nililete mbele yenu wana jf nisikie mitazamo yenu
Pia niweke...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, huduma za matibabu zimeimarika kutokana na kuboreshwa kwa hospitali za rufaa za mikoa.
Ameongeza kuwa ajenda kuu ya chama hicho ni kuendelea kuboresha huduma za afya kwa...
Naamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake.
Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.
Nataka uishi ukielewa haya, usiku huu kabla hujalala, asubuhi ukiamka kwenda kazini, mchana ukiwa unapambana na jioni ukiwa njiani unarudi nyumbani.
Njia Halisi za Kupata Utajiri...
Badala ya kutegemea dhana za kishirikina, mafanikio ya kifedha mara nyingi yanatokana na:
✅ Bidii na kufanya...
Usijiue kwa sababu ya hasara ya pesa au kukimbiwa na mpenzi
Maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kila mmoja wetu hukutana na changamoto tofauti, lakini hakuna sababu yoyote inayostahili kuchukuliwa kama mwisho wa kila kitu. Kupoteza pesa, kazi, biashara, au hata mpenzi ni mambo yanayoumiza...
Salaam jamiiforum
Hii ni ijumaa,ni weekend ndogo kwa baadhi ya wafanyakazi wavivu na hata wanafunzi,mtu anajikuta tu haendi kazini bila sababu za msingi.kwa leo hata Mimi ni mmoja wapo
Leo tuliangalie suala la umri na kukumbushana mambo kadhaa,ili kutambua wapi tumetoka ,tulipo na hata...
Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day
Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi
1.Siasa ya unafiki unafiki
2. Huna...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu.
Dominika njema
Katika zama hizi, dhana ya “Soft Girl Era” imechukua kasi kubwa, hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wanawake wanajitokeza wakipigia debe maisha ya utulivu, starehe, na kujitunza—mara nyingi wakitoa picha za maisha yenye mwonekano wa kifahari na uzuri wa kila aina. Lakini hii ina maana gani? Je, ni...
Ukweli ni kwamba mwanamke unae-date naye kuna uwezekano mkubwa kajiweka tu kwako kwa sababu anahitaji pesa. Ni masikini, hana kazi(kama anayo kipato chake akitoshelezi lifestyle anayoitamani) na kwa sasa wewe ndie jibu la tatizo lake
Atakapojipata ndio utajua ujui. Atakulaumu, atahoji hayo...
Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna.
Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla.
Wakuu, kwa...
Maisha ni foleni na siku zinasogea pole pole Muamini MUNGU ipo siku utafanikiwa
Ata kama sio Leo "NDUGU" yangu Ila amini ipo siku utafanikiwa
Mungu wetu halali wala hasinzii "anasikia maombi yetu"
VUMILIA shida "Ila NB usivumilie dharau unaemmudu deal nae perpendicular" 🤣ukiendekeza unyonge...
"Maisha ni safari yenye vipindi tofauti, yenye furaha, huzuni, mafanikio, na changamoto. Ni safari inayotufundisha kuwa na uvumilivu na uthabiti. Kila siku tunapita katika hatua tofauti za kujifunza na kukua, tukikumbana na vipindi vya furaha vinavyotufanya tuhisi shukrani na wakati mwingine...
Ndugu zetu wa mikoani mnaomba Sana hela
Nauliza je kilimo hakilipi? Au imekuaje tena? Njooni DSM mpambme na nyie mmiliki hela. Maana chakupewa hakishibishi.
"Wakuu habari.
Nina umri wa miaka 20 sasa lakini pia kipato nilichonacho kwa siku hakizidi 7000 Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26 lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.