mafuta na gesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Fursa za ajira kwa wahitimu wa taaluma za mafuta na gesi Tanzania

    📢 FURSA ZA AJIRA KWA WAHITIMU WA TAALUMA ZA MAFUTA NA GESI TANZANIA 🇹🇿 EQUINOR GRADUATE PROGRAMME 2027 – NORWAY 🇳🇴 Equinor inapokea maombi ya kujiunga na programu yake ya wahitimu ya miaka miwili. Programu hii inatoa uzoefu wa kazi, mafunzo ya kitaalamu, ushauri kutoka kwa wataalamu pamoja na...
  2. JamiiForums Tanzania Usikose Kuangalia TPDC Inavyo Fanya Makubwa Sekta za Mafuta Na Gesi, Ni Leo Saa 3:40 Usiku Huu on Star TV

    Wanabodi, Kwa wale wenye muda, Usikose Kuangalia TPDC Inavyo Fanya Makubwa Sekta za Mafuta Na Gesi, Ni Leo Saa 3:40 Usiku Huu on Star TV。 https://youtu.be/iA-uAh2h9pI?si=IbWxfD0aomZ27Tzl Kwa ambao hampata muda wa kuangalia, links hapa https://youtu.be/xhpSZds-Ydw Karibu Mzee Pasco Rejea za...
  3. JamiiForums Tanzania Live kutoka Peackock Hotel: Kikao Kazi Kati ya Wizara ya Nishati, TBPA, TPDC na Jukwaa la Wahariri, TEF, Kujadili Sekta ya Mafuta na Gesi .

    Wanabodi, Jumapili ya leo, niko hapa ukumbi wa hotel ya Peackock jijini Dar es Salaam, kuwaripotia live, Kikao Kazi Kati ya Wizara ya Nishati, TBPA, TPDC na Jukwaa la Wahariri, TEF, Kujadili Sekta ya Mafuta na Gesi nchini Tanzania. Karibuni kupitia Mwanahalisi...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Samia alikwenda Urusi na hakuzungumzia ishu ya mafuta na gesi basi tumepigwa!!

    Nilitegemea Ziara yake huko Russia na kujadili pia masuala ya mafuta!! Sote tunafahamu hali ya mafuta ni mbaya sana, na Urusi wana mafuta mengi tu mamilioni ya mapipa kiasi kwamba hawajui hata wayapeleke wapi Nilijua alivyoenda huko angesaini madili ya kuagiza mafuta Urusi ili bei ishuke au...
  5. JamiiForums Tanzania Mafuta na gesi yakiisha Mashariki ya Kati tutaishije ?

    Mzuka wana jamvi ? Nimewaza tu kwani sasa Dunia nzima inasikitika kisa kaeneo kidogo masgariki ya kati kutokea mgogoro na flow ya energy kuwa disturbed . Sasa imagine mafuta yaishe kabisa huko au Waarabu wagome kuyaauza si tutarudi stone age ? Ina Waarabu na makobaz ndio wanaamua dunia tulie...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika wanajifunza nini kupitia janga la Hormuz?

    Hawa viongozi wa Africa mimi binafsi nikiwatathimini na kuwatafakari utafikiri hawana Elimu na Hekima. Tuanze na hili Mseven kupitia Uganda amegundua mafuta ila mpaka leo plan yake kuyasafirisha mafuta kupeleka Ulaya yakasafishwe halafu hayo hayo mafuta atayanunua kuyaleta Uganda huu ni UPUUZI...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi akutana na Balozi wa Oman, wajadili masuala ya mafuta na gesi

    Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Mhe. Saud Al-Shidhani yaliyolenga kuimarisha na kuendeleza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika sekta ya nishati. Mazungumzo hayo yamefanyika leo, tarehe 17 Februari 2026, katika Ofisi...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Bandari ya Tanga kuwa bohari ya mafuta na gesi, hatua ambayo inatarajiwa kuzalisha ajira mpya 2,100

    Wakuu! Namuonea sana huruma Samia na hizi ahaadi zake! Naona anavyoendelea kujichimbia shimo refu sana kwa wananchi. Na sioni kama atafanikiwa kutekeleza hata kwa asilimia 20. Mimi nipo siti ya mbele nasubiri kuona :cool: ================== Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna kipengele kigumu kama kumkagua mwekezaji wa mafuta na gesi kama amerudisha fedha alizowekeza katika mradi

    Hakuna Kipengele Kigumu Kama Kumkagua Mwekezaji wa Mafuta na Gesi Kama Amerudisha Fedha Alizowekeza Katika Mkataba wa Production Sharing Agreement Zidi ya Serikali Katika sekta ya mafuta na gesi, mikataba mbalimbali hutumika kuweka misingi ya ushirikiano kati ya serikali na makampuni ya...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko alitaka shirika la maendeleo ya petroli kuongeza kasi ya uendelezaji vitalu vya mafuta na gesi asilia

    📌 Asema lengo ni kuendelea kuwa na uhakika wa usalama wa nishati nchini 📌 Azindua Mkakati wa Kwanza wa Muda mrefu wa Shirika (2025-2050) 📌 Asisitiza Jamii zinazozunguka miradi ya Mafuta na Gesi Asilia kutopuuzwa 📌 Apongeza Bodi na Menejimenti ya TPDC kwa kuipambanua Tanzania kama kitovu cha...
  11. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli yaongeza jitihada kufungamanisha sekta ya mafuta na gesi na sekta ya elimu nchini

    Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeendelea kutekeleza programu mbalimbali zinazolenga kufungamanisha sekta ya mafuta na gesi asilia na sekta ya elimu nchini. Miongoni mwa programu hizo ni pamoja na kutoa fursa kwa wadau wa sekta ya elimu kutembelea miundombinu ya uzalishaji...
  12. JamiiForums Tanzania Taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibijaki katika rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) yatoa mafunzo matumizi ya takwimu

    Taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibijaki katika rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) imetoa mafunzo maalum ya kuelimisha wananchi wasioona kuhusu ripoti na matumizi ya takwimu zinazotolewa na taasisi hiyo ili kuweza kuhoji na kufahamu mchango wa rasilimali hizo na fursa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza tangu ipate Uhuru, Senegal imeanza kuzalisha na kusambaza mafuta yake yenyewe! Tani 90,000 zazalishwa

    Wakuu, Kwa mara ya kwanza tangu ipate uhuru Senegal imeanza kusafisha mafuta ghafi ambayo yanazalishwa ndani ya nchi, ikifungua mlango mpya katika sekta ya nishati. Kampuni ya African Refinery Company (SAR), ambayo imekuwa ikifanya kazi tangu 1961, ilitangaza Alhamisi kuwa imefanikiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Rasmi, Nigeria yatangaza kuuza mafuta yake kwa kutumia sarafu yake ya Naira badala ya Dola Marekani

    Nigeria, nchi tajiri kwa mafuta na gesi barani Afrika, imetangaza pia kuwa itaanza kuuza mafuta ghafi kwa sarafu ya ndani badala ya dola ya Marekani, ambayo bado inatumika sana katika biashara za kimataifa za bidhaa. Tangazo hili la hivi karibuni linakuja baada ya nchi kadhaa kuanza kuuza...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali imepata Tsh. Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 za Sekta ya Madini, Mafuta na Gesi

    Serikali imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 zilizolinganishwa katika sekta ya madini, mafuta na gesi ikiwa na tofauti ya kati ya malipo na mapato ya shilingi milioni 402.41 kwa mwaka kwa mwaka wa fedha 2021/22. Hayo yamebainishwa na Waziri wa wa Madini Anthony...
  16. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kufufua Tanzania International Petroleum Refinery (Tiper)?

    Uagizaji mafuta toka nje unaigharimu nchi yetu mabilioni ya fedha kila mwaka hivyo kudidimiza thamani ya fedha yetu na uchumi Kwa ujumla. TIPER-Tanzania International Petroleum Refinery ni kampuni ilioundwa mahsusi Kwa ajili ya kusafisha mafuta ghafi. Mitambo ya thamani kubwa ilinunuliwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Senegal: Serikali yaunda Tume ya kupitia upya Mikataba ya Mafuta na Gesi

    Tume hiyo Maalumu imeundwa na Waziri Mkuu, Ousmane Sonko na imepewa jukumu la kupitia upya Mikataba yote ambayo Serikali zilizopita zilisaini na Kampuni za Kimataifa. Timu ya Wajumbe inaundwa na Wataalamu wa Masuala ya Kodi, Sheria na Nishati ambapo jukumu lingine walilopewa ni kuhakiki...
  18. JamiiForums Tanzania Ufadhili wa Kozi za Mafuta na Gesi kwa wanafunzi wa Kitanzania 2024

  19. JamiiForums Tanzania Ufahamu kwenye bajeti hii ya 2024/25 kuhusu mafuta ya petroli kwa Pendekezo la waziri katika hotuba yake bungeni

    Wadau, picha yajieleza hapo!! Hofu yangu ni moja na pengine watanzania naomba mnifafanulie. Kukiwa na punguzo la bei ya mafuta ya petroli sokoni bei isishuke bali ibaki kama hapo awali? Kwa tafsri hiyo ni kwamba sheria ikiwekwa kama bei ni 3000tsh kwa lita hata ikishuka sokoni na kustahili kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara nimewanyooshea mikono, kituo cha kujazia gesi Airport chafurika na foleni

    Kituo hiki cha kujazia gesi cha kampuni binafsi kilizinduliwa mwaka jana mwishoni na Naibu waziri mkuu, Dotto Biteko. Wakati wanaanza kilikuwa hakina magari mengi yanayojaza gesi na kuna kipindi huoni kabisa gari pamoja na pampu nyingi walizizonazo, pia kituo kina karakana ya kuweka mfumo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…