magaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Rais awafuta kazi Majaji 57, awatuhumu kulinda magaidi

    Hali ya Demokrasia na Utawala Nchini Tunisia inaendelea kuwa tata baada ya Rais Kais Saied kuwafuta kazi Majaji 57 akiwatuhumu kwa Ufisadi na kulinda Magaidi Rais Saied ambaye mbali na kuvunja Bunge liliyochaguliwa na Wananchi, kuweka kando Katiba ya Mwaka 2014 na kuingilia Tume Huru ya...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CCM na Spika Ackson hili la hawa Wabunge 19 wa CHADEMA msipoangalia litawachafua na kufanya muonekane ni 'Majuha' wa Kutukuka

    Tayari wenye Chama chao CHADEMA wameshawafuta rasmi nyie CCM kupitia Spika Ackson mnafanya hila za Kipopoma ( Kipumbavu ) za Kisheria ili muwabakize Bungeni. Najua CCM na System mnahangaika na hili ili Kumfutia Aibu Spika Ackson ambaye kwa Kiherehere chake alilikoroga kwa Kukurupuka Kuwatetea...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi. Hili limekaaje?

    Ndugu zanguni, Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi. Hili limekaaje? Hawa hawakuwa ''magaidi?'' Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA DPP LEO TAREHE 01.03.2022 AMEWAFUTIA MASHTAKA WATUHUMIWA 15 WA UGAIDI. Mkurugenzi wa Mashtaka amewafutia mashtaka ya Ugaidi watu 15...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Magaidi waua raia 40 nchini Mali

    Dunia hii amani tuitafute wapi haswa. Afrika bado tunauana kwa misingi ya dini za kuletwa. An Islamic State-linked group killed around 40 civilians this week in a northern region of Mali that has been plagued by clashes between rival jihadist groups, local sources told AFP on Friday. "There...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sabaya yupo ndani, Mbowe yupo ndani na sasa Makonda anaelekea ndani

    Nilikuwa sielewi ule usemi wa sharia ni msumeno unakata ukienda na unakata ukirudi au unakata kote kote, sasa nimeelewa kumbe msumeno pia unakata nje hata ndani. Tanazania inazidi kujipambanua kuwa nchi ya haki kwa mahakama zake kutenda haki bila kuangalia unatokea wapi. Ole Sabaya mkuu wa...
  6. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Endapo itathibitishwa Kuungua soko la Kariakoo na sasa Karume ni mpango, wanaopanga mipango hii ni Magaidi?

    Tuendelee kutiririka, huku tukijikumbusha kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
  7. nyboma

    JamiiForums Tanzania Kama majeshi ya Rwanda yaliwamaliza magaidi wa Cabo Delgado ndani ya wiki moja, hawa viongozi wetu wa ulinzi walienda kufanya nini Msumbiji?

    Hakika nimeamini vita dhidi ya ugaidi inahitaji akili kubwa mno kuliko matumizi ya nguvu, ni miezi michache tu iliyopita tulitangaziwa na kuaminishwa ya kwamba magaidi ambao walikuwa wameshikilia jimbo la Cabo delgado walipigwa na kumalizwa na jeshi kutoka rwanda. Ila hivi karibuni tena...
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Magaidi yatakapoitumia vibaya kesi ya Mbowe. Je, Serikali imejiandaa?

    Kudhalilishwa kwa makomando kama kunavojiri mahakamani kwenye hii kesi katika ushahidi wake !kunanipa maswali mengi kichwani kama haya:- 1. Komando ni nani hasa? 2. Makomando wangapi wapo mtaani na hawana ajira? 3. Ikitokea magaidi wakatumia mwanya wa kuwafuta machozi hawa makomando na kuwapa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mashambulio ya Magaidi nchini Uganda, Tanzania tuna la kujifunza

    Salaam wanajamvi, Kutokana na mashambulio mfululizo ya magaidi nchi jirani ya Uganda kwa Museven, Tanzania tuna jambo la kujifunza kama nchi upande wa usalama, naishauri serikali kupitia vyombo vyake vyote vya ulinzi na usalama kuongeza intelijensia yao na kuhakikisha vitendo hvo havitokei...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

    Tayari baadhi ya Wadau wa Maendeleo, akiwemo Mwakilishi wa Ubalozi wa Canada wamewasili Mahakamani. Hadi saa 3:30 asubuhi hii Watuhumiwa walikuwa bado hawajaletwa Mahakamani. ==== Hatimaye Mbowe na wenzake wameletwa Mahakamani Jaji Joachim Tiganga ameingia Mahakamani Wakili wa serikali...
  11. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Najaribu kufikiri jinsi magaidi wanne wa Mbowe wangewezaje kukata Miti Dar - Iringa

    Kwa sababu ni makomandoo huenda wangeweza. Nakuuliza hivi, Wangetumia mapanga ya kawaida au mapanga maalumu? Au wangetumia mashine za kukatia miti? Je, Mabwana misitu wangewaacha tu? Au wangekuwa wanakata huku wamevalia mavazi ya mabakamabaka kw a hiyo mabwanaisitu wangewaogopa? Je, Wangekua...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kizuwizi cha askari wa Lindi, ni moja ya vizuwizi maharamia na magaidi wanakichukia sana

    Nimesikia tukio la dereva kutaka kuwaua Askari ila wakamuwahi, jambo hili sijalishangaa kwangu naona kuwa ni jambo sasa Serikali kuweka vifaa maalumu pale kwenye kizuwizi kuwasaidia hawa Askari. Kiufupi ukiwa kusini ukimuuliza dereva au mtu anaye ijua hiyo barabara atakwambia askari wapale...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Osama baada ya Al-Qaeda kulipua balozi za Marekani nchini Tanzania na Kenya

    Jamaa aliingizwa kwenye ugaidi. Baada ya kuhoji uhalali wa kuua raia katika balozi za Marekani Dar na Nairobi, ambapo waatu zaidi ya 200 waliuawa kwa sababu ya wamarekani 12, kiongozi wa Osama, alimwambia kwa itidaki yao ni pamoja na hakuna raia pale kunapokua na adui yao. Akasema "Hata hivyo...
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mnashindwa nini kuwakamata Magaidi wakati Modus Operandi yao ni ile ile miaka na miaka?

    Kitu kimoja cha kutia faraja ni kwamba matukio ya Ugaidi Tanzania yanafanywa kwa njia ile ile kila mwaka. Iwapo jeshi la polisi watakua makini kwenye kuchunguza ama kupeleleza ni rahisi kuwakamata. Tujikumbushe matukio ya Kigaidi yaliyotokea Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni kwa uchache...
  15. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mbaroni kwa tuhuma za ugaidi Mombasa

    Mombasa. Wakati bado kukiwa na taharuki kutokana na tukio la mauaji ya watu watano wakiwemo askari polisi watatu lilitokea jirani na Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam, nchini Kenya vyombo vya usalama vinamshikilia raia wa Tanzania kwa tuhuma za ugaidi. Mtanzania huyo ambaye mamlaka...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Eneo lile lile: 1998 Magaidi walilipua ubalozi wa Marekani wananchi wakakimbilia kushuhudia leo kaibuka Hamza watu wamekimbia!

    Haya ni maendeleo makubwa kwa wananchi kuanza kuelewa maana ya hatari na kuikimbia badala ya kuikimbilia. Mwaka 1998 ulipolipuliwa ubalozi wa Marekani eneo hilo hilo alilokuwa anatamba Hamza jana wananchi kutoka maeneo ya jirani walikuwa wanakimbilia eneo la tukio kadri milipuko ilipoongezeka...
  17. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Gaidi katika ubora wake

  18. B

    JamiiForums Tanzania Tukio la msomali linatupa picha gani juu ya ugaidi..

    Mmm...ili tukio la msomali kupiga watu risasi hivyo lina maswali mengi...na ni kwanini mbele ya ubalozi wa ufaransa...na ubora wake wakutumia bunduki...unaleta maswali mengi. Kama ni issue za ugaidi basi kuna somo la kujifunza ...kubwa...kumtambua fake gaidi na original gaidi.
  19. BAK

    JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba nchi za Magharibi zinatengeneza makundi ya kigaidi kwa makusudi?

    Mara nyingi ninapofuatilia mijadala inayohusu ugaidi, kuna kambi mbalimbali za mawazo. Wengine wanasema ( mfano"Mashehe wa Uamsho" au "Watuhumiwa halisi wa ugaidi Tanzania")"Hakuna ugaidi, ni propaganda za nchi za Magharibi tu", . Wakati utetezi huo ukisemwa, tunaona kweli vurugu na mauaji ya...
Back
Top Bottom