magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Magufuli alikufa kwa Corona hata kama maandiko ya awali yana match tulichosema Mwaka huo, tuache conspiracy

    Naona wananzengo wanaleta hata tweet nilizofuta sijaelewa kwanini zitrend muda huu! Kiufupi Magufuli alipuuza masuala ya wataalamu akaleta kujifukiza Kumbe anajimaliza yeye na battery ya moyo Ujumbe nilopewa na mstaafu hauna uhusiano na kifo chake Je kwanini trend now nisiletewe matatizo...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mambo yanavyoendelea, napata mashaka na kifo cha Hayati Magufuli

    Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeee Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Video : Huyu Hapa Mlinzi Maarufu Wa Hayati Dkt Magufuli Baada Ya Kutoka Urussi Aonekana Akiangalia na Kufuatilia Mpira Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Mlinzi Maarufu Wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Baada ya Kutoka Urussi katika Ziara ya Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli,shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia. Ameweza kuonekana Mitaani Mkoani Dodoma...
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi kitaani wanataka Rais kama Magufuli CCM wanaogopa kuleta mtu kama Magufuli maana CCM wengi ni wezi wa mali za Umma

    Mimi ukinikuta mtaani ni kada wa chama kweli kweli huwa najitahidi kukusanya maoni ya wananchi wengi vijiweni kwa mabodaboda kwa mama ntilie machinga wafanya biashara maana Wakandarasi wanangu sana walimu kiasi kwamba Mimi wa mtaani akikutana na mimi JF watapigana sana...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na wanaharakati, enzini mazuri ya watu kama Magufuli na Samwel Sitta

    Ndugu zangu wapinzani na hata wana harakati, siyo dhambi mkiyaenzi japo mazuri ya viongozi waliotangulia mbele za haki. Mfano hayati Rais Magufuli, siyo dhambi akienziwa kwa kupambana kwake kulinda rasilimali za nchi. Samwel Sitta naye ( marehemu ), naye siyo dhambi pia akienziwa kwa kuruhusu...
  6. JamiiForums Tanzania Japo Nyerere na Magufuli Walikataa, Kuingiliwa Uhuru Wetu, Rais Samia Komaa Usikubali Kuingiliwa, Ila Kama Oct.29 Kuna Vifo Vya Makosa, Tuchutame Au?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/uchambuzi-wa-mayala-nyerere-magufuli-na-somo-la-kulinda-uhuru-wa-taifa-5482646 Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ulicho mnfanyia Magufuli unafanyiwa na nchimbi karma what goes around comes around

    Sio muumini wa karma lakini leo naona kama vile Kuna ka ukweli flani hivi
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli usiopenda kusema, pasipo kifo cha magufuli hakuna mzanzibari angetawala Tanganyika, hata ilimbidi awaue kwanza.

    Ni jumapili ambayo imetulia sana, tulivuuu HASWA natafakari mengi nabaini Kuna yaliyojil October 29.2025 nakumbuka Rafiki yangu, master tendwa, nakumbuka shekhe majini mzee wa kupaka kidevu Ina. GHAFLA naiona inveterview ya kikeke na hasha rose migiro katibu MKUU WA ccm, akisifia mauaji...
  9. JamiiForums Tanzania John Nchimbi waelekeze Youtubu wafute Ile video yako na Sofia Simba mkimkataa Magufuli baada ya kupitishwa kugombea urais

    Leo john Emanuel Nchimbi, amesoma meseji aliyotumiwa na Hayati magufuli ya kumjuza yakuwa hawezi mwacha kamwe maana aliisha muaidi kumpa cheo. Leo Nchimbi wakati anasa.meseji.yake alipoteuliwa kuwa Balozi. Nchimbi anatumia meseji hiyo kutaka kutuamini yakuwa alikuwa Rafiki yake wa karbu ndio...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hakwenda kumzika Bi. Suzan Magufuli, Mama wa aliyekuwa Rais wa Tanzania?

    Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato kumwakilisha Rais Samia katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Magufuli Mama wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Ila mnaielewa hii picha? Ni kwa wenye akili tu.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Nyerere na Magufuli Walikataa, Rais Samia Usikubali Nchi Yoyote Kuingilia Sovereignty Yetu, Iwe ni US, UK or EU!, Kwani Marekani Ndio Nani, Nini?

    Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya Taifa mbeli, kwa kumtia Moyo Rais Samia, na Watanzania, tusikubali vitisho vyoyote kutoka kwa nchi yoyote, kuingilia sovereignity yetu, na kutolea mfano Rais...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Makonda alipopigwa Ban Magufuli alimtumbua, Samia akamrudisha, Je atamtumbua Mafwele au atamteua awe IGP.

    Magufuli alimtumbua Makonda ili kujitenge mbali na uchafu wake sidhani kama Samia atakubali kuwa mnyonge kwa Marekani kama mtangulizi wake. Nategemea Samia badala ya kumtumbua Mafwele atamteua awe IGP kamili, kuonyesha jeuri kuwa hatuingiliwi na mtu, ili kuendeleza slogan yake ya 'Who are you'.
  13. JamiiForums Tanzania Ulega: Nimepokea simu kutoka kwa Bibi wa Miaka 70, anapongeza Serikali kwa kukamilisha Daraja la JP Magufuli

    Bibi Hellen Bugoye (70) kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa ya usafiri yaliyotokana na ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (zamani Kigongo-Busisi) linalounganisha Kigongo na Busisi. Shuhuda za...
  14. JamiiForums Tanzania CCM yaua stand ya mabasi ya Magufuli baada ya Magufuli kufa

    Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia. Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lisu atakufa na Msimamo wake. Atakuwa ndiye mtanzania shujaa wa muda wote Akifuatiwa na Magufuli. Hao watu hakuna anayesogea Kwa ukaribu

    Habari za Sabato! 1. Bado tunafuatilia mambo yanavyoendelea. 2. Shujaa na Legendary ni Yule mwenye msimamo wa Haki, mwenye uwezo wa kujitoa maisha yake kwaajili ya msimamo wake na kupigania Haki na Ukweli. 3. Si hivyo tuu. Shujaa na legendary katika level ya kitaifa ni Yule ambaye alionyesha...
  16. JamiiForums Tanzania Mbezi Magufuli kuna gari za kwenda Mbweni Gen Isamuhyo?

    Tunaotaka kwenda kuangalia mpira tunaomba ramani sisi wageni yakufika uwanjani.
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa yaliyotokea 29 Okt. 2025, ipo haja ya kuchunguza Kifo cha Pombe Magufuli

    Salaam Wakuu, Kwa roho iliyooneshwa 29 Oct 2025 na Samia Suluhu Hassan, Mwenyeji wa huko Zanzibar ambaye anapenda kutembelea maeneo ya Tunguu.. Hakika damu ya Watanzania ipo mikononi mwake. Bado naamini Pamoja na Misimamo ya Magufuli, kingine kilichomponza ni Utanganyika wake. Zanzibar...
  18. JamiiForums Tanzania Kifo chenye utata cha Hayati Magufuli ndio chanzo cha CHADEMA kupata nguvu na kupendwa na Watanganyika

    Mpaka sasa Watanganyika wengi wanaamini kuwa hayati Magufuli alikufa kifo chenye utata. Humphrey Polepole akaja kuweka wazi kuwa wanaCCM waovu ambao wana nia ya kuwaibiibia Watanganyika rasilimali zao walihusika na kifo cha hayati JPM. Leo hii CHADEMA ina nguvu kila kona. Wananchi wanaikubali...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Mamia ya Wananchi wamsimamisha Heche Magufuli bus Stand. Huu ni upendo mkubwa kwa CHADEMA. Watu wanahitaji ukombozi

    Upendo kwa Chadema
  20. JamiiForums Tanzania Kauli tata za Emmanuel Nchimbi vs Samia na kauli tata za Jakaya Kikwete vs Magufuli wakimnukuu baba wa taifa

    Miaka kadhaa iliyopita Kikwete akiwa mstaafu aliwahi kualikwa kwenye kigoda cha Mwalimu na wakati huo Magufuli akiwa Rais. Kikwete aliongea mambo ya kujimwambafai na ubabe kauli ambazo zilionyesha moja kwa moja kumnanga aliyekuwa Rais Magufuli kutokana na ubabe aliokuwa nao. Kikwete kamwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…