maghorofa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taasisi Ambazo zinasimamia Ujenzi wa Maghorofa Tanzania Fanyeni kazi

    Wakuu kwema? Weekend nilienda kumtembelea ndugu anaishi kigamboni mitaa ya uwanja wa machava, amerent kwenye ghorofa ambayo ina wapangaji wengi Room yake iko ghorofa ya chini ila juu kuna ghorofa zingine tatu Kwa hali ya ujenzi na vifaa hafifu vinavyotumika Pale aisee ile nyumba inaweza...
  2. Majengo mengi yanayojengwa Dar es salaam hasa maghorofa hayavutii(hayana mvuto)

    Sijapata bahat ya kutoka nchi za watu, inshallah kikubwa uzima naweza fanikiwa fika siku moja, ila mara nyingi napenda sana kuingia YouTube na kutazama miji mkuu au majiji ya nchi husika. Mfano kama muda huu naiangalia GABORONE _🇧🇼 yaani unaona jinsi majengo yanavyovutia, unaona majengo...
  3. Ukilinganisha haya maghorofa Mbweni Dar es salaam na Ngong Nairobi bado bei ya nyumba Dar ipo juu Sana

    Chini ni video mbili ya maghorofa ya ki fahari. Yote yako sokoni, kwenye mitaa ya kishua na fully furnished. Video ya kwanza hapo chini ni ghorofa liko Mbweni JKT ambalo liko sokoni Kwa shilling za kitanzania 1.3 Billion. Video ya pili chini ni ghorofa liko Ngong Alkeri Nairobi kwenye gated...
  4. Hivi nini maana baadhi ya maghorofa kuandikwa "plaza"

    Nasemea kwa mfano china plaza.. Ubungo plaza Mengine naona mpaka jina la mtu alafu mwisho neno "plaza " Hivi hili neno plaza hua lina maana gani naomba kujuzwa
  5. GE2025 Mpina: Kuna Mahoteli mengi na maghorofa mengi yamejengwa kwa wizi wa fedha za Serikali. Nikiapishwa yatakuwa mali ya serikali

    Mpina amesema kuna viongozi wengi Sana wa serikali wameiba vya kutosha hii nchi akiingia IKULU mali zote za serikali watazitapika mara moja mahoteli yao zitakuwa hospitali za umma
  6. Je wajua kwa nini mkoa wa Tanga ni wa 3 kwa kuwana maghorofa mengi nchini?

    Mkoa wa Tanga unechanganya tamaduni za kizunguna kiarabu ambazo zimeathiri architec ya majengi yake Waarabu walikaa sana mwambao wa Tanga kuanzia Pangani mpaka Tanga mjini,huko kote waliacha majengo ya ghorofa, Ukija wilaya za handeni,korogwe na Lushoto,mjerumani alipapenda sana na kuacha...
  7. DC Mpogoro, nilidhani ni habari njema kwa wenye maghorofa chakavu kariakoo kuyavunja, huyu kaamua kuvunja, wewe umemkasirikia na kumuweka ndani saa 48

    Hii habari inashangaza, mtu kaona ghorofa lake ni chakavu, lina nyufa, na linatumiwa na watu na juu ni stoo ta mizigo. Kaamua kulivunja pengine ajenge lililo imara zaidi. Mkuu wa Wilaya wa eneo ambalo yalitokea maafa ya ghorofa kuanguka, anamkamata na kumuweka ndani. Ebooo! Kwa hiyo Mkuu wa...
  8. Formular ya jinsi ya kuporomoka maghorofa (Kariakoo na kwingineko)

    Hakuna haja ya kuunda tume kwa tatizo ambalo serikali inalifumbia macho na jibu la tatizo hilo wote wanalifahami. Iko hivi; Mfanya biashara + Eneo la biashara kubwa + Mipango Miji + Fundi Maiko = Maafa Assumptions; Mfanyabiashara- Mkinga, Mrombo Eneo la Biashara- Kariakoo, Sinza, Ilala...
  9. G

    Ukanda wa Gaza jeshi la Israel linalipua na kuangusha MAGHOROFA 5-10 kwa siku, lkn wananchi wanaokoana fasta, tena kwa mikono tu

    Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani?
  10. G

    Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  11. S

    Ushauri wa kiufundi katika utanuaji na ukarabati wa maghorofa pasipo kuleta madhara

    Habari wadau, wamiliki, watumiaji na wasimamizi wote katika sekta ya ujenzi. Kwanza nitoe pole kwa wahanga waliokutwa na jambo zito la kuangukiwa na ghorofa kariakoo! Naomba kutoa machache kutokana na uzoefu wangu kiufundi katika majengo makubwa na madogo! Kwanza kabisa Siyo kosa kiufundi...
  12. Tutemegee kuona maghorofa zaidi yakijengwa, kuna wanasiasa waliofukuzwa uwaziri watafilisika muda si mrefu

    Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila lawama yoyote ile Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
  13. N

    Naomba kujuzwa Maghorofa yaliyopo Tabora

    Nimeishia sana Nzega na Igunga sijawahi fika Tabora. Sijui ni ushamba wangu ila kipimo cha mji kuwa mzuri kwangu mimi ni majengo mazuri marefu. Kwa Tabora kupoje maghorofa marefu ni ya nini yana floor ngapi? Ofisi gani za serikali mpya na je mitaa ya kishua ni ipi huko Tabora kuna...
  14. Kwa nini ujenzi wa maghorofa umeshamiri kariakoo?

    Habari zenu wana JF. Kuna jambo gani ambalo linaendelea kariakoo maana kila ukienda kuna ghorofa lishavunjwa kwa ajili ya kujenga jingine. Ni kwamba bei ya vifaa vya ujenzi imeshuka au vipi?
  15. Wana maghorofa wenzangu mmesikia ya Kigamboni?

    My Take Tuache short-cut. Kama bajeti inabana jenga kawaida tu
  16. M

    Maghorofa yanachipuka kama uyoga jijini Mbeya awamu hii ya Dkt. Tulia na Rais Samia

    Kuna haja ya kuona na kupongezwa juhudi za makusudi za viongozi wetu hasa mheshimiwa Samia na Tulia. Wananchi wa jiji la Mbeya tunaona uchumi wa mkoa wetu unakuwa Kwa kuangalia hata miundo mbinu. Tunaona sekta ya ujenzi hususani nyumba Bora, nzuri zinaongezeka Kwa Kasi awamu hii. Wito...
  17. Mnaoishi katika Maghorofa marefu hasa ya Upanga tafadhali mkiwa mnaanza 'Kunaniliana' muwe mnafunga kwa muda Madirisha yenu ili msitupandishe Midadi

    Wengine tumeumbwa na Midadi hasa tukiona Minaniliano madirishani huwa tunatamani hata tuje kuomba Kolabo, ila huwa tunashindwa tu. Halafu ukijiona upo juu Ghorofani usidhani uko peke yako na huonekani kwani kuna Wengine (hasa GENTAMYCINE ) tuna Macho ambayo yakiona tu Kitu cha mbali basi...
  18. Siku yangu ya Kwanza kupanda Lifti za kwenye maghorofa chamoto nilikipata

    Habari Wakuu! Nimejikuta ninacheka tuu. Unajua haya mambo ya kizungu yanatutoa wengi nishai, wenge, Knockout. Yalinikuta, niliyakanyaga. Picha linaanza uncle kanipigia simu niende ofisini kwake, katika moja ya balozi za nchi ndogo za mashariki ya Ulaya, sikuwahi kufika ofisi yake tangu hapo...
  19. Mtindo mpya Kariakoo ni kubomoa maghorofa na kujenga Mapya

    Kariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya, kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangushwa linanyanyuliwa lingine, safi sana. Ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya, wacha nitafute pesa.
  20. Utitiri wa maghorofa yanayojengwa Kariakoo siku hizi inaashiria nini?

    Mitaa mingi Kariakoo majengo mengi yanajengwa hii Ina ashiria nini? Naombeni majibu wale wazee wa kusoma alama za nyakati ndio naowataka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…