magari ya serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania masikini lakini show off za magari ya serikali

    Nchi watu wamechoka mbaya lakini misafara ya magari kibao bila sababu. Yaani viongozi badala ya kufanya kazi ni kunzuka zunguka tu kama machawa na wakubwa https://youtube.com/shorts/CetGAOZ6Qs4?is=dRy7WAtOIgpbKAAG
  2. JamiiForums Tanzania Mwananchi: Kwanini magari ya Serikali, Mapolisi na Wanajeshi hayafuati sheria za barabarani? Au wako juu ya sheria?

    Wakuu, Kama unaishi Dar au Arusha alichokisema huyu dada ni kitu ambacho tunakutana nacho kila siku humu mababarani Nisiongee zaidi msikilizeni dada hapa Soma Pia: Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku? Alichokisema: "Hivi why no one...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku?

    Naomba kuuliza swali, Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni - je, ni sawa? Wao ndio wana haraka muda wote kuliko Wanachi wengine wa kawaida? Au mimi ndio sielewi...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati 30% ya magari ya Serikali ya Rwanda yakitumia umeme, Tanzania inang'ang'ania magari ya Mafuta kisa upigaji

    Wakati Tanzania ikinunulia Wakuu wa Mikoa na Maafisa Tawala, Magari mapya yanayotumia mafuta ambapo Kila gari limenunuliwa kwa shilingi milioni mia nne na hamsini, Serikali ya Rwanda imeziagiza taasisi zake kuhakikisha kuwa angalau asilimia 30 ya magari mapya yanayonunuliwa ni ya umeme. Hatua...
  5. JamiiForums Tanzania Mdau ahoji magari ya serikali kuwa katika haraka wakati wote

    "Magari ya serikali mara zote yanaonekana kuwa na haraka! Hali hiyo ya haraka haionekani popote katika majukumu yao rasmi. Kwa nini?"
  6. JamiiForums Tanzania Unamwamini Mwigulu kwamba eti magari ya Serikali 979 yalichomwa wakati wa maandamano?

    When all is said and done kuna uwezekano mkubwa kuwa wajanja wachache wamegawana haya mavieite mapya ya Serikali na kusingizia maandamano. Ni nani atakayethibitisha kwamba ni kweli hayo magari yamechomwa moto na hayajagawanwa na mafisadi? Mwigulu unatuhakikishiaje kuhusu hili? Unataka tukuamini...
  7. JamiiForums Tanzania Raia wamekosa imani na magari ya serikali, ikibidi yasiwe tinted

    Kulikuwa na kimvua leo huku nilipo, likaja gari la serikali namba STN (lipo kama Hiace), vioo tinted likapaki karibu na tulipojificha mvua isitunyeshee. Aisee mara baada ya gari kupaki watu wote wakaitolea macho ile gari kuangalia nani anashuka. Na wengine wakawa wanasema ni magari kama hayo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Serikali Maswa walalamikia kuamrishwa kutoa mafuta kwa matumizi binafsi ya viongozi

    Baadhi ya madereva wa magari ya serikali katika wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamelalamikia madai ya kuamrishwa kuacha sehemu ya mafuta wanayopewa kwa matumizi ya magari yao, ili kiongozi wao aitumie kwa matumizi binafsi. Kwa mujibu wa madereva hao, kila wanapopewa kibali cha kuchukua mafuta...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kiongozi wa Wilaya ya Maswa anayedaiwa Kuhujumu Mafuta ya Magari ya Serikali Afichuliwa

    Madereva wa magari ya serikali katika halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamemlalamikia,Katibu Tawala wa wilaya(DAS)ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa madai ya kuamrishwa kuacha sehemu ya mafuta wanayopewa kwa matumizi ya magari yao, ili kiongozi huyo ayatumie kwa matumizi binafsi. Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Magari 552 yametelekezwa, hayatengenezwi wala kuuzwa

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imebaini uzembe na ucheleweshaji wa maamuzi katika taasisi mbalimbali za umma, hali iliyosababisha mali za serikali zenye thamani ya mabilioni ya shilingi kutotumika kwa muda mrefu, huku nyingine...
  11. JamiiForums Tanzania MwendoKasi wa Misafara, au Magari ya Serikali

    Hivi waha jamaa Muda wote huwa Wana haraka, na je Muda wote huwa wanawahi Jambo Muhimu. Swali, Je hizi mbio zao wangekua wako serious na maendeleo tungepiga Hatua kubwa sana, Magari ya Serikali yanaongoza kwa kuvunja sheria za Barabarani. Unakuta Msafara uko Kasi sana Akifika Ofisini achukua...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya magari ya serikali baada ya kuanza SGR

    Za leo wakuu, Natumaini SGR kati ya Dodoma na Dar kupitia Morogoro. Hivyo basi tunahitaji kupunguza ajali za magari na pia kupunguza matumizi kwa kuhakikisha viongozi na wafanyakazi wanatumia treni hiyo. Hili litafanya uboreshaji wa treni na kuhakikisha serikali inapunguza matumizi kupitia...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

    Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
  14. JamiiForums Tanzania Kupaka rangi za bendera inaweza kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya magari ya serikali

    Kuna kijana huko Kenya amependekeza magari yote ya serikali ya Kenya yapakwe rangi ya bendera za Taifa ili kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya hayo magari, Je vipi wazo hili kwa Tanzania?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Barabara za mwendokasi (BRT) zinatumiwa zaidi na magari ya vigogo wa serikali na gari za ST kuliko mabasi kwa ajili ya wananchi wa kawaida!

    Naanza kuamini kwamba mwendokasi ulikuwa uongo mwingine wa wanasiasa, kwamba wanataka kuondoa kero za usafiri jijini kwa ajili ya wananchi. Hizi barabara zilitengenezwa kwa ajili yao kukwepa bugudha za barabara za kawaida. Nimeona kwamba barabara za mwekasi zinatumiwa zaidi na magari ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania inawezekana? Ruto asitisha ununuzi wa Magari ya Serikali kwa mwaka mzima, Mashirika ya umma 47 yafutwa hayana tija

    Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali. ====== Rais Ruto ametoa hatua zifuatazo...
  17. JamiiForums Tanzania Nigeria: Rais Tinubu aagiza Magari yote ya Serikali yawe yanatumia Gesi

    Rais Bola Tinubu ameagiza mashirika yote ya serikali kununua magari yanayotumia gesi pekee kama sehemu ya juhudi za nchi hiyo za kuhamisisha na kuhamia katika matumizi ya nishati safi na kupunguza gharama kubwa za mafuta. Msemaji wa Rais amesema Rais Tinubu anatarajia idara zote za serikali na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini? Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa musiojua gharama za matengenezo ya magari ya serikali njooni

    Sijaiona picha ya sehemu za nyuma za gari hii. Ikiwa imeharibika hapo tu panapoonekana kwenye picha serikali itatumia zaidi ya milioni 50 kutengeneza gari hii. Gari itakaguliwa na TEMESA, serikali italipa gharama za ukaguzi, kisha TEMESA watatoa tenda kwenye garage binafsi kama vile KINAI, ADAM...
  20. JamiiForums Tanzania Usajili wa magari ya serikali umefikia “STN” kazi iendelee

    Leo nikiwa town katika mishemishe nakuta chuma ya serikali imepaki. Kucheki namba ni STN. Nikajiuliza si ni juzi tu hapa STM ilianza? Ndio imejaa kwa kasi hivyo! Serikali yetu inamiliki magari mengi na sasa usajili umefikia “STN” hii ni kasi zaidi ya 5G
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…