magaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda watoa dau kwa atakayesaidia kukamatwa kwa magaidi ya ADF yenye mlengo wa kidini

    Mwenye taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa hawa magaidi yenye mlengo wa kiislamu, atapewa hela ndefu sana Police have offered at least Shs40million for information leading to the arrest of two alleged fugitive militants belonging to the Islamist rebel group Allied Democratic Forces (ADF)...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Msemaji wa magaidi ya HAMAS alivyotupa mic baada ya kubanwa na swali la kwanini waliua kiholela

    Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu. Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani lakamata magaidi 5 walioteka meli ya mizigo ya Muisraeli

    Jeshi la Marekani limewakamata washambuliaji watano waliokamata meli ya mizigo yenye uhusiano na Israel katika Ghuba ya Aden huku kukiwa na mashambulizi ya makombora kutoka Yemen inayodhibitiwa na Wahouthi. Mwangamizi USS Mason alijibu siku ya Jumapili wito wa SOS kutoka kwa meli ya kibiashara...
  4. JamiiForums Tanzania Vita ya Magaidi ya Ki-islam [HAMAS] Imenitufunza.

    Vita VYA magaidi wa Ki-islamu [Hamas] na ISRAEL , Vimewafanya watu WENGI wajue kuwa WATOTO WOTE wa IBRAHIMU ISAKA, ISMAIL NA KETURA na WENGINE ni WAEBRANIA. Imetufanya tutambue ISHMAEL ndio WARABU, ISAKA kupitia ESAU NA YAKOBO, KWA YAKOBO NDIO WAISRAELI, lakini pia waisraeli WALIOZALIWA na...
  5. JamiiForums Tanzania Joe Biden: Hatuwezi kuruhusu magaidi kama "Hamas na Putin" kushinda

    Kumbe Putin anachukuliwa tu kama magaidi wengine; Hamas, Hezbollah, Isis, Boko haramu, Alshabab n.k -- US President Joe Biden gave a rare prime-time address to the nation from the Oval Office tonight in which he spoke about the country's response to the ongoing conflicts in Israel and Ukraine...
  6. JamiiForums Tanzania Meli ya Israel yatekwa Yemen

    Meli ya Israel imetekwa na Wapiganaji wa Houthi ikiwa na ma baharia wa Kijapani, hii imefuatia tangazo la hivi majuzi kuionya Israel kua meli zake zote zitalipuliwa zikikatisha Yemen [emoji779] [emoji1267][emoji1134]Israeli Ship Seizure Update Israeli media confirmed that Houthis attacked a...
  7. JamiiForums Tanzania Azov Brigade, Magharibi wanakuendesha vile wanavyotaka wao kuwa makini

    Azov Brigade ya Ukraine inatambuliwa na ulimwengu wa magharibi kama mashujaa walinzi wa Ukraine ila Hamas wana tambulika kama kundi la kigaidi kutoka Palestine. Ulimwengu wa Kimagharibi wakiamua kinyesi kiwe chakula wanaamua tu na ukiwa muunga tela watakulisha nawe utaona utamu wake. Dunia hii...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nini Wazungu hutumia Uislam kutengeneza magaidi badala ya dini nyingine?

    Kwa mtazamo wangu katika dini zenye misimamo mikali Uislam ni wa mwisho. Ukifuata misimamo ya Yesu tu utakuwa zaidi ya tishio. Kwa mujibu wa nadharia za njama (Conspiracy theories) inaonekana magaidi karibu wote huwa ni project za Wazungu. Mfano Osama Ibn Laden alitengenezwa na US ili...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Hii ramani inatumika sana kueneza uwongo wa mashabiki wa magaidi ya HAMAS humu

    Ramani ya kwanza inayotumika kueneza uwongo, ila ramani ya pili ndio yenye uhalsia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la Bunge Gaza

    Mzuka wanajamvi, Jeshi tukufu, takatifu na Teule la Israel IDF lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la bunge Gaza huku wakipeperusha bendera ya taifa teule la Israel wakiwa na furaha.
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Charges Militia Chief Over Tourist Murders

    Ugandan prosecutors on Monday charged the commander of a feared militia with terrorism and murder over the killing of two foreign tourists and their driver last month. A commander in the Allied Democratic Forces (ADF) militia, Abdul Rashid Kyoto, alias Njovu, was captured earlier this month...
  12. JamiiForums Tanzania Magaidi wasihusishwe na Uislamu

    WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli nyingi kwa sasa. Je Makundi haya ya uhusiano na waislamu au waislamu wanayakana haya makundi? JE...
  13. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Boko Haram wachinja wakulima wa mchele

    Suspected Boko Haram terrorists, on Sunday, attacked Zabarmari farmers while working on their rice fields in Mafa local government area of Borno State, killing over 15. Awali Casa, a rice farmer, who confirmed the attack on Monday to LEADERSHIP in Maiduguri, said there was palpable fear among...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Palestina aliepo Tanzania awapigie simu HAMAS waachie watoto wetu waliotekwa na magaidi hao au arudi kwao Palestina

    Ndugu watanzania , Vijana wetu wawili waliomiongoni na vijana wengine waliopelekwa nchini Israel kwa ajili ya mafunzo ya kilimo wametekwa na kundi la kigaidi ambalo linaungwa mkono na palestina vijana hao kwa majina ni Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga Taarifa hizi zimechapishwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas

    Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix wapalestina wa buza na wakomonisti wa mbweni waambieni vijana wenu wa itikadi kali wawaachilie hawa vijana au mnaendelea kusupport hata huu ujinga.
  16. JamiiForums Tanzania Magaidi ya ADF yenye mlengo wa Islamic State (IS) yaendelea kuchinja watu DRC

    Jamaa wameamua badala ya kuhubiri amani, ni mwendo wa kuchinja tu. ======= Beni. Rebels backed by the Islamic State group have killed two Ugandan soldiers in an attack that also left two civilians and a suspected assailant dead in eastern DR Congo, authorities said on Saturday. Two truck...
  17. JamiiForums Tanzania Namna ya kukabiliana na magaidi ni kutumia mbinu wanazotumia magaidi

    Kwema Wakuu! Vita inayoendelea huko Israel Vs Palestina (Hamas) inadhihirisha kuwa namna bora ya kukabiliana na Magaidi ni kutumia mbinu zao wenyewe, yaani kuwafanyia ugaidi mara mbili. Kwa mfano, Kitendo cha Hamas kuvamia Israel na kuua Raia wasio na hatia ni kitendo cha kigaidi. Na Waisraeli...
  18. JamiiForums Tanzania Anthonio Guterres yuko sahihi, HAMAS sio magaidi

    Anthonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) alilazimika kuyakana matamshi yake kuhusu HAMAS baada ya kulaumiwa na Israel kwa kauli yake kuwa HAMAS ni wapigania ardhi yao iliyokaliwa kimabavu na Israel kwa miaka mingi sasa. HAMAS waliishambulia Israel na kuua wanajeshi wengi wa Israel...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

    Wanaukumbi. Watanzania wawili na raia mmoja wa Africa Kusini ni miongoni mwa mateka 224 wanaoshikiliwa na Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, serikali ya Israel inasema. Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa. Mamlaka ya Tanzania hapo awali ilikuwa imethibitisha...
  20. JamiiForums Tanzania Israel wapiga bomu handaki la magaidi lililokua ndani ya msikiti wa Al-Ansar

    Hii misikiti yaani ni balaa sana, sijui kwanini watu wasiabudu miungu yao kwa amani bila kulea chokochoko........... The Israeli military said it launched a "preemptive strike" on an underground compound on the grounds of the Al-Ansar mosque in Jenin on the West Bank. Details: According to the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…