magazeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali kufungia Magazeti

    Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita kumekuwapo tabia ya Serikali kufungia magazeti mbalimbali, ingawa katika kipindi kuanzia mwaka 2016 hadi 2020 kasi ya kufungia magazeti ilipanda sana. Serikali inatumia sheria yake ya vyombo vya habari kufungia magazeti mbalimbali yanayovunja sheria...
  2. Yako wapi Magazeti nguli yaliyovutia kuyasoma? Nani kayazuia kuibua ufisadi, au swala hili wameiachia CAG? Je, wameishiwa mbinu za kijasusi?

    Wana JF, Tangu Rai inunuliwe Watanzania tumeishiwa na hamu ya kusoma magazeti, zamani kulikuwepo waandishi nguli wasio waoga waliokuwa wanapambana na serikali kufichua maovu hata kama habari itawaweka matatizoni. Siku hizi magazeti yote yamegeuka kuanza kuisifia serilali, au au kushadadia...
  3. Magazeti ya Mabeberu yameanza chokochoko El País wamuita John Magufuli, the African Bolsonaro. Nini kipo nyuma ya tuhuma hizi ?

    Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama...
  4. Fursa ya kuuza magazeti kwa kilo

    ......
  5. Serikali: Si kweli kwamba hatuchukui hatua kwa magazeti ya Tanzanite bali tumeshawaandikia onyo pamoja na mengine yanayokiuka sheria

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema Serikali imekuwa ikichukua hatua bila kupendelea chombo chochote cha habari kinachobainika kukiuka sheria na taratibu ikiwamo kutoa habari za uongo. Hayo yalielezwa bungeni jana na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Juliana Shonza wakati akijibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…