mahabusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katika Imani, Je, mtuhumiwa uhalifu alie gerezani mahabusu anaruhusiwa kufunga kwarema au ramadhani?

    Achilia mbali watuhumiwa uhalifu ambao tayari wanaonekana na kujulikana kwa kubeba chakula hadi kwenye vizimba vya mahakamani kupunguza njaa kali baada ya kubanwa mbavu za kisheria na mashahidi au mawakili kulingana na uhalifa wao. Je, ni halali kwa mahabusu walio gerezani kufunga kwaresma au...
  2. Utaratibu wa PSO Mahabusu na Wafungwa watakula Chakula Gerezani

    Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama. Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na...
  3. Viongozi wa CHADEMA waliokuwa mahabusu waachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

    Baada ya kutimiza siku 76 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya...
  4. W

    Mchina amshtaki DPP kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82

    Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82 tangu Novemba 2025. Katika maombi hayo namba 000002421 ya 2026, Yan anayewakilishwa na wakili...
  5. Raia wa China, Xiuzhu Yan amburuza DPP na IGP Mahakamani kupinga kushikiliwa Mahabusu kwa Siku 82

    Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82 tangu Novemba 2025. Katika maombi hayo namba 000002421 ya 2026, Yan anayewakilishwa na wakili...
  6. S

    Utabiri: Kuna siku Lissu ataenda kumsalimia mbaya wake katika mahabusu ya ICC

    Hii naomba muichukue kama ilivyo kwani ni swala la muda tu. Itakuwa ni kama vile Lissu alipoenda kusalimiwa pale Nairobi baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la Farao wa wakati ule. Muda utaongea.
  7. FAHAMU: Jela Hakuna Pesa Taslimu wala Simu

    Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania nawaambia gerezani pesa taslim, Simu haziruhusiwi lakini pia kama mtu anaumwa serious uko utaratibu...
  8. Aliyekuwa DG wa TRC, Masanja anatakiwa kuwa Mahabusu as we speak

    Hakuna mmbunge mwenye maslahi kuzidi hawa ma DG wa taasisi za Umma. Massanja aliamua ku risk UDG wake over ubunge, hii ni kwa sababu Massanja anajua alichokifanya pale TRC na ufisadi mkubwa kwenye SGR โ€ฆ. amekimbia kukwepa uwajibikaji na kudondokewa na jumba bovu. 1. Baada ya Kifo cha JPM ...
  9. Nini kinachofanya ndugu Tundu Lissu mpaka sasa awe mahabusu na kesi inashindwa kuendelea?

    Binafsi kwa mawazo yangu naona ni ubabe wa watawala kwamba utafanya nini, ndani tunakuweka na kesi haisikilizwi mpaka tutakapoamua wenyewe. Hii dhambi kiukweli itakuja kuwatafuna sana. Madaraka yasi ondoe roho ya utu. Mheshimiwa Tundu Lisu kuna watu wengi sana wapo nyuma yake wanamtegemea...
  10. Nini kinasababisha mpaka sasa Tundu Lisu asalie mahabusu? Maana ilibidi atoke November 3

    Tundu Lisu ilibidi aachiwe tangu November 3 baada ya samia kuapishwa . Naona umepita mwezi sasa tunaona kimya, kesi haisikilizwi na yeye bado hajaachiwa. Au je mamlaka husika wanaona nchi bado haijakaa sawa kutokana na hofu ya maandamano au wanahisi atakuwa chachu ya watu kuandamana akiingia...
  11. John Heche kusitisha kula kuanzia leo akiwa mahabusu

    Katibu wa familia na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mwalimu Chacha Heche, ametoa taarifa kuhusu hali ya kaka yake, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ambaye kwa siku 13 sasa amekuwa mikononi mwa Jeshi la Polisi, katika mahabusu ya Mtumba, Dodoma. Kupitia taarifa hiyo...
  12. Aliyemshambulia mwenzie kisa Mwijaku akosa dhamana, atupwa mahabusu

    Mmoja kati ya wanafunzi watatu kutoka vyuo vikuu tofauti tofauti jijini Dar es Salaam, waliodaiwa kumshambulia mwenzao wakimgombania msanii na mtangazaji wa vipindi vya redio, Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku, ameswekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana katika kesi ya jinai inayomkabili na...
  13. Huduma za Magereza: Haki, taratibu na miongozo ya Wafungwa na Mahabusu Nchini Tanzania

    UTANGULIZI Majukumu ya msingi ya Jeshi la Magereza ni kuwapokea na kuwahifadhi gerezani watu wote wanaoletwa gerezani kwa mujibu wa sheria za nchi na kuendesha program mbalimbali zenye kulenga kuwarekebisha wafungwa waliohukumiwa ili hatimaye watoke gerezani wakiwa raia wema. Katika kutekeleza...
  14. K

    DOKEZO Wakala wa vipimo Simiyu, ni lini imegeuka Lokapu? Afisa Vipimo Mkoa ametoa wapi Mamlaka kugeuza Ofisi kuwa Lokapu?

    WAFANYABIASHARA Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu wameiomba Serikali kuingilia kati sakata la Wakala wa Vipimo Mkoani humo kuwakamata na kuwaweka Mahabusu kwenye Ofisi za Wakala huo, zilizoko Nyaumata pindi wanapofanya kaguzi mbalimbali za vipimo. Wafanyabiashara hao wamedai kuwa wamekuwa...
  15. Waziri Dkt. Gwajima azindua Mahabusu ya Watoto Mtwara, atoa rai kwa viongozi na Mahakama kulinda Haki za Watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mahabusu ya Watoto Mkoani Mtwara, na kueleza kwamba dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kulinda haki za watoto na kuimarisha mfumo wa haki jinai...
  16. Nimefarijika kwamba Polisi Ruvuma haikuwapeleka mahabusu Heche na Lema

    Kwa mwendo huu inaelekea kwamba hatutapata matatizo yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu . Halafu Polisi Ruvuma imewaambia Chadema kwamba haipingi mikutano yao ila Chadema hawana ruhusa kusema katika majukwaa,"No reform,no election."
  17. Jinsi mrembo alivofanya niende mahabusu kwa mara ya kwanza

    habarin wakuu leo nataka nishare na nyie jinsi mrembo huyu alivonifanya niswekwe mahabusu kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ilikua ni siku ya jumapili ya tarehe 30 mwezi march mwaka huu nilipokuwa na mrembo huyu wakuitwa x tulipokua tumetoka kazin mida ya saa mbili kasoro usiku sasa akawa...
  18. PreGE2025 Mahakama yaamuru Dkt. Slaa kufikishwa Kisutu Machi 4 ili kutolewe uamuzi wa kesi inayomkabili

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kutolewa kwa amri ya Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Wibroad Slaa (76) kufikishwa mahakamani ifikapo Machi 4, mwaka huu ili uweze kutolewa uamuzi wa kesi hiyo itakuwa inasikilizwa kwa njia gani. Uamuzi huo ulitolewa leo mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu...
  19. Mdude: Lissu, Heche, Lema ni wapinzani wa kweli Tanzania. Nilipokuwa Polisi Oysterbay baada ya mateso makali nikasikia mahabusu wanaimba Lissu! Lissu!

    ๐“๐ฎ๐ง๐๐ฎ ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ, ๐‰๐จ๐ก๐ง ๐‡๐ž๐œ๐ก๐ž ๐ง๐š ๐‹๐ž๐ฆ๐š ๐ง๐ข ๐ฐ๐š๐ฉ๐ข๐ ๐š๐ง๐ข๐š ๐ก๐š๐ค๐ข ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ฐ๐š๐ฎ๐ง๐ ๐ž ๐ฆ๐ค๐จ๐ง๐จ. Lissu, Heche na Lema hawa ni rafiki na ndugu wa haki. Kujitoa kwao kupigania haki za mtu & watu wowote kwao ni jambo la kawaida. Binafsi kwangu kila mmoja amehusika kunisaidia kupigania haki zangu tangu mwaka 2016...
  20. Songwe: Mdude Nyagali aachiwa kwa dhamana na Mahakama leo baada ya kusota siku 15 Mahabusu

    Mdude Nyagali maeachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe hii leo Disemba 06, 2024 baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 15 katika vituo vya Polisi vya Ileje Songwe, Inyala Mbeya, Kituo cha Polisi Kati Dar Es Salaam na Vwawa Songwe. Mdude Nyagali alikamatwa na Jeshi la Polisi Novemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ