mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tuyaonyeshe mataifa yanayotubexa kwa utovu wa utawala bora kwa kumwomba mh rais akubali kufika kwa mahakama

    Hii ingeonyesha heshima kwa sheria zetu na utawa bora unaogeshimu sheria Katuga hakufikiri vizuri kuweka pingamizi la mashahidi wa Lissu upande wa serikali kwani hofu yake ni nini. Kwani wakisimama kutoa ushahidi watageuzwa kuwa wao ndiyo wahaini Wito wangu kwa mama yetu mwambie...
  2. JamiiForums Tanzania Hitimisho la Tundu: Antipas Lissu mbele ya Mahakama...

    Wakuu ! Ukisoma hili hitimisho la Mh. Tundu Lissu unapata hisia na uchungu mwingi sana hasa ukizingatia namna vile Jamhuri ilivyokuwa inamfanyia. Siku 136 bila rufaa kusikilizwa na wakawa wamemuweka mahabusu tu na hata alipoenda nae Mahakama ya rufaa akawashinda Bado hata Mashahidi wa Jamhuri...
  3. JamiiForums Tanzania Siyo Samia pekee, hata mahakama imejipanga kushughulikia wakosoaji

    Tusikwepe kuiona picha kubwa inayochezwa na mihimili ya serikali haramu ya Tanzania dhidi ya raia, wakosoaji na wanaharakati wa Haki na Demokrasia nchini Mahakama inapopokea kuendesha kesi za kisiasa dhidi ya wapinzani ni ushahidi kuwa mahakama imekubaliana na Executives kubaka Katiba, Haki na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sasa Dodoma umeme ni ware ware hakuna tena kukatika, Uhakika 24/7

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia Watanzania kuimarika kwa huduma ya nishati ya umeme nchini kufuatia kukamilika kwa miradi mikubwa ya miundombinu na usambazaji wa umeme. Akizungumza tarehe 22 Agosti 2026 wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya ICC itakuja kuponya majereha yote haya japo inachukua muda

    Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi. Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu. ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie...
  6. M

    JamiiForums Tanzania AINA YA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU KATIKA UISLAM. JEE BADO WAPO KWA SASA?

    Katika Uislamu, jaji (qāḍī) ana jukumu kubwa sana la kusimamia haki na kuhukumu baina ya watu kwa mujibu wa uadilifu. Mtume ﷺ alitoa maonyo makali kuhusu nafasi hii kwa sababu jaji anaweza kuingia katika dhuluma ikiwa atahukumu bila elimu, ushahidi au uadilifu. Hadithi maarufu kuhusu majaji...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera mahakama kwa kumtia hatiani Tundu Lissu

    Friends and Enemies, Lilikua ni suala la muda tuh kwa Tundu lisu kuweza kutiwa hatiani na kukutwa na kesi ya kujibu. Ni wazi kabisa alihusika kwenye uhaini,kuchochea fujo na vurugu kiasi cha kupelekea uvunjifu wa amani na vifo vya watu wengi wasio na hatia Kwa kuwa platform aliyoitumia ilikua...
  8. JamiiForums Tanzania Heko mahakama huru za Tanzania kwa kusikiliza mashauri, kuamua na kutoa haki kwa uwazi

    Hongera mawakili na wanasheria mbalimbali nchini, kwa weledi, umahiri na umakini katika kusikilizana kupeana fursa za kujieleza kisheria, kutafakari na hatimae kufikia hitimisho la mashauri mabalimbali pasina kuacha shaka na bila kupoteza wakati kwa pande zote husika. WaTanzania wote tuna imani...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama haina mamlaka ya kumwita Rais Samia kutoa ushahidi – Mwinuka

    Wanaukumbi. Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania, Henry Mwinuka, amesema katika kesi ya Tundu Lissu kuna shahidi mmoja ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na masuala yanayomhusu Rais yanasimamiwa na Presidential Affairs Act, Sura ya 19. Mwinuka amesema kuwa, kwa mujibu wa sheria...
  10. JamiiForums Tanzania Mahakama haiangalii public sympathy bali facts tu

    Leo hii Wakili Katuga anacharaza mtu kwa fimbo za ushahidi tu na sio kelele za OYA OYA
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa Sio Automatic 50/50: Mahakama Yatoa Uamuzi Kuhusu Mali ya Wanandoa

    Umeishi kwenye ndoa, mkajenga mali pamoja, halafu ndoa ikavunjika - je, kila mmoja anaondoka na 50%? Mahakama ya Rufaa imesema: si lazima. Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imeamua kuwa kuwa kwenye ndoa pekee hakumpi mwenza haki ya moja kwa moja ya kupata nusu ya mali ya ndoa. Badala yake, mgao...
  12. JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Mahakama haiangalii uzito wa ushahidi uliotolewa kesi ya Lissu

    Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi 👇 Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mwashambwa na Tlaatlaah wanachuki na Lissu wanatamani afungwe hata kama mahakama haitampata na hatia yoyote. Hii ni hatari sana!

    Ndugu wanabodi hao jamaa niliowataja hapo juu wana akili za kushangaza sana, mwanzo walikuwa wakiambiwa lisu yuko pale kwa kuonewa tu walikuwa wakali na kusema iache mahakama ifanye kazi yake. Waliposima upepo na kuona ni kama kweli jamaa hana kesi ya kujibu wamebadilika wanafura kweli...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru UoN kumlipa Mhitimu Shilingi milioni 3 baada ya kuondoa jina lake siku ya Mahafali

    Mahakama Kuu imeiamuru Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) kumlipa Marceline Murono fidia ya shilingi milioni 3 baada ya kubaini kuwa chuo hicho kilikiuka haki zake za kikatiba kwa kuondoa jina lake kwenye orodha ya wahitimu siku ya mahafali mwaka 2023. Katika uamuzi wake, Jaji Lawrence Mugambi...
  15. JamiiForums Tanzania Madeleka apandishwa kizimbani, akabiliwa na mashtaka matano ya kudharau Mahakama

    Mwanasheria Peter Michael Madeleka amefunguliwa kesi ya jinai yenye jumla ya mashtaka matano ya kudharau Mahakama, yakihusishwa na kauli na hotuba alizodaiwa kuzitoa na kuzisambaza kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mwenendo wa kesi ya uhujumu uchumi inayosikilizwa katika Mahakama Kuu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hawa ndio mashahidi wa Lissu, iwapo mahakama itaamua kwamba ana kesi ya kujibu

    JE WAJUA? KAMA KESHO MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU? Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu Lissu anaweza kuistajabisha Dunia kwenye uwanja wa mahakama akiwapitisha Vigogo kwenye flampeni ya Mafuta ya Sheria...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Marekani Yakunjua Makucha Yake.Yawawekea Vikwazo Vikali Maafisa Mbalimbali Wa ICC . Yaapa Kupambana Na Mahakama Hiyo Hadi Kieleweke.

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema kuwa Kama Nchi na kama Taifa tunapaswa kujitoa kwenye Mahakama hiyo ambayo kwa sasa imepoteza mwelekeo,kukumbwa na kashifa mbalimbali ambazo zinaondoa sifa kwa Maafisa wake wa kuendelea kuaminika mbele ya Macho na jicho la kisheria katika kutoa Haki. Ni...
  18. JamiiForums Tanzania Kutoka High Court - DSM: Submission ya "No Case to Answer" ya Tundu Lissu (full text) baada ya Jamhuri kufunga ushahidi wao leo 17/8/2026

    Baada ya upande wa Jamhuri kuishia njiani kwa kuleta mashahidi 17 tu kati ya 30 waliopaswa kutoa ushahidi wao dhidi ya kesi iliyopewa Jina la "kesi ya uhaini" dhidi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Tundu Lissu, hatimaye leo Tundu Lissu ameanza kujitetea. Kwa kifupi sana, utetezi wako umejikita...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Kesi za Mchango unaliweka wapi Jeshi la Polisi, Offisi ya Mwendesha Mashtaka na Mahakama zetu.

    Hivi karibuni kumekuwepo na kesi ambazo tunaweza, kusema ni za mchongo, Kwani Hazina uhalisia na tuhuma zinazo chagizwa dhidi ya watuhumiwa iwe ni ugaidi au uhaini . Sasa
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kudharau amri ya mahakama ni kosa dogo ambalo mtuhumiwa hapaswi kuhojiwa polisi. Kosa likifanyaki hakimu hutoa amri ya mkosaji kukamatwa na kuadhibiwa

    Utamhoji vipi mtu polisi kwa kosa kama hili ambalo kiuhalisia hufanyika kwenye viunga vya mahakama mbele ya jaji au hakimu. Hata kama ni nje ya mahakama Jaji au hakimu hutoa amri ya mkosaji kukamatwa na kisha kuhukumiwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…