magharibi

As of 2013 with the coming into effect of the new constitution, each county has its own government and therefore there is no central regional capital. Kakamega is the seat of government for Kakamega County, Bungoma County has its seat in Bungoma town, Busia County has the Assemble in Busia, Vihiga County in Vihiga town, all the County governments and governors are answerable to the people not to the national government.
The Western Region (Swahili: Magharibi) of Kenya, bordering Uganda, is one of former Kenya's seven administrative provinces outside Nairobi. It is west of the Eastern Rift Valley and is inhabited mainly by the Luhya people. Quakerism is widely practised here. Kenya's second highest mountain, Mount Elgon is located in Bungoma County. The Kakamega Forest rainforest is part of the area. The province capital is the town of Kakamega.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Serbia imezishika nchi za Magharibi pabaya

    Ikumbukwe kuwa mnamo mwaka 1999 nchi zilizo chini ya NATO wakiongozwa na Marekani ziliishambulia na kuiharibu vibaya sana nchi ya Serbia (wa iliyokuwa Yugoslavia ya zamani). Nchi za magharibi zilikuwa zinalitetea jimbo la KOSOVO lililokuwa linataka kujitenga na Serbia. Uvamizi huo ulifanikisha...
  2. Urusi sasa amecharuka, ni mvua za makombora kaskazini na magharibi ya Ukraine. Boris amekubali yaishe

    Kuanzia leo Urusi imeanza kutumia mbinu ya kivita ambayo haijawahi kutokea. Ameporomosha makombora ya masafa marefu na ya uhakika kupiga kambi kadhaa za kijeshi magharibi na kaskazini ya Ukraine.Hali hii imempelekea Boris Johnson wa Uiengereza kushauri Ukraine ikubali kufanya mazungumzo haraka...
  3. L

    Nchi za Magharibi zinachochea dai la “mtego wa madeni” huku kihalisia fedha zikifika nchi hizo kutoka Afrika

    “Madeni mengi yanayozikabili nchi za Afrika yanasababishwa na mashirika binafsi ya nchi za Magharibi, na hawa wakopeshaji kutoka New York, London, Frankfurt n.k wanataka madeni hayo yalipwe ili mali za nchi za Afrika ziendelee kumiminika Amerika Kaskazini na Ulaya, na wala sio China.” Hivi...
  4. Ukweli mtupu: Uwanja wa ndege Chato utakuwa ni kiunganishi kikubwa kwa eneo la kanda ya Ziwa Magharibi

    Runway yake yake M 3000 inaipa uwezo mkubwa wa kuwezesha madege makubwa kama Airbus a320 na nyinginezo nyingi. Ile dhana kuwa huu uwanja utabakia kuwa kiwanja cha kuaniakia udaga ni uongo mtupu. Ni uongo mtupu nasisitiza. Ndio maana utaendelea kuwa kiunganishi hasa viongozi wakubwa...
  5. L

    Putin asema nchi za Magharibi zikiondoa vikwazo Urusi itauza nje chakula na mbolea

    Rais Putin jana alisema Urusi inapanga kuuza nje chakula na mbolea ili kutoa mchango katika kukabiliana na msukosuko wa chakula duniani, lakini sharti lake ni kuwa nchi za magharibi zitaondoa vikwazo vilivyowekwa kutokana na madhumuni ya kisiasa. Habari kutoka tovuti ya Ikulu ya Urusi imesema...
  6. Tarime:Mwalimu jela miaka sita kwa kutafuna pesa shule Tsh mil tatu.

    Mahakama ya Wilaya ya Tarime imemuhukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa mwalimu mkuu shule ya msingi Mwege iliyopo wilayani Rorya mkoani Mara,Issaya Gwidana kwa makosa 6 ikiwemo la kughushi hundi za shule na kuchukua Sh. milioni 4.965 ambazo ni kwa ajili ya ujenzi wa madarasa...
  7. Ukraine wasipokuwa makini wakiendelea kufuata ushauri wa magharibi taifa lote litapotea..

    Wana JF tumekuwa wachangiaji wazuri sana wa mijadala juu ya vita inayoendelea huko ulaya kati ya mafahari watatu yaani Urusi, NATO na Ukraine.. mpaka tumefikia hatua tunabishana as if ni simba na yanga... yaani hata timu iwe mbovu hatuachi kuunda sentensi zenye propaganda nyingi ili mradi tu...
  8. M

    Nchi za Magharibi wailalamikia sana Urusi! Wanadai inatumia gesi kama silaha . Hivi walipoiwekea vikwazo zaidi ya 6,000 walidhani itatulia tu?

    Nchi za magharibi zinadhani zenyewe ndio zina haki ya kuadhibu nchi zinmgine, na hazitegemei nchi zingine kujitetea kwa namna yoyote ile! Nchi za magharibi na washirika wao waliiwekea vikwazo lukuki urusi ikiwemo kutokuruhusiwa kufanya miamala kwa kutumia Euro na dola. .Kwao hiyo ni sawa...
  9. DRC yaanza kutoa chanjo ya Ebola baada ya wawili kufariki, 230 wakiambukizwa

    Mama aliye kwenye matibabu akitenganishwa na mtoto wake kutokana na kupata maambukizi ya Ebola Dozi 200 za chanjo ya Ebola zimepelekwa Nchini DR Congo na nyingine zinatarajiwa kupelekwa katika siku zijazo baada ya watu wawili kuripotiwa kufariki kwa ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO)...
  10. L

    Maoni yangu kuhusu Vita ya Urusi Kama Magharibi Au NATO watalazimika kuhusika moja Kwa moja

    Nimepitia mijadala kadhaa ya vijana mbali mbali nimeona Tatizo ama lipo katika syllabus tunayotumia kuwafundishia masuala ya kidipomasia ya mataifa mbali mbali ,vijana wengi sana hawana ufahamu Kabisa , vita wanaijadili kama Mpira kwamba yeyote anaweza kupigwa, Vita inajadiliwa kama hadithi za...
  11. Ni maono tu kama Mengi nayosemaga yakatokea hata yasipotokea now ipo siku URUSI itahawanyika ama Kaskazini na kusini Au Magharibi na mashariki

    Kwa jiografia Urusi ni Nchi kubwa Kwa eneo kuliko nchi yeyote ile duniani, na Kwa kushangaza hawatumii ukubwa huo kama advantage kwao , njia sahihi ya kuiongoza Urusi ilibidi iwe ya Majimbo kama ilivyo USA, na Demokrasia ilitakiwa kutamalaki sana ili kuondoa mbinu za kutaka ama kupindya serikali...
  12. M

    Tujiulize: Kama Ukraine isingekuwa inapewa silaha kila siku na nchi za Magharibi kama ambavyo Urusi haipewi silaha na nchi yoyote, hali ingekuwaje?

    Nimekuwa nikijiuliza hali ingekuwaje kama mpambano kati ya Urusi na Ukraine ungekuwa MMOJA DHIDI YA MMOJA na wengine wakawa watazamaji tu. Ukraine wameshakiri kuwa sehemu kubwa ya silaha zake ziliharibiwa siku ya kwanza ya vita. Bila nchi za magharibi kumpatia ukraine silaha muda wote saa hii...
  13. L

    Unyanyapaa wa baadhi ya watu wa magharibi kuhusu China haubadilishi ukweli wa mambo

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni mwanamtandao mmoja wa youtube katika mji wa Shenzhen kusini mwa China, alionekana akizingumzia hali ya usalama katika miji mbalimbali ya China. Bwana Oli kutoka Uingereza alikuwa akielekeza hali halisi ya usalama wa mtu binafsi aliyojionea katika miji mbalimbali ya...
  14. Vita ya Ukraine; Waafrika tuamke, ni ubeberu wa Magharibi dhidi ya walimwengu

    Waafrika tuamke wenzetu asia amerika latino wanaelewa nini kinaendelea. Ukiangalia vita vya ukraine ni kwamba hapo pamekua tu uwanja wa mapambano. Ni kati ya nchi za kibeberu za marekani na ulaya ya magharibi wakiongozwa na marekani wakipigania hati miliki kudhibiti uchumi wa dunia. Utaona...
  15. Uhuru wa vyombo vya habari, vyombo vya habari vya Magharibi viko huru?

    Vita vya Russia na Ukraine vimenifumbua macho yangu. Vyombo vya habari vya nchi za Magharibi ni vyombo ambavyo havitoi habari kuhusu kile kinachoendelea kwenye vita, havisimami katikati, vimeegemea upande. Iko siku vyombo hivi vitatumika kurudisha ukoloni Afrika. Je, vyombo vya habari vya...
  16. L

    Nchi za Magharibi na vyombo vya habari vinashindilia pamoja msumari kwenye mzozo wa Ukraine

    Hassan Zhou Tangu kuzuka kwa mzozo wa Ukraine mwishoni mwa Februari, nchi za magharibi na vyombo vya habari vimeshirikiana kushindilia pamoja msumari na kujaribu kugeuza macho ya watu wanaotaka kujua chanzo cha mzozo huo, na pia kuzipaka matope baadhi ya nchi ambazo zinataka kufikiwa kwa amani...
  17. M

    Vita ya kiuchumi kati ya Urusi na Mataifa ya Magharibi imefikia Patamu sana

    Lengo kubwa la mataifa ya magharibi ni kuiangusha kiuchumi Urusi ili hatimaye idhoofike kijeshi. Kufikia lengo hilo walimpata rais msanii na mchekeshaji Zelensky wa Ukraine, ambaye walimvimbisha kichwa na kumdanganya kuwa aigomee Urusi kuhusu kuruhusu majimbo ya mawili yaliyoko mashariki mwa...
  18. Rais Zelensky azilaumu nchi za Magharibi kwa woga

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amezishutumu nchi za Magharibi kwa woga, wakati ambapo nchi yake inapambana kuzuia uvamizi wa Urusi. Akilihutubia taifa jana usiku baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kusema hataki mabadiliko ya utawala Urusi, Zelensky amekemea kigeugeu cha nchi za Magahribi...
  19. L

    Mgogoro wa Russia na Ukraine umeonyesha unafiki wa nchi za magharibi

    Fadhili Mpunji Wakati dunia inaendelea kutafakari kuhusu changamoto zinazosababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine, kumekuwa na maswali mengi yanayoibuka, na kufanya watu watafakari udhati na kinachoitwa maadili ya nchi za magharibi (western values), na hata msimamo wa nchi...
  20. Kwa wale wanaoishi Scandinavia na Ulaya Magharibi

    Mnapokwenda kutafuta maisha na kuwekeza nyumbani, mlishafikiria maisha ya uzeeni na gharama za matibabu? Nchi za Scandinavia na baadhi ya nchi za Ulaya matibabu ni bure hasa ukiwa umelipa tax katika maisha yako ya kazi. Unapoamuamua kustaafu nyumbani, umejenga ghorofa zuri tu, lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…