Mahari is a ritualistic dance form from the eastern Indian state of Odisha that used to be performed at the temple of Lord Jagannatha at Puri by devadasi dancers called maharis. Following the abolition of the devadasi system, the dance has been discontinued at the Jagannatha Temple but is now performed on stage at many venues. The Mahari dance spurred the development of both Odissi and the Gotipua dance forms of Odisha. The Maharis have been among the foremost exponents of both traditional Odia dance and Odissi music.
kijana ana miaka 28 yupo normal kiuchumi ana shughuli zake, kapata mchumba mwenye 23, wanapendana perfect match, kufika kwao kupeleka posa wazazi wanahitaji MILIONI 7
wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kuto olewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda
Heri ya Sabato, poleni na mfungo ndugu zetu waislam na wakristo mnaotimiza agizo hili la kiimani.
Nimeamua kudandia treni ya wanaokataa mambo ya mahari kwa dunia ya sasa, hasa barani Afrika ambapo kwa asilimia kubwa ndipo haya mambo hufanyika
Dunia ambayo mwanamke amekuwa huru sana, anaweza...
Ndugu zangu hasa wanaume ambao wanatarajia kuoa jambo muhimu hua mnalisahau labda kutokana na kukolezwa na mapenzi kutoka kwa mchumba unayetarajia kumuoa..
Kuna mambo ya msingi inabidi kuzingatia sana ili kulinda heshima yako na kutodharauliwa na mkeo mkiwa ndani ya ndoa..
Jambo la kwanza...
Hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa, Baba mkwe wangu ananidai Mahari Nimalizie Nusu iliyobakia shilingi Milioni moja na Mimi kwasasa Mambo Magumu na tulikubaliana Mwezi huu wa kumi na mbili sasa Mambo yangu bado siyo Mazuri na uwezo wa kumpa hiyo Milioni hakuna ila nina Nusu yake, Shida ni...
Habari?
Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela.
Mi ninavyojua...
Ndugu zangu.
Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari badala ya kulipia wasicha(binti) huku wazazi wa wanawake hao wanakaza kichwa na kutamka mapesa makubwa...
Licha ya kuwepo kwa maeneo mengi ya kilimo, ardhi yenye rutuba, na mvua nyingi za kila mwaka lakini wazee na wajomba wa sikuhizi wameacha kulima badala yake ndoto zao wamezitega kwenye mahari za mabinti zao.
Sikuhizi kijana akijichanganya tu anakutana na mkeka wa maana. Asishangae kukutana na...
Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.
Tunaenda kwa maandiko hakuna...
Mwaka huu nina mpango wa kuoa sasa Mwezi uliopita nilimtuma mshenga kwenda kuposa kwao Mchumba wangu, Sasa mshenga akanipa jibu posa imekubaliwa na kiasi cha mahali wakatajiwa ni Shilingi milioni mbili na laki mbili na 30, Mimi nikakubali kulipa ila nikawaomba nilipe kwa awamu tatu yani awamu...
Wakuu zengwe hili limetokea Leo hapa mtaani
Binti kamaliza chuo anataka kuoelewa na mwanaachuo mwenzie Ambae ndio kwanza ananijitafuta.
Baba amekataa kuonesha😂akidai ni dharau binti ameahidi kutoroka sijui itakuwaje
Wazazi mahari ni sawa na kumuuza binti badilikeni
Mahari ni kama zawadi ya shukran kwa familia ya mwanamke juu ya malezi na ukuzaji.
Sasa kama una mwanaume unampenda 500k ni ndogo kuoelewa
Emu naombeni msaada
Tumieni sana busara
Sijui ni kwanini Wanaume wengi wa Afrika Magharibi ni Washamba mno wa Mbunye na sishangai ndiyo maana Wanaume wa Afrika Mashariki tunawazidi Ujanja na Akili.
Kwa Hamisa Mobeto ninayemjua Mimi ningekuwa Mimi ndiyo nataka Kumuoa ningetoa Mahari ya Shilingi Elfu Hamsini za Kitanzania na Kuku Jike...
Kuna tabia ime ibuka kwa kasi sana dada zetu, ndugu zetu kujilipia mahari, yupo radhi ata aka kope, auze vitu vyake aombe kwa wazazi wake kisha ampe mwanaume aje kulipa kwao.
Wakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.
Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi.
Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao...
Wakuu mpo?
Kwa wale mlio na familia namaanisha mke na watoto nadhani mtanielewa kwa haraka,
Mtu aliyeoa mwenye majukumu, mwenye afya njema ni nadra sana kumkuta kalala ndani bila kujishughulisha na kazi yeyote, wengi huamka asubuhi huenda kazini na kurudi home mida mibovu, sababu kubwa ni...
Mahali ni utumwa kwani mwanamke auzwe kama mzigo au bidhaa Waafrika tufunguke tuzitoze mali watu kama wamependana tuwape baraka na sio tuendeleze utumwa.
Ndoa nyingi sana zinavunjika kwa sababu ya hii kitu watu wakifunguka macho wakaacha hii hakuna ndoa itakayovunjika upendo utatamalaki...
Vigezo gani huwa vinatumika kupanga na kuamua kiasi cha thamani ya mahari ya mwanamke ambacho mwanaume anatakiwa aitoe kwa upande wa familia ya wazazi wa mwanamke?
Nimejichanga nina milion 3 kwenye saving yangu, nilikua na malengo ya kuongeza million 2 nyingine niiwekeze sehemu, harakati fulani, hapa na pale pressure kutoka kwa wazazi juu ya kuoa, kila siku simu zinapigwa kuniulizia naoa lini, kitu ambacho sioni kwamba ni kibaya,..
Sasa kuna binti ambaye...
Basi kwasababu siku na uwezo wa kutimiza hiyo milion 3
Nika pambana nikaipata milion Tatu Baada ya miaka miwili ya kusave fedha nikapata wazo niende Sasa kutoa mahari lakini wakati Niko njiani mawazo yakachange roho ikasita nikawaza hivi nigharimike hela nyingi ambapo unaweza oa na wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.