mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Mpina agonga mwamba Mahakama kuu Kesi ya Spika/ Mapingamizi ya Serikali yakubalika kwa Jaji

    Wakili Makore ambaye ni miongoni mwa Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina waliokuwa mstari wa mbele kumsimamia kwenye kesi aliyokuwa ameifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania ,Waziri wa Kilimo na Mwanasheria Mkuu wa...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Gachagua akita Kambi nje ya Mahakama, Nairobi

    Aliyekua Naibu Rais wa Kenya, ameweka Kambi nje ya Mahakama Kuu Kenya ili kupambania kurudishiwa Cheo chake. Mawakili 20 bado hawaamini?
  3. Q

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hivi TLS haiwezi kwenda Mahakamani kuhoji ukiukwaji wa sheria, taratibu na kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Ukiukwaji ni mkubwa tena unafanyika wazi wazi mbele ya jamii bila hofu yeyote kwa wahusika. Waziri wa TAMISEMI yupo, Tume ya Uchaguzi ipo, Vyombo vya sheria vipo. Lakini.... 1. Watoto chini ya miaka 18 wanaandikishwa, ushahidi wa picha upo. 2. Makarani wanaenda nyumbani kulala na vitabu vya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Faili limepotea mahakamani na shauri haliwezi kuendelea, tunafanyaje?

    Wakuu hivi kisheria imekaaje tupo mahakamani hapa wanandugu ila sasa cha ajabu faili wanasema limepotea halionekan so ina maana shauri limekwama. Je tufanyeje au lawyer yupi mzuri kwa hapa mitunduruni
  5. JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka acharuka 'Kesi ya Afande', ataka akamatwe kwa kukaidi kufika Mahakamani

    Wakili Peter Madeleka amecharuka katika kesi inayomhusisha Afande Fatma Kigondo, anayekabiliwa na tuhuma za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam. Madeleka ametaka mshtakiwa akamatwe mara moja kwa kukaidi kufika mahakamani. Kesi hiyo, ambayo...
  6. JamiiForums Tanzania Sean 'Diddy' Combs kufikishwa Mahakamani leo kwa mara ya kwanza

    Rapa na Mfanyabiashara Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kuwasilishwa mbele ya jaji Arun Subramanian katika mahakama ya Manhattan, Alhamisi hii majira ya mchana, akitokea gereza la Brooklyn. Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Combs kukutana na jaji katika kesi inayomhusisha biashara ya ngono...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Vipi ukatoa ushahidi Mahakamani kama katika hali hii?

    Salaam , somo hapo juu lahusika case study Mahakama za Tanzania , let say uko zako Japan na unatakiwa uwe shahidi kesi iko TZ , inawezekana vipi? Wewe ni shahidi muhimu, kesi ya Madai. Please advice
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza kufikishwa mahakamani kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni kwa tuhuma za ubadhirifu

    Haya sasa Waziri Mkuu ameanza kazi yake leo ameshalamba vichwa vinane vya watumishi huko Kigamboni akitaka wafikishwe mahakamani mara moja. ============================ Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameelekeza kufikishwa mahakamani mara moja kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda hana sababu ya kumfungulia kesi Tundu Lissu

    Ndugu zangu Watanzania, Siasa ni sayansi na sayansi ina kanuni zake. Siasa ni mchezo wa akili,siasa ni mchezo wa karata inategemeana unachanga vipi karata zako na unatupa vipi karata na wakati upi utupe ipi na uambatanishe na ipi. Kwenye siasa mtu anaweza kukutukana sana lakini ukabakia kimya...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais wa Kenya maji ya shingo, akimbilia mahakamani kujaribu kuzuia kung'olewa kwenye nafasi yake

    Naibu wa rais Kenya amelazimika kukimbilia mahakamani kujaribu kuzuia mchakato wa kubanduliwa kwake ofisini ingawa uwezekano wa bunge kumuondoa bado ni mkubwa zaidi. Tayari wabunge wapatao 242 wameridhia muswada huo kuletwa bungeni kati ya angalau wabunge 117 waliohitajika kisheria. Endapo...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.

    Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe. Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko...
  12. JamiiForums Tanzania Picha: Wakili msomi Tundu Lissu akiwa na Mahakamani na mteja wake Askofu Mwanamapinduzi

    Imekaa vizuri
  13. JamiiForums Tanzania Nazungushwa mahakamani kuhusu mwenendo kwa kesi yangu ya traffic nifanye nini?

    Habari wadau humu JF,naomba kupata ushauri kutoka kwenu kuhusu mwenendo kwa kesi yangu ya traffic ambapo huu ni mwezi sasa toka niambiwe kesi imeisha na msababisha ajali kukutwa na hatia. Chakushangaza kila nikienda kuchukua documents za hukumu naambiwa mara hazijasainiwa mara hakimu hayupo...
  14. JamiiForums Tanzania Mhasibu, Afisa TEHAMA wa Kanisa la SDA wapandishwa kizimbani kwa Wizi wa Tsh. Milioni 717

    Watu watatu wakiwemo Mhasibu na Ofisa Tehama wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania (SDA), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka manane, likiwamo la kutakatisha fedha na wizi wa Sh717 milioni mali ya kanisa hilo. Washitakiwa hao ni ofisa Tehema...
  15. JamiiForums Tanzania Askari wa Israel mahakamani Morocco kwa makosa ya kivita Gaza

    Askari wa israel aliyeenda mapumzikoni morocco,amejikuta matatani baada ya wanasheria kadhaa wa morocco kumfungulia mashitaka ya jinai za kivita aliyotenda huko gaza.Mahakama ya morocco imeridhia kuyapitia mashitaka hayo: Akikutwa na hatia,atanyongwa hadi mauti. ========== Rabat's Court of...
  16. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa ofisa wa Magereza na wenzake wafikishwa Mahakamani kwa makosa ya kughushi msamaha wa Rais

    Aliyekuwa ofisa wa Magereza, Josephat Mkama na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa manne likiwamo la kughushi msamaha wa Rais kwa wafungwa. Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Sibuti Nyabuya na Joseph Mpangala. Kesi hiyo...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Botswana afikishwa Mahakamani kwa mashtaka ya Makosa Jinani baada ya kurejea nchini humo

    Rais Ian Khama, amerejea Botswana baada ya kuishi uhamishoni Afrika Kusini kwa takriban tangu Mwaka 2021. Ijumaa ya Septemba 13, 2024, alifikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka 14, ikiwemo umiliki haramu wa silaha na utakatishaji fedha. Khama ameyakana mashtaka hayo, akidai kuwa ni...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM na vyama vingine vipo mitaani na mitandaoni kutafuta kura cha uchaguzi wa mitaa, CHADEMA wapo Mahakamani kupinga uchaguzi

    Wanahangaika mahakamani kupambania uchaguzi wa serikali za mitaa usimamishwe wenzao wako busy kusaka kura mtaa kwa mtaa huku wakijua mahakimu na majaji wote wanateuliwa kutoka CCM, watasubiri sana. Wapo mitandaoni kutukana viongozi wenzao wapo mitandaoni kusaka kura USSR
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waziri Bashe awekwe pembeni ili amalizane na kesi zinazomkabili mahakamani

    Salaam, shalom!! Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri, Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Mhe.Rais akiamua na yeye kwenda Mahakamani kudai haki yake ya kubaguliwa na Mbowe na Lissu kwenye majukwaa ya siasa c itakuwa balaa

    Wewe Mbowe umembagua sana Rais wetu, umemuita yeye ni mzanzibar na kashfa kibao za kisiasa dhidi ya Rais. Mhe Rais amebaki na 4R tu, mmemtibua sana kwenye majukwaa kwa kauli zenu za kibaguzi, kama ningekuwa mm hakyamungu ningewaongoza kama Niccolo Machiaevell vile. Rais ni kiongozi wa nchi lkn...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…