Mkuu wa Taji wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, ameripotiwa kumshawishi Rais wa Marekani, Donald Trump, kuendelea kuongeza shinikizo dhidi ya Iran, akieleza kuwa mgogoro huo ni “fursa ya kihistoria” ya kubadilisha nguvu za kisiasa katika Mashariki ya Kati na kudhoofisha utawala wa Iran...
Katika Uwanja wa vita na Iran Magaidi hawa wanahitajika sana wafe
1. Mojtaba Khamenei – Kiongozi Mkuu
2. Mohammad Qalibaf – Spika wa Bunge la Iran
3. Ahmad Radan – Mkuu wa Polisi wa Iran
4. Gholamhossein Mohseni Ejei – Mkuu wa Mahakama
5. Ahmad Vahidi– Kamanda wa Kikosi cha Walinzi wa...
Baada ya Hezbollah kuamua kuingia kichwa-kichwa ku zaidi a Bwana wake Iran tutarajie muda si mrefu wataanza kutoa milio isiyoeleweka.
Israel imetuma Kikosi cha vifaru kupambana na magaidi hao huko kusini mwa Lebanon kwa hiyo tutarajie kusikia Milio wakati wowote kuanzia sasa!
🔥🔥🔥🔥Taarifa ya Siri iliyofichuliwa huko Uingereza inataja zaidi ya Nchi 22 duniani zilituma magaidi kwenda Israel kwa ajili ya kuua watoto wa dogo na wanawake wasiokuwa na silaha huko GAZA Palestine.
Ripoti hiyo inataja marekani ndio Nchini iliyopeleka Magaidi Wengi zaidi kujiunga na kundi la...
Israeli inalaani Jukwaa la Al Jazeera kama "mkutano wa kilele wa jihadi" huko Doha
Wizara ya Mambo ya Nje ya Israeli ilitoa karipio kali kwa Jukwaa la 17 la Al Jazeera lililofunguliwa Doha wikendi hii, ikilielezea kama "mkusanyiko teule wa wanajihadi na wafanyakazi wao wa usaidizi."
Jukwaa...
Magaidi wa Hamas baada ya kusimamisha mapigano walijikusanya kwenye Gorofa moja ili wajipange upya kuishambulia Israel.
Matokeo yake yalikuwa mabaya sana kwa waliuwawa wote waliokuwa ndani ya jengo hilo na sasa kuna uwezekano kama ni kweli wamekabidhiwq wale mabikira fake ili wawabikiri!!!!
Wakati Iran anatandikwa na Marekani wakati huohuo Magaidi wa Hamas nao wanapata kipigo cha mbwa-mwili huko Gaza!!!!
Safari hii Magaidi wa Hamas,Hezbollah, Houth na Bwana wao Iran wanapata kipigo kwa pamoja!!! Yajayo 6anafurahisha!!!
https://x.com/vividprowess/status/2017590868220280929?s=61
Magaidi wa Hezboullah waliokuwa wanasifiwa na Adiosamigo gallow bird gTurn Iceberg9 na Bwana wao Ritz sasa hivi wanacharazwa viboko na wao hawawezi kurusha hata jiwe kuelekea Israel maana wanajua kitakachofuatia.
Magaidi wa Hezboullah sasa hivi wanapigwa kama Ngoma!!
--------------...
Magaidi wanavyotumia historia ya Ukhalifa
Magaidi kama ISIS, Al-Qaeda, Boko Haram wanadai:
“Tunarejesha Ukhalifa ulioporomoshwa”
Historia ya 1258 na 1924 inatumika kama:
Motisha ya kihistoria: wanasema “Dola ya Kiislamu imeanguka, dunia inahitaji Waislamu wa kweli kurudisha heshima”
Kifaa...
Marekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya US imedai kuwa mashambulizi hayo ni endelevu iwapo magaidi hawataacha njia zao ovu.
Hapatakua na huruma, aibu wala haya katika kuwadhibiti na kuwasambaratisha katika harakati zenu za kujaribu kuvuruga amani na utulivu miongoni mwa waTanzania.
Binafsi nawatakia vijana na waTanzania wote sherehe njema za Christmass na heri ya mwaka mpya2026. Nawatakia matumizi mema na sahihi ya...
Magaidi ni watu ambao huwa wanaanda mashambulizi Kwa siri Kwa ajili ya kuwazuru watu au miundombinu ya serikali na hiki ndicho kilichofanywa Oct 29
OCT 29 Ilikuwa ni siku muhimu Kwa Taifa letu watu wakitimiza haki Yao ya kikatiba ya kupiga kura Ili kuchagua viongozi wao hakuna serikali yoyote...
Hapo Mkutanoni wapo Mawaziri wa Saudi Arabia na UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu)
Waziri Wa UAE: Na niruhusu niseme hili kwa Kiingereza ili uweze kuelewa ninachosema. Siku itakuja ambapo tutaona wanamgambo na magaidi wenye misimamo mikali zaidi wakitoka Ulaya, kwa sababu ya ukosefu wa kufanya...
MAPUMZIKO: Jeshi la Wanajeshi la IDF laishambulia Hezbollah Nambari 2 mjini Beirut.
Ofisi ya Waziri Mkuu yathibitisha shambulio la anga la usahihi katikati mwa Beirut linalomlenga Haytham ‘Ali Tabataba’i, aliyetambuliwa na vyombo vya habari vya Kiebrania kama mkuu wa utawala wa Hezbollah...
Baada ya Hamas kushindwa vita waliyoianzisha wao wenyewe Oct 07,2023 sasa hivi wanafuatwa popote walipo na kuuwawa na wengine waliokuwa wamebaki kwenye mahandaki
Njaa imeanza kuwatoa huko na wanaojisalimisha wanatiwa mbaroni na wanaokaidi wanaangamizwa papa kwa papo.
Sasa hivi hakuna...
Kwa yale yaliyodhihirika kufanywa na jeshi la Polisi Tanzania, kuanzia utekaji, mauaji ya maelfu ya wananchi, na Ufukiaji wa miili ya watu waliowaua;
Hatua ya kwanza, ni vema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Ulaya, Umoja wa Afrika na SADC, wakatangaza rasmi kuwa kinachoitwa...
Knesset ya Israel imepitisha kwa usomaji wa kwanza mswada unaoruhusu kunyongwa kwa wafungwa wa Kipalestina.
Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Israel (KAN), mswada huo ulipitishwa Jumatatu usiku kwa kura 39 za ndiyo na 16 za hapana.
Mswada uliopendekezwa na chama cha Jewish Power cha...
Huo ndo uhalisia Zanzibar isingekuwa ndani ya Muungano ungekuta tayari Kuna vikundi vya kigaidi vimechukua utawala
Tutakua wajinga kuwaachia ndugu zetu wanzibar wabaki bila ulinzi wa TANZANIA
Kama viongozi wao Kwa ulevi TU wa madaraka watavunja Muungano Kwa namna yoyote hatakubali ulafi wao wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.