magaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Marekani wamewashambulia "magaidi" wa Nigeria

    Marekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya US imedai kuwa mashambulizi hayo ni endelevu iwapo magaidi hawataacha njia zao ovu.
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ole wenu Magaidi na Mamluki mnaopanga kuvuruga amani na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi Dec.25.2025

    Hapatakua na huruma, aibu wala haya katika kuwadhibiti na kuwasambaratisha katika harakati zenu za kujaribu kuvuruga amani na utulivu miongoni mwa waTanzania. Binafsi nawatakia vijana na waTanzania wote sherehe njema za Christmass na heri ya mwaka mpya2026. Nawatakia matumizi mema na sahihi ya...
  3. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Waliopanga mandamano October 29 walikuwa wana lengo la kuvuruga uchaguzi na amani Ili nchi isitawalike

    Magaidi ni watu ambao huwa wanaanda mashambulizi Kwa siri Kwa ajili ya kuwazuru watu au miundombinu ya serikali na hiki ndicho kilichofanywa Oct 29 OCT 29 Ilikuwa ni siku muhimu Kwa Taifa letu watu wakitimiza haki Yao ya kikatiba ya kupiga kura Ili kuchagua viongozi wao hakuna serikali yoyote...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Saudi na UAE wasema Imamu Akieneza Chuki anakula BAN, Magaidi wengi watatoka Ulaya siku zijazo

    Hapo Mkutanoni wapo Mawaziri wa Saudi Arabia na UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu) Waziri Wa UAE: Na niruhusu niseme hili kwa Kiingereza ili uweze kuelewa ninachosema. Siku itakuja ambapo tutaona wanamgambo na magaidi wenye misimamo mikali zaidi wakitoka Ulaya, kwa sababu ya ukosefu wa kufanya...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa utawala katika jeshi la magaidi wa Hezboullah aingia kwenye 18 za majeshi ya Israel na kuangamizwa!!

    MAPUMZIKO: Jeshi la Wanajeshi la IDF laishambulia Hezbollah Nambari 2 mjini Beirut. Ofisi ya Waziri Mkuu yathibitisha shambulio la anga la usahihi katikati mwa Beirut linalomlenga Haytham ‘Ali Tabataba’i, aliyetambuliwa na vyombo vya habari vya Kiebrania kama mkuu wa utawala wa Hezbollah...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Jeshi la IDF linaendelea kuwashambulia Hamas

    Baada ya Hamas kushindwa vita waliyoianzisha wao wenyewe Oct 07,2023 sasa hivi wanafuatwa popote walipo na kuuwawa na wengine waliokuwa wamebaki kwenye mahandaki Njaa imeanza kuwatoa huko na wanaojisalimisha wanatiwa mbaroni na wanaokaidi wanaangamizwa papa kwa papo. Sasa hivi hakuna...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwa yale yaliyodhihirika kufanywa na Jeshi la Polisi Tanzania, Tuombe Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Lilitangaze Kuwa ni Kundi la Kigaidi

    Kwa yale yaliyodhihirika kufanywa na jeshi la Polisi Tanzania, kuanzia utekaji, mauaji ya maelfu ya wananchi, na Ufukiaji wa miili ya watu waliowaua; Hatua ya kwanza, ni vema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Ulaya, Umoja wa Afrika na SADC, wakatangaza rasmi kuwa kinachoitwa...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Knesset yaidhinisha Mswada wa kunyonga wafungwa wa Kipalestina

    Knesset ya Israel imepitisha kwa usomaji wa kwanza mswada unaoruhusu kunyongwa kwa wafungwa wa Kipalestina. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Israel (KAN), mswada huo ulipitishwa Jumatatu usiku kwa kura 39 za ndiyo na 16 za hapana. Mswada uliopendekezwa na chama cha Jewish Power cha...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kama wazanzibar wakilazimisha kuvunja Muungano wajiandae kuwa mkoa wa Tanzania au Jimbo la TANZANIA hutuwezi kuruhusu magaidi waingie hapo karibu nasi

    Huo ndo uhalisia Zanzibar isingekuwa ndani ya Muungano ungekuta tayari Kuna vikundi vya kigaidi vimechukua utawala Tutakua wajinga kuwaachia ndugu zetu wanzibar wabaki bila ulinzi wa TANZANIA Kama viongozi wao Kwa ulevi TU wa madaraka watavunja Muungano Kwa namna yoyote hatakubali ulafi wao wa...
  10. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Hatimae Mwili wa Marehemu Joshua Mollel warejeshwa na Magaidi wa Hamas wenye vina saba na Chama Cha Mauwaji

    Joshua Loitu Mollel (Picha Kwa Hisani ya Maktaba) Mabaki yaliyorejeshwa kutoka Gaza hadi Israel usiku kucha yalitambuliwa kuwa ya raia wa Tanzania Joshua Loitu Mollel, mamlaka ya Israel ilisema Alhamisi. Wawakilishi wa Jeshi na Wizara ya Mambo ya Nje waliifahamisha familia ya Mollel kwamba...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel IDF lafanya mashambulizi Kusini mwa Lebanon

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limefanya mashambulizi kadhaa katika maeneo ya kusini mwa Lebanon siku ya Alhamisi, likisema kuwa yalilenga kundi la Hezbollah kwa madai ya jaribio la kundi hilo kuanzisha upya shughuli zake katika eneo hilo. IDF ilisema mashambulizi hayo yalilenga maghala ya...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hezbollah wameshambuliwa jioni hii na Ndege-vita za Israel huko Lebanon kusini

    Ndege-vita za Israel jioni hii z inashusha kipondo cha kufa mtu kwa magaidi wa Hezbollah
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kundi la Wahouthi laanza kumomonyoka kwa kasi

    Afisa Mwandamizi wa Houthi Amejiondoa kutoka kwa safu ya makamanda wa Houthi Kamanda wa Kikosi cha 10 cha Houthi "Samad," Amid Salah Moqbel Al-Salahi, alitoa wito kwa askari wake "kurejea kwenye kukumbatia nchi na jamhuri" na anadai kuona "uhalifu, dhuluma, dhuluma, na kiburi" cha magaidi wa...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marekani imevamiwa na Magaidi siku nyingi!!

    Ugaidi wa Jihadi nchini Marekani Huko New York, magaidi waliandaa mkesha wa kuwaombolezea viongozi wao ambao waliangamizwa wakati wa vita na Israeli na katika operesheni mbalimbali zilizopita. Bendera za vikosi vya Hamas Al-Qassam, Saraya Al-Quds, Hezbollah, Houthis na zaidi zilikuwepo kwenye...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi ya Houth wanalazimisha watu waandamane ili wapate misaada ya chakula huko Yemen!!!!

    REUTERS: Wahouthi wamekuwa wakiwalazimisha raia wa Yemen kujiunga na wanamgambo wao na kuhudhuria mikutano ya kila wiki inayobwabwaja "Kifo kwa Amerika" “Kifo cha Israel” kama sharti la kupokea msaada wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa. Raia mmoja aliyekimbia makazi yake aliiambia Reuters...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hama lazima wasalimishe silaha zao ama sivyo tutawalazimisha-Donald Trump

    Baada ya magaidi wa Hamas kushindwa vita huko Gaza na kuwaachia mateka wote walio hai kinachofuatia sasa ni kusalimisha silaha zao kwa Amani wakikataa tutawapokonya kwa nguvu-Donald Trump "Mytake" Huo ndiyo mwisho wa Hamas!!! Wanajuta kwa nini Oct 07,203 walivamia Israel!!
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hamas waliposikia Kamala Harris kashindwa Uraisi walisikitika, Marekani ya chama cha democrats inapendwa sana na magaidi

    Iran, Hamas, Hezbollah, Isis, Houthi, huwa wanafurahi sana kukiwa na rais wa Marekani aliyetokea chama cha Democrats kama Biden na walitegemea Kamala Harris ashinde. Waliposikia ni rais wa Republican kashinda hawakufurahi kabisa. Huyu ni moja wa mateka walioachiwa akielezea hali ilivyokuwa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Hamas Yaua Wapalestina Zaidi ya 50 Walioonekana Kuhoji Sababu ya Shambulio la Hamas Dhidi ya Israel

    Wananchi wa Palestina, unaweza kusema, ni watu wenye bahati mbaya sana, na kwamba kwao kitu amani, ni jambo litaendelea kuwa gumu kwao. Wapalestina maelfu wasiokuwa na hatia wameuawa, kutiwa ulemavu, na kupitia mateso mbalimbali kutokana na operation za kijeshi za Israel zilizosababishwa na...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wauaji wakubwa wakiandaliwa tayari kuachiwa huru katika magereza ya Israel

    Magaidi wenye damu za watu mikononi mwao wakiandaliwa kuachiwq huru kutoka magereza ya Israel walikokuwa wamefungwa kwa mauaji ya watu wasio na hatia. Waangalie walivyo na afya nzuri kinyume na mateka wa Israel watakao achiwq na magaidi hao!!
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas walijaribu kwenda maeneo yasiyoruhusiwa walikipata cha moto!!

    Vifaru vya IDF vinawafyatulia risasi Wanajihadi wa Nazi huko Gaza ambao wanajaribu kutembea kuelekea kaskazini mwa Gaza. Hawaruhusiwi kwenda kaskazini zaidi kutoka hapo walipo.
Back
Top Bottom