mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. JamiiForums Tanzania Shaidi wa Jamhuri kuingia na simu na notebook Kizimbani kwenye kesi ya Mbowe; umakini unaitajika kulinda taswira ya Mahakama

    Huu NI mtego mkubwa Sana kwa Jamuhuli na Serikali na mihimili yake. Nachojua kesi hii inatumika kuionesha dunia Jinsi Mahakama zetu zilivyo huru au hovyo. Sijui kwanini Jaji hakutaka pande zote zijiridhishe kilichopo kwenye note book palepale. Na kuchengesha kuikagua cm kuwa NI privace ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama imewaachia huru Gugai na wenzake

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai na wenzake wawili baada ya mahakama hiyo kushindwa kuthibitisha mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili. Gugai na wenzake walikuwa wanakabiliwa na makosa 40, makosa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jaji kesi ya Mbowe na hukumu kinzani

    Kwamba Jaji Tiganga kalitupilia mbali pingamizi kesi ya Mbowe na aliwahi kutoa hukumu hii: Kuna nini kilichobakia? Pamoja na kumshtakia Mungu, huyu Jaji aombwe kujitoa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sasa CHADEMA kwenda mbali zaidi na kuanza kujipanga kususia muhimili mwingine ambao ni Mahakama

    Wakati CHADEMA kikiwa kime susa mara kadhaa katika muhimili wa Bunge sasa kimeamua kwenda kuonyesha umaahili huo katika muhimili wa pili ambao ni mahakama. Tabia hii au sera hii kwa chama hicho kikubwa cha upinzani huko bungeni ilikuwa kususa na kuweka plasta midomoni. Sera hii ambayo labda...
  5. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ya Mbowe na wenzake. Superitendent Jumanne Malangahe atoa ushahidi, Kesi imeahirishwa hadi Nov 9, 2021

    Baada ya Ijumaa kesi kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Leo Jamhuri inaleta shahidi mwingine. Kuwa nami. ===== Jaji ameingia Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Freeman Mbowe inatajwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania WANA-CHADEMA, iko siku tutagundua kosa letu lingine kubwa ni kukubali kujitetea mbele ya hizi mahakama

    Kama ambavyo tulichelewa kufanya maamuzi sahihi ya kutoshiriki chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiyo huru,, ndivyo tunachelewae kufanya maamuzi magumu ya kususia mahakama hizi zisizo huru pamoja na vyombo vingine vinavyohisika na uendeshaji wa kesi hasa hizi zenye sura ya kisiasa...
  7. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ikitoa taarifa zetu kwa vyombo vya ulinzi huwa wanapata idhini ya Mahakama?

    Ni kawaida uhuru wa mtu kuingiliwa iwapo inaonekana unahatarisha usalama wa wengine. Lakini ni lazima mahakama ithibitishe kuwa usalama wa wengine upo hatarini. Vyombo vya dola vikiingilia bila ruhusa ya mahakama, basi ushahidi huo hauwezi kutumika mahakamani na jambo hilo huwa siri yao. Sasa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hii ni kazi inayopaswa kufanywa na Jaji au Mahakimu wa Mahakama ya Mwanzo?

    Jaji ni mtu mkubwa na mwenye hadhi ya juu Sana katika mfumo wa Mahakama. Majaji pamoja na kuwa na hadhi ya juu pia ni watu ambao wanamajukumu mahususi na wanapaswa kufuatilia mambo nyeti kwenye kesi zinazofikishwa mbele yao. Hili kuweka heshima ya Mahakama na kuzuia Mahakama kuchezewa Jaji...
  9. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

    Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine. Fuatilia hapa kujua kitakachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 11/01/2021 ========== Watuhumiwa wote...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kibatala na Mallya wameiondolea Mahakama uwezo wa kumfunga Mbowe hata ikishinikizwa

    Jana tumesikia polisi akitoa ushahidi wake kwenye kesi ya Mbowe. Tumesikia na siyo mara ya kwanza wakijitetea kwamba maelezo waliyoandika wamejisahau wakakosea yaani "typographical error". Je, sheria na mahakama zinasema kuhusu hiki kinachoitwa "typographical error"? Ukweli ni kwamba mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh. bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe

    Mahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili mkurugenzi mkuu wa gazeti la Tanzanite na mwanaharakati huru, ndugu Musiba dhidi ya aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, ndugu Bernard Membe. Mahakama hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba Anadaiwa zaidi ya Tsh13 bilioni kwa amri za Mahakama Kuu, iwapo atashindwa kulipa ni nini hatma yake?

    Cyprian Musiba, kulingana na kiasi kikubwa cha fedha anazodaiwa kuzilipa, kwa kupitia amri za mahakama kuu, ni nini madhara yake iwapo hana uwezo wa kuzilipa na hana mali za kuuzwa ili kupata Tsh 13 bilioni? Mimi ninaona dalili za Cyprian Musiba kukimbilia ughaibuni .
  13. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

    Salaam Wakuu, Ile Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo Ushahidi unaendelea kutolewa. Fuatilia uzi huu ili kujua kinachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 28/10/2021 ==== Mawakili upande wa...
  14. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

    Kesi ya inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo Ushahidi unaendelea kutolewa. Shahidi wa kwanza kwa upande wa Jamhuri ACP Kingai atamalizia Ushahidi wake. ======== Mawakili upande wa utetezi wapo katika chumba cha...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kwa hapa Ubungo Mahakama ya Mwanzo ipo wapi?

    Kama kichwa cha habari kinavosema, kwa wilaya ya ubungo mahakaman ipo wapi?
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kuhojiwa kwa Profesa Assad na Kamati ya Bunge

    Huenda CAG Mstaafu Prof Mussa Assad akafika tena mbele ya kamati ya bunge kuhojiwa kutokana na kesi yake iliyofunguliwa na Zitto Kabwe ya kupinga kuhojiwa kutupwa na mahakama. Prof Assad ana tuhuma za kuliita bunge la Tanzania kuwa ni dhaifu na halijiwezi kwa chochote pia wabunge wa bunge hilo...
  17. JamiiForums Tanzania LHRC yaikumbusha Serikali kurejea Mahakama ya Afrika

    Kituo cha sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimekumbusha Serikali ya Tanzania kubadili uamuzi wake wa kujitoa katika Mahakama ya Afrika na kurejea kwenye Mahakama hiyo ili kuimarisha heshima ya Taifa katika uwanda na kikanda. Novemba 21, 2019 Serikali ya Tanzania ilifanya uamuzi wa kujitoa...
  18. JamiiForums Tanzania Hatukujua uhalifu wa Sabaya mpaka Mahakama ilipothibitisha, tuwe na utulivu yajayo yanafurahisha

    IJUMAA KAREEM Wengi wao nami ni mmojawapo hatukujua upande wa pili wa Sabaya mpaka Mahakama ilipothibitisha vitendo vyake vya kihalifu alivyovifanya, hapa somo linakuja tusikauke mate wala kukaza shingo kutetea watu tusiowajua upande wao wa pili wala tusioishi nao na kujua nyendo zao za siri...
  19. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake watatu

    Wanabodi, Hivi karibuni, Hakimu Mustapha Siyani alitupilia mbali hoja za mawakili wa Freeman Mbowe akisema kwamba maelezo ya washtakiwa wote yaliandikwa na kuwasilishwa mahakamani kwa njia zilizo kidhi matakwa ya sheria. Kwa kuamua hayo, hakimu alijiridhisha kwamba mshtakiwa namba mbili Bw Adam...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania: Mihimili mitatu ya Dola na mwingiliano unaokanganya

    Nawaza jambo hapa, kuwa kuna mihimili 3 ya Dola. 1. Bunge ambalo kiongozi mkuu ni speaker wa Bunge 2. Serikali ambayo kiongozi mkuu ni Rais na 3. Mahakama ambayo kiongozi mkuu ni Jaji Mkuu, na kuna dhana kwamba mihimili hii haingiliani. Swali: Kwanini kwenye Bunge na Mahakama kuna picha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…