mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Habar zenu wadau kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa inayotumia mafuta na umeme ipo sokoni inauzwa

    Kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa ipo sokon inauzwa mashine inatumia umeme na mafuta mashine pia ina kibanda cha kujikinga na jua Bei yake ni 950000 WhatsApp 0686298896 Location .dodoma
  2. JamiiForums Tanzania Ewura yatangaza bei za mafuta mwezi Aprili, Dar Petroli yapanda hadi 3,037

    Bei ya mafuta imeendelea kuongezeka kwa miezi miwili mfululizo huku kwa watumiaji wa petroli wakilazimika kuzama zaidi mfukoni. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumatano Aprili 2, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura). Bei ya mafuta ya petroIi Aprili hii...
  3. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kipelekea kufa

    Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa. Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea. Mwenye kujua tiba yake nahitaji kujulishwa tafadhali.
  4. JamiiForums Tanzania EACOP: Kwanini wasingetanua reli ya kati mpaka Uganda badala ya kuchimba bomba la Mafuta (Hoima - Tanga)??

    Eti wakuu, kwani si bora wangeirefusha reli ya kati kutoka Kigoma (au pahala pengine pa karibu zaidi) mpaka Uganda kuliko kuchimba bomba la gharama kubwa kiasi kile. Mafuta yakiisha Uganda hilo bomba litakuwa na kazi gani nyingine?? Mafuta yakiisha reli still inaweza kusafirisha watu na bidhaa...
  5. JamiiForums Tanzania Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe,

    Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe, kiwanja kina ukubwa wa sq 2500, kina hati kwa ajili ya matumizi ya kituo cha mafuta Tshs 350m. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050 nyote mnakaribishwa!!
  6. JamiiForums Tanzania Kituo cha mafuta kinauzwa Mbeya mjn

    Kituo cha mafuta kinauzwa Mbeys mjini. Kiwanja kina ukubwa wq sq 3000. Bei ni maelewano ya kati ya mnunuzi na muuzaji. Wasiliana nasi. +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!!
  7. JamiiForums Tanzania Usiogope! Unaweza Kujenga na Kumiliki Kiwanda Kidogo cha Kusafisha Mafuta Ghafi Tanga (Oil Refinery Tanga)

    Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery) mkoani Tanga si ndoto tena, bali ni fursa halisi ya uwekezaji wa kimkakati inayo kusubiri. Uwepo wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki EACOP kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga ndio kichocheo kikuu kitakachopunguza gharama za...
  8. JamiiForums Tanzania Mwekezaji wa kitanzania atumia Bilioni 5 kujenga kiwanda kiwanda cha kuchakata mafuta ya parachichi

    Mwekezaji wa Kitanzania, Josiah Mrimi, ameweka wazi changamoto alizokumbana nazo wakati wa kuanzisha kiwanda cha kuchakata mafuta ya parachichi, Murikado Food Supply, kilichopo katika kijiji cha Itulahumba, wilaya ya Wanging'ombe, mkoa wa Njombe. Akizungumza siku ya Jumatatu mbele ya Waziri wa...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga Tanzania

    Kwa wanaojua mambo watusaidie kuelewa, hili bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania mbona halifukiwi?
  10. JamiiForums Tanzania Kwa boss 300,000/= na mafuta 280,000/=

    Hizo Tata za chanika na ruti mbali mbali mkiziona tata hiyo ndo hesabu Hii hesabu naiona ni kubwa na kwa maoni yangu ni ya kinyonyaji na hii inafanya dereva alale late aamke mshale na pia inachangia mwendo kasi sana kwa haya ma TATA kama mnakumbuka kuna lile lilidondoka juu kwenye fly over
  11. JamiiForums Tanzania Mnaokamua mawese kutengeneza mafuta au miwa kutengeneza sukari chukua technology hio

    Pikipiki huwa na matumizi mengi sio kubeba abiria tu hata kufanya kazi zingine pia ikiwemo kulima. Huyu mwamba anaitumia kukamulia michikichi ili apate mafuta ya mawese. Huitaji kwenda Veta.
  12. JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa miamba eneo lenye mafuta ni dalili gani zinaonyesha chini kuna mafuta

    Habari wa wataalamu wa miamba kuna eneo lina dalili ambazo hazieleweki, naomba kwa mjuzi anae jua, sehemu inayoonyesha kuna dalili za kuchimbwa mafuta kunakuwaga na ishara gani?
  13. M

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA KUPAKA KWA AJILI YA BIASHARA

    Ni Rahisi kutumia Macro Wax, White Oil, Glycerin, Rangi na Perfume Huu ni mwongozo hatua kwa hatua wa kutengeneza mafuta ya kupaka kwa ajili ya biashara. Mafuta haya ni mazuri kwa ngozi, yanatia unyevu, na unaweza kuyaongeza rangi na harufu ili kuyafanya yawe ya kuvutia zaidi sokoni. 🔹...
  14. JamiiForums Tanzania Mafuta ya alizeti toka Singida

    Tunajihusisha na uuzaji wa mafuta ya alizeti kutoka Singida kwa bei za jumla na rejareja kwa lita 1,3,4,5 na 20.. karibuni sana kwa huduma tuwasiliane +255623140090.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mafuta ya kula yaliyotumika

    Wakuu naomba kufahamu kuhusu hii biashara nimekutana na tovuti ya kampuni ya kichina wanasafirisha haya mafuta hivyo nataka kufahamu wanaposource haya mafuta. je, inawezekana wanakusanya kwa hawa wauza chips, samaki n.k?msaada nitoe tongotongo. Katika kuperuzi nimeona mafuta haya hutumika...
  16. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli yaongeza jitihada kufungamanisha sekta ya mafuta na gesi na sekta ya elimu nchini

    Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeendelea kutekeleza programu mbalimbali zinazolenga kufungamanisha sekta ya mafuta na gesi asilia na sekta ya elimu nchini. Miongoni mwa programu hizo ni pamoja na kutoa fursa kwa wadau wa sekta ya elimu kutembelea miundombinu ya uzalishaji...
  17. JamiiForums Tanzania Zijue faida ya mafuta ya Amla

    Mafuta haya hutokana na tunda lenye asili ya India liitwalo amla. Mafuta haya yana faida nyingi mno kwa ngozi na nywele. Baadhi ya faida zake ni: 1=Hujaza nywele 2=Huzuia nywele kukatika na kuzifanya zirefuke kwa Kasi 3=Hudumisha rangi ya nywele 4=Huondoa kabisa mba na aina zote za muwasho...
  18. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata breaching earth kwa ajili ya usafishaji wa mafuta ya alizeti

    Habari za mda huu wa kuu.kichwa cha somo chahusika.Ninatarajia kufungua kiwanda kidogo kwa ajili ya usafishaji wa mafuta ya kupikia hivyo ninahitaji kemikali muhimu katika shughuli hii.Mafuta nitakayokuwa nayachqkata ni ya alizeti,mawese na mengineyo.Naamini JF ina watu wa kila nyanja katika hao...
  19. JamiiForums Tanzania Mafuta ya massage ambayo ni mazuri

    Habari, Naomba kuuliza ni mafuta gani manzuri kwa ajiri ya massage, na yanauzwa sh ngapi?
  20. JamiiForums Tanzania Kipanya: Unga bei juu, Mafuta bei juu, Dola haipatikani

    Kudadeki!! 🤣
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…