magonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  2. Samia atosha tukutane2030

    Tatizo la magonjwa ya akili duniani limekuwa kubwa sana. Dalili moja ya ugonjwa wa akili ni kutaka kusikia shari kila muda.

    Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha. Akisikia Iran kuna vita anapata raha sana. Mostly ya watu ambao wanajifanya kuchukizwa na mauaji ya October 29 -31 moyoni...
  3. Fbn

    Kuna magonjwa kwa Tanzania kukuchangia ndungu,jamaa na marafiki ni ngumu.Subiri kufa tu

    Nakumbuka kwa Marehemu ruge tu,sio kwao pesa hakuna au watu wake wa karibu ila magonjwa mengine kama yanachukua pesa nyingi hupo kitandani tena ICU basi watu wanaomba uteuzi wa manyonyo kutaka amani sio haki. Nimeshuudia mzee mmoja umri miaka 89 kalazwa hospital na familia yake ina pesa ya...
  4. stakehigh

    Moja ya faida kubwa ya mazoezi ukiachana na kujikinga na magonjwa ni, Kukinga viungo vya ndan kupata madhara

    Unapokua mtu wa mazoezi sana, faida kubwa ni kujiepusha na magonjwa yasioambukizwa kama vile matatizo ya insulin kupanda na kushuka ghafla(DIABETES)[KISUKARI], baadhi ya kansa na magonjwa mengine mengi basi faida ingine kuu ni misuli kukakamaa: faida yake niviungo ya ndan vinapata ulinzi wa...
  5. stakehigh

    Ni nadra sana mtoto anaefanya mazoezi kupata magonjwa yasioambukizwa

    Watoto ama vijana walio chini ya miaka 30, wana advantage moja kubwa sana katika afya! KUPONA MAPEMA mtoto akiumia kama ni wa mazoezi basi haihitaji hospitali hua anapona mwenyewe hata kama ni tatizo kubwa kama kuvunjika hua matibabu yao ni haraka na wanapona mapema, hivo basi wewe kama mzazi...
  6. ndege JOHN

    Watanzania wengi kwa sasa hawana furaha kabisa naona magonjwa ya pressure yakiwanyemelea

    Poleni sana ndugu zangu nimepata maono jinsi mioyo yenu ilivyo shuka mood kwa sasa kazeni roho ndugu zangu 1.jipende nunua nguo nzuri 2.kula vizuri 3.acha kabisa kuyatazama content za ngono ambazo kwa sasa ndo zimezidi katika mitandao ya kijamii 4.fanya mazoezi kila siku kama kukimbia jioni...
  7. A

    Duniani magonjwa mengi sana

    Ni kweli kifo kinaogopwa dah leo baada ya kupata dalili fulani nikaona isiwe kesi acha nizunguke kwenye youtube nikapate uahauri kidogo wa video za madocta wa youtube Nilichokutana nacho hakika nimepona 😀😃😄 Watu wanaumwa katika dunia hii kuna magonjwa mengine hayana hata majina unakuta mtu...
  8. Twilumba

    NHIF na Mikakati ya Uzuiaji wa Magonjwa Yasiyoambukiza Kupitia Mazoezi ya Mwili kwa kuingia mikataba na baadhi ya GYM

    Kwanza Nikiri kuwa mimi ni mnufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekuwa nguzo muhimu ya ustawi wa afya nchini, lakini kwa sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya kuongezeka kwa gharama za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama shinikizo la damu...
  9. Setfree

    Magonjwa ya zinaa(STDs) ni pigo la Mungu kwa wazinzi na waasherati?

    Ukisoma historia ya Waisraeli, utaona jinsi Mungu alivyotoa mapigo kumi kwa Wamisri waliokataa kumtii. Mojawapo ya mapigo hayo ni majipu mabaya yaliyowakumba watu wa Misri (Kutoka 9:8–11). Hili lilikuwa onyo kwamba Mungu anaweza hata kutumia magonjwa kama fimbo ya kuwaadhibu wale wanaokataa...
  10. M

    Kujilinganisha kunamaliza sana ndoto za watu,chanzo kingine cha msongo mpaka kujiua na magonjwa ya moyo

    Wimbi la kujiua likiwa limepamba kasi na sababu nyingi zikiwa mahusiano ila kuna hii pia ya kujilinganisha nayo ni sababu kubwa katika kumaliza ndoto za vijana mpaka kupatwa na magonjwa ya moyo ingali ni wadogo tu Unaingia mtandaoni unaona rafiki yako mliyeachana miaka kadhaa nyuma kaweka...
  11. R

    Tanzania na Abbott wasaini Makubaliano ya kuanzisha Uzalishaji wa Vipimo vya haraka vya Magonjwa

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya imesaini makubaliano ya ushirikiano (MoU) na kampuni ya kimataifa ya huduma za afya Abbott, kwa lengo la kuchunguza uwezekano wa kuanzisha uzalishaji wa vipimo vya haraka vya magonjwa mbalimbali hapa nchini. Makubaliano hayo...
  12. Dr Luu

    Fahamu vitafunwa vya asili ambavyo vitakuweka mbali na magonjwa na kuongezeka uzito

    VITAFUNWA VYA ASILI Habari za wakati huu. Nimeamua kuja na mada hii baada ya kuulizwa na mdau na mpenzi wa tiba asili yakua " ni vipi vitafunwa vya asili ambavyo naweza kuvila hasa asubuhi? Baada ya kuulizwa swali hili nimeona niandike makala fupi juu ya vitafunwa hivyo ili wadau wengi...
  13. R

    Jifunze kuyasemesha magonjwa yenye majina, yanasikia.

    Salaam, Shalom! Mungu alipomuumba Mwanadamu, aliweka nguvu ya uumbaji ndani yake, ameweka pia mamlaka Katika kinywa kuumba, na kufisha pia KUPITIA kinywa. Tumia kinywa chako kusemesha magonjwa, yanasikia na kutii utakachoyaamuru. Narudia Tena kusema, ukilala mzima wa afya, ukaamka na kujihisi...
  14. Technophilic Pool

    Je kuoa makabila ya mbali kuna punguza magonjwa ya kijenetikia?

    Unajua kwanini ndugu na ndugu hawaoani? Hii si sababu ya kidini tu bali sababu ya kisayansi pia. Kuoa ndugu wa karibu au jamii ya karibu kunasababisha kuendeleza au kuambukizana magonjwa ya kiurithi ambayo yanayembea kwene kabila au ukoo flani
  15. MkuuXyz

    Hivi ni Mikoa gani ambayo inaongoza kuwa na wakazi wengi wanaoishi na virusi vya UKIMWI ?

    Swali langu ni fupi sana, Hivi ni Mikoa gani ambayo inaongoza kuwa na wakazi wengi wanaoishi na virusi vya UKIMWI ? ukitaja top 3 inatosha. Lakini usitaje tu kwasababu unachuki na watu wa Mkoa fulani, bali taja kutokana na research ambayo ilifanyika / imefanywa na Idara fulani.
  16. Setfree

    Siri imefichuka! Yajue Magonjwa Yanayosababishwa na Kutenda Dhambi

    Nyakati hizi, kuna watu wengi wanaobubujikwa na machozi ya huzuni kwa sababu ya magonjwa yanayowasumbua. Katika kutafuta chanzo cha magonjwa, watu wengi huelekeza macho yao kwenye vyanzo kama vile bakteria, virusi, mazingira machafu, lishe duni, magonjwa ya kurithi, msongo wa mawazo nk. Sawa...
  17. Magical power

    Kutazuka kiongozi wa kiroho atakayedai kuwa na uwezo wa miujiza ya kuponya magonjwa hatari na kufufua wafu

    🔥 TUKIO: KUZUKA KWA KIONGOZI WA KIROHO ATAKAYEDAI KUWA NA UWEZO WA MIUJIZA YA KUPONYA MAGONJWA HATARI NA KUFUFUA WAFU 🗓 Tarehe inayotabiriwa: Kati ya Septemba 13 na Oktoba 4, 2025 📍 Mahali: Kusini mwa Tanzania – Mbeya au Ruvuma, kwenye kijiji kilicho karibu na mlima au pori takatifu 👤 Mhusika...
  18. Dr Luu

    Ishi ndoto zako, mbinu za kujiepusha na magonjwa ya Figo na mfumo mzima wa Mkojo

    Habari wakuu, nimewaandalia video fupi kuelezea juu ya mbinu za kujiepusha na magonjwa hasa yatokanayo na kufeli au kudhoofika kwa Figo na mfumo wa mkojo kwa ujumla, hope utaelimika na kuiishi uwe na afya njema.
  19. Dennis Robert Shughuru

    Moja ya mambo nitakayoyafanya nikiwa Rais nikuhakikisha dawa za magonjwa mbalimbali zinatengezewa hapa Tanzania from scratch

    Nikiwa rais Tanzania haitakuwa tena eneo la kuvunia data yaani makampuni ya research ya kitanzania hayatafanya kazi kidalali kama ilivyo sasa Katika kutafuta novel therapeutics compound ya magonjwa mbalimbali tafiti zitajikita kwenye mambo yafuatayo;- Method of predict normal protein mutation...
Back
Top Bottom