mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. JamiiForums Tanzania Mpina agonga mwamba Mahakama kuu Kesi ya Spika/ Mapingamizi ya Serikali yakubalika kwa Jaji

    Wakili Makore ambaye ni miongoni mwa Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina waliokuwa mstari wa mbele kumsimamia kwenye kesi aliyokuwa ameifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania ,Waziri wa Kilimo na Mwanasheria Mkuu wa...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto awasilisha pingamizi dhidi ya Mahakama Kuu kusitisha Gachagua kuvuliwa Madaraka

    Kupitia wakili Adrian Kamotho, Rais William Ruto amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kusitisha kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua madarakani, akidai kuwa mahakama haina mamlaka ya kusikiliza na kuamua kesi hiyo, na akieleza kuwa ni matumizi mabaya ya taratibu za kisheria. Soma...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya Afande sakata la binti wa Yombo yafutwa, hatokabiliwa na shtaka lolote dhidi yake

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imekataa ombi la kusaini malalamiko yaliyotolewa na Paul Kisabo dhidi ya Fatma Kigondo maarufu kama Afande, baada ya kubaini kuwa malalamiko hayo yana dosari mbalimbali ikiwemo kutofuata taratibu za kisheria. Uamuzi huu wa Mahakama uliotolewa siku ya Ijumaa...
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali Afande Fatma kusomewa mashtaka popote alipo

    Kesi inayomkabili 'Afande' Fatma Kigondo, anayeshtakiwa kwa kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo, Dovya jijini Dar es Salaam, imeendelea Oktoba 18, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma. Hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyamburi Tungaraja, ametupilia mbali maombi...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali ombi la Afande Fatma kusomewa mashtaka popote alipo

    Kesi inayomkabili 'Afande' Fatma Kigondo, anayeshtakiwa kwa kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo, Dovya jijini Dar es Salaam, imeendelea Oktoba 18, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma. Hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyamburi Tungaraja, ametupilia mbali maombi...
  6. JamiiForums Tanzania Mahakama badala ya kutoa haki na hukumu inaelekeza sehemu nyingine ukaipate

    Mahakama ndiyo chombo cha mwisho kuamua ndiyo ama hapana.unakwenda mahakamani kutafuta haki halafu mahakama inaelekeza uende sehemu nyingine ndiyo itahukumu.mfano kesi ya CCM kutumia watoto ktk siasa.mahakama imenifikilisha sana.na huko walikoelekezwa ikaamue wana huo ubavu wa kuamua labda kama...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yamgomea Rigathi Gachagu

    Mahakama ya Rufani nchini Kenya chini ya jopo la majaji watatu imekataa kuingilia kati mchakato wa kuondolewa madarakani kwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua kupitia ombi la kuzuia mchakato huo. Aidha, mahakama hiyo imesema mchakato huo utaendele kama ulivyopangwa bila kuingiliwa na mamlaka hiyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama na uboreshaji huduma kidijitali

    Wakuu habari, leo nimeona nitoe pongezi kwa Mhimili wetu wa Mahakama kwa kuboresha huduma za usikilizaji na umalizaji wa kesi kwa wakati. Kwa kweli hili suala la mtu yupo Dar anaweza kufungua kesi Mwanza na ikafunguliwa na kupangiwa tarehe au kusikilizwa kwa video limenikosha sana...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Brazil yaufungulia Mtandao wa X (Twitter) baada ya kulipa faini

    Uamuzi huo umefanywa na Jaji Alexandre de Moraes ikiwa ni miezi miwili tangu Mtandao huo ilipofungiwa kutoa huduma zake nchini humo kwa madai ya kukiuka Sheria ya Mitandao Brazil's Supreme Court has said it is lifting a ban on the social media platform X, formerly known as Twitter. In his...
  10. JamiiForums Tanzania Madeleka aitupia lawama mahakama kesi ya Afande Fatma Kigondo anayekabiliwa na tuhuma za kuratibu ubakaji wa "Binti wa Yombo"

    Anayetajwa kuwa Afisa wa Jeshi la Polisi, Fatma Kigondo, amejikuta akihusishwa na tuhuma nzito za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti anayeishi Yombo Dovya, Dar es Salaam. Tuhuma hizo zinamweleza kuwa aliwatuma vijana wanne, akiwemo askari wa vyombo vya usalama, kutenda...
  11. JamiiForums Tanzania Boniface Jacob (Boni Yai) apatiwa Dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Leo, Jumatatu Oktoba 07.2024 Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imekubaliana na hoja za utetezi kuhusu pingamizi la kutopatiwa dhamana lililokuwa limewekwa na Jamhuri/serikali dhidi ya aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni na baadaye Ubungo, Dar es Salaam Boniface Jacob (Boni Yai), hivyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Mahakama kusikiliza kesi Kwa kiswahili na kuandika Mihutasari yake Kwa Kiingereza?

    Nimekuwa mhanga wa kutafsiriwa Mihutasari ya mashitaka iliyoandikwa Kwa lugha ya Kingereza.Mara nyingi Huwa najiuliza maana ya hii kitu Huwa ni Nini...Kwa nini isiandikwe Kwa kiswahili kama ilivyosikilizwa Mahakamani...au lugha ya maandishi ya mahakama ni kingereza hata kama asilimia 99 ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini tunaiamini Mahakama kutoa haki?

    "If the Court still makes mistakes by condemning the Innocents, Why do we still allow it to provide rights?" Kama tunajua na kukubali kuwa kuna watu wasio na hatia wako jela, kwanini bado tunaiamini na tunaiachia mahakama kutupatia au kuhukumu kwa haki? Naamini tunaweza pata suluhisho jingine...
  14. JamiiForums Tanzania Erick Kabendera akataa Uamuzi wa Mahakama, apanga kukata Rufaa dhidi ya Vodacom Tanzania

    Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited, ameibuka na kudai kuwa amepanga kukata rufaa kwenye Mahakama ya Rufani Tanzania baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa maombi ya Serikali, Dhamana ya Boni Yai sasa kutolewa Oktoba 7, 2024

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai. Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS aridhika hukumu ya mahakama dhidi ya maafande

    --- Rais wa TLS kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa x ameandika chaisho linaoonekana likiunga mkono hukumu iliyotolewa kwa Nyundo, Askari wenzake dhidi ya Binti wa Yombo. Katika andiko hilo Mwabukusi ameandika: Justice at Last. Hii haswa ndiyo sehemu ya utawala wa sheria sina sababu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mapingamizi ya Mwijaku dhidi ya Masoud Kipanya kusikilizwa Oktoba 17, 2024 Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es Salaam imepanga kusikiliza mapingamizi manne ya kisheria ya Burton Mwemba Mwijaku dhidi ya mashitaka ya kashfa ya Ally Masoud Kipanya mnamo tarehe 17 Oktoba 2024 mbele ya Jaji David Ngunyale. Amri hiyo ya Mahakama kuanza kesi ya mapingamizi...
  18. JamiiForums Tanzania Ajira za siri za mahakimu kutoka Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya utumishi wa mahakama imekuwa ikiajiri mahakimu kwa kufuata utaratibu wa michujo na kuwachagua wale waliofuzu kwa vigezo stahiki kupitia tangazo maalumu na la wazi. Lakini tarehe 20 Septemba 2024 Jaji Mkuu wa Tanzania, aliwaapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
  19. JamiiForums Tanzania Ajira za siri za Mahakimu kutoka Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya Utumishi wa Mahakama imekuwa ikitangaza rasmi ajira za Mahakimu na kuwachagua wale waliofuzu na kukidhi vigezo stahiki kwa tangazo maalumu na kwa uwazi. Lakini hivi majuzi mnamo tarehe 20 Septemba 2024, Jaji mkuu ameapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
  20. JamiiForums Tanzania Sheria imzuie professa Juma kujenga ufisadi wa kitaasisi anaotaka kuujenga katika Mahakama

    Nimeshtushwa na kauli aliyotoa Prof Juma kwamba amepiga marufuku taasisi na viongozi wa nchi kuwapa ajira mahakimu na watumishi wa mahakama nje ya mahakama. Hii ni kauli ya hovyo kabisa aliitoa wakati akiapisha mahakimu 22 jana. Huyu Profesa ni zao la jalalani, asili yake sio Mahakama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…