mageuzi

The National Convention for Construction and Reform – Mageuzi, popularly known by its acronym NCCR–Mageuzi, is an opposition political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumlaumu Mbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana

    Siku zote raia ndio hufanya maamuzi ya mwisho, hata mitandaoni ukosoaji uwe mkubwa kiasi gani, kama raia hawataingia kwa ground huwa hakuna kinachotokea. Siwezi kumlaumuMbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana. Wanaharakati wana 20% tu, lakini raia wana 80% ya mageuzi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Njooni tupange namna ya kufanya mageuzi ya Umma

    Mafanikio ya Mapinduzi ya umma au mageuzi ya Umma hufanikiwa pale tu vyombo vya usalama vinapokuwa upande wa wananchi. Mpango huu umeanza wiki kadhaa sasa kuandaa utaratibu wa kuwaunganisha wananchi wote na vyombo vyetu na kuunda njia za mawasiliano na askari wetu hasa vijana. Kila mtu...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Gwajima amehamia NCCR Mageuzi na Mwabukusi ameamua kumuunga mkono mgombea Urais wa CHAUMMA

  4. JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud Othman: Binafsi sina imani na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar

    Wakati mbio za kuelekea uchaguzi wa Oktoba nchini Tanzania zinavyozidi kupamba moto, vyama vya upinzani vinaongeza juhudi kwa matumaini ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani. Roncliffe Odit amezungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ambaye pia ni mgombea Urais...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini yaleta mageuzi makubwa kiuchumi Lindi

    Imeelezwa kwamba, kwa kipindi cha Miaka Minne Sekta ya Madini mkoani Lindi imefanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kupitia shighuli za uchimbaji na uwekezaji katika rasilimali madini mbalimbali zinazopatikana mkoani humo yakiwemo madini ya kinywe, dhahabu, jasi, shaba, madini ya vito na madini...
  7. JamiiForums Tanzania “Chura wa Ajabu Aliyebeba Macho Koo: Kielelezo cha Maajabu ya Mageuzi”

    Mnamo mwaka wa 1992, mpiga picha wa Kanada aitwaye Scott Gardner alipiga picha ya chura wa kipekee kutoka Ontario ambaye hakuwa na macho usoni mwake; badala yake, macho yake yalikuwa ndani ya mdomo, yakipofya kutoka kwenye koo. Mabadiliko haya ya kipekee ya kinasaba, ingawa ni ya kushangaza, si...
  8. JamiiForums Tanzania Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia ameshinda kesi aliyoifungua dhidi ya chama hicho, akipinga kuondolewa kwenye uongozi na kuvuliwa uanachama wake. Mbatia aliemnguliwa madarakani kufuatia mkutano mkuu wa NCCR Mageuzi uliofanyika Septemba 24, 2022, ambapo pia ulimvua uanacama...
  9. JamiiForums Tanzania Bado Hatupo Tayari kwa Mageuzi

    Taifa lolote ama jamii yeyote ina njia mbili za kufanya mageuzi ya mfumo wa kujitawala, Njia ya kwanza ni njia ya Amani kwa majadiliano, maridhiano na mapatano yanayoweka mizania ya kujiongoza. Njia ya pili ni vurugu au nguvu baina ya makundi mawili. Kundi linalotawala linataka kuendelea...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na mageuzi ya kilimo, benki mpya kwa wakulima

    Katika uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan ameweka mkazo mkubwa kwenye kuimarisha sekta ya kilimo (sekta inayoajiri 60% ya watanzania), hatua inayojenga msingi wa maendeleo jumuishi ya taifa. Tathmini ya sera, mikakati na hatua zilizochukuliwa zinaonyesha mwelekeo mzuri wa kulibadilisha...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Historia ya Pasaka (Easter): Chanzo, Mageuzi na Ukweli Usiosimuliwa Mara Nyingi.

    1. Asili ya Pasaka ya Kiebrania (Passover) Pasaka halisi, inayojulikana kama Pasaka ya Kiebrania (Hebrew Passover), ilianzishwa na Mungu mwenyewe kupitia Musa katika Agano la Kale. Inatajwa kwa mara ya kwanza katika Kitabu cha Kutoka 12, ambapo Mungu aliwaagiza Waisraeli kuchinja mwana-kondoo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura katika mfumo wetu wa uchaguzi ni kupoteza muda. Bila mageuzi ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

    Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini niwaamini chadema na sio Act. Chauma, na Nccr mageuzi?

    Nani kawahi kumsikia Lissu au Heche kuzungumzia maswala ya jamii? Wao kutwa kuzungumzia uchaguzi, kubishana na Wasira. Lkn kuhusu nini watafanya katika sera za elimu, afya, miundo mbinu sijawahi kuwasikia. Angalau Act , nccr wao huzungumzia hilo.
  14. 1

    JamiiForums Tanzania The rise of Taliban na mageuzi ya gen Z Tz kupitia CHADEMA!

    Wakuu salamu! Kwenye Ulimwengu huu unaobadilika ni vigumu sana kupanga mpango na ukaenda vyema kama ulivyotarajia.Nchi nyingi kubwa zenye taasisi serious za kiusalama hazijawah kuwa 100% correct mara zote!Mathalani CIA ili kuiumiza Usovieti iliwafadhili mujahdeen Afghanstan na kwakweli...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hii Operation Kata Funua ingetekelezeka ingelete Mageuzi Makubwa Nchini

    Tumesikia operation( Operesheni) nyingi lakini hii ilikuwa kiboko. Sikuwahi kusikia hii Operation, nyinyi wenzangu mliisikia? Au ni uongo wa hawa waandishi wa kuokoteza habari vichochoroni? Sawa tumeona Operesheni kama 1. Operesheni Ukuta 2. Operation Sangara 3. Operation Baracuda 4. Operation...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu kuhamia NCCR Mageuzi mwezi February 2025. Selasini ajiandae.

    Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto. Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi. Hii inatokana na kuona kabisa Maji yamezidi unga. Safari hii Lissu kajaa kwenye mfumo bila kujijua. Kashatiwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nyota Mpya ya Tanzania: Rais Samia Hassan aongoza Mageuzi ya Kiuchumi

    Tanzania, ambayo kwa muda mrefu imeonekana kama moja ya nchi zenye viwango vya juu vya kiuchumi katika Afrika Mashariki, sasa inavuma kwa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu kuchukua madaraka mnamo Machi 2021, Rais Samia amejitokeza kama mtu wa mageuzi, akiiongoza nchi kuelekea utulivu...
  18. JamiiForums Tanzania Nikisema Tundu Lissu, Mbatia na Slaa waunganishe nguvu pale NCCR MAGEUZI tupate Chama makini na imara nitakuwa nimekosea?

    Habari jf , baada ya mwaka 2022 Mbatia kusimamishwa NCCR MAGEUZI , May 2024 mahakama ilimsafisha na kuamuru Selasini amlipe milioni 80 Mbatia kwa kumchafua . Vivyo hivyo kwa Dr slaa , mazingira ya kuondoka kwake CHADEMA yaligubikwa na sintofahamu nyingi sana . Tundu lissu baada ya kutangaza...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini mageuzi ya kusitasita ya Rais Samia yanachochea hasira ya kisiasa nchini Tanzania?

    Chanzo cha picha,Reuters Maelezo ya picha, Kiongozi wa chama cha upinzani Chadema Freeman Mbowe amekamatwa mara mbili wiki za hivi karibuni Maelezo kuhusu taarifa Wimbi la hivi karibuni la utekaji nyara, kukamatwa na mauaji ya kikatili ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani nchini Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa sera za namna hii, Tanzania inaweza badilisha hali yake ya kiuchumi na kuwa taifa imara ukanda wa Kusini mwa Afrika ama inahtaji mageuzi zaidi?

    Habari za jioni wana jamii leo nimekaa na kuwaza kuhusu nchi yetu ya Tanzania kwa kina na kwa upana sikuwa na budi bali kuandika haya mambo kwa sisi watanzania wote Tanzania ni nchi ambayo imekaa vizuri kijiografia yaani tumezungukwa na nchi nane tunaweza sema tisa tukiweka na visiwa vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…