maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Bomoa bomoa Kimara Mwisho-Bonyokwa zimeanza tena

    Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara. Barabara tunaipenda ila ni walipe...
  2. Kanali Laban awahimiza Watanzania kuwekeza katika maeneo ya Malikale

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas amewahimiza Watanzania na wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kuwekeza katika maeneo ya Malikale ambazo zimetunza historia maridhawa ya nchi yetu, Aliyasema hayo leo tarehe 27.02.2024 katika Kilele cha Tamasha la Kumbukizi ya Mashujaa wa Vita vya...
  3. Ajifungua na kutupa kichanga maeneo ya Shule

    MWANAMKE ambaye hajafahamika jina lake na anayedaiwa kuwa ana ulemavu wa akili, amejifungua mtoto mchanga kisha kumtupa kwenye eneo la shule ya msingi Msali "A" iliyopo kijiji cha Ngararambe kata ya Nyakahura wilayani Biharamulo mkoani Kagera, huku baba wa mtoto huyo akiwa hajulikani...
  4. Ubovu wa barabara za mitaani maeneo mbali mbali

    Barabara za mitaani maeneo mbali mbali zimeharibika sana. Sasa hivi ukitaka kutoka kwenda kwenye shughuli za kila siku, mwenye gari unaaza kulihurumia linakopita kabla ya kufika kwenye barabara yenye unafuu. Kwa nilikopita nikichukulia mfano Dar es Salaam ukitoka barabara kuu maeneo mengi yako...
  5. Naona Barabara ya Sam Nujoma maeneo Mlimani City imeanza kufumuliwa, ni BRT phase 5?

    Kama ndivyo, nashauri BRT ya Mbagala kutokea Gerezani na kutokea Magomeni zianze kazi mara moja. Hakuna maana kukamilisha mradi halafu mnasubiri wiki 2 kabla ya uchaguzi ndio mnazindua, huo ni usanii. Sikupiga picha.
  6. DAWASA: Changamoto ya Umeme Mdogo imesababisha baadhi ya maeneo ya Dar kukosa Maji, maboresho yanaendelea

    Mamlaka ya Majisafi na Uhifadhi wa Mazingira (DAWASA), imesema inaendelea kufanya maboresho katika maeneo yenye Changamoto ya kukosa Maji katika Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na maeneo ya Segerea. Taarifa iliyotolewa na Everlasting Lyaro ambaye ni Afisa wa Mamlaka hiyo aliyezungumza na...
  7. J

    Bashungwa aiagiza TANROADS kufanya tathmini ya maeneo yanayoathiriwa na mvua mara kwa mara

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaelekeza Mameneja wa TANROADS nchi nzima kuhakikisha wanabainisha na kufanya upembuzi yakinifu kwa maeneo yote ambayo yamekuwa yakiathiriwa na mvua mara kwa mara ili Serikali iweze kuyatafutia suluhisho la kudumu kwa pamoja. Agizo hilo limetolewa na...
  8. Baadhi ya maeneo ya Nairobi kukosa maji kwa siku mbili

    Baadhi ya maeneo ya Mji wa Nairobi yanatarajiwa kukosa maji siku ya Jumatano na Alhamisi kutokana na kufungwa kwa bomba la maji kutoka Bwawa la Gigiri kwenda Bwawa la Karura - Barabara ya Outer Ring. Katika taarifa iliyotolewa Jumatatu, Kampuni ya Maji na Usafi wa Jiji la Nairobi ilisema bomba...
  9. Watu wenye maeneo au viwanja huwa wana maringo, nyodo na dharau

    Watu wenye maeneo, wanapoamua kuuza, au unapoamua kutafuta kiwanja, yaani wanao miliki viwanja au maeneo huwa wanaringa sana, wanapotaja pesa utadhani wanataja majani au kitu kilicho rahisi sana. Kukipata! Wanaongea kwa kujiamini, lipa nusunusu utamalizia hiyo milioni 2, 3 au 4 utamalizia Baada...
  10. Yanayojiri ziara za Ndugu Paul Makonda maeneo mbalimbali nchini

    Karibu! Katika uzi huu tujadili yanayojiri moja kwa moja ziara za Muenezi Taifa Ndugu Paul Makonda. Tuanze na Makambako alipokuwepo siku ya jana 09 /02/2024.
  11. B

    Ridhiwani Kikwete: Serikali kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuibua miradi ya tasaf itakayoondoa changamoto zilizopo

    Serikali imesema miradi yote inayotekelezwa na TASAF (Mpango wa kunusuru kaya maskini) huibuliwa na jamii kwa kutumia utaratibu shirikishi unaohusisha na jamii yote na kwamba serikali itaendelea kutoa elimu kwa jamii nzima nchini kuhakikisha inaibua miradi inayotatua changamoto zao katika maeneo...
  12. Watanzania wahimizwa kuwekeza kwenye viwanda vya maziwa kulingana na malighafi zilizopo katika maeneo yao

    Serikali imetoa wito kwa Watanzania kuwekeza zaidi katika viwanda vya maziwa nchini kutokana na kutolewa kwa kodi nyingi katika viwanda vya bidhaa hiyo pamoja na kuwepo kwa soko la ndani na nje ya nchi. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe Februari 7, 2024...
  13. Hivi imeshindikana kabisa kuwa na maeneo maalumu ya kuegesha Malori badala ya pembeni ya Barabara?

    Moja kati ya sababu za ajali za kila wakati katika Barabara kuu nchi hii ni Malori yanayoegeshwa bila utaratibu maalum kwenye Barabara za pembeni ambazo mara nyingi hutumika na waenda kwa miguu, dharura za hapa na pale. Lakini cha ajabu ni kama suala hilo linakuwa kawaida na linaachwa liendelee...
  14. T

    Kwanini maeneo ya jeshi kama Lugalo na External kumejengwa bar na frame nyingi sana?

    Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame. Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi. Swali, je, jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu...
  15. B

    Pentagon ya Marekani yaanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Syria, Iraq baada ya vifo vya wanajeshi

    PENTAGON : MAREKANI YAANZA MASHAMBULUZI YA KULIPA KISASI KWA KUPIGA NGOME ZA VIBARAKA WA IRAN NCHINI IRAQ NA SYRIA. SPECIAL REPORT https://m.youtube.com/watch?v=ckOSPG_A8AI Marekani yashambulia mgambo vikaragosi vya Iran ambao walishambulia ngome ya askari wa Marekani nchini Jordan na...
  16. Serikali za miji zingekataza kufuga maeneo ya miji na majiji.

    Nimeona mdau mmoja analalamika kero ya jirani yake anayefuga ng'ombe. Kwa nini serikali za miji hazikatazi kufuga maeneo ya mjini, badala yake wanakataza kulima mahindi na alizeti, vitu visivyo na madhara yoyote kwa mji? Huwa tunawaza kinyume nyume sana. Binadamu alianza kusumbuliwa sana na...
  17. Sheria mojawapo ya Maskini inasema: Usionyeshe wala usi-post Mafanikio yako

    SHERIA MOJAWAPO YA MASKINI INASEMA: USIONYESHE WALA USI-POST MAFANIKIO YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna maskini na umaskini wake. Alafu kuna tajiri na utajiri wake. Umaskini na maskini wanasheria na kanuni zao. Matajiri na utajiri wanasheria na kanuni zao. Wapo maskini wa aina...
  18. Bashungwa Aitaka TANROADS Kupanda na Kuhudumia Miti Katika Maeneo ya Barabara

    BASHUNGWA AITAKA TANROADS KUPANDA NA KUHUDUMIA MITI KATIKA MAENEO YA BARABARA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kupanda na kuhudumia miti iliyopandwa katika maeneo ya barabara kwa ajili ya kuendelea kupendezesha miji na kutunza mazingira ili...
  19. J

    Bashungwa aitaka TANROADS kupanda na kuhudumia miti katika maeneo ya barabara

    BASHUNGWA AITAKA TANROADS KUPANDA NA KUHUDUMIA MITI KATIKA MAENEO YA BARABARA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kupanda na kuhudumia miti iliyopandwa katika maeneo ya barabara kwa ajili ya kuendelea kupendezesha miji na kutunza mazingira ili...
  20. Vibali vya ujenzi kwenye maeneo ya squatter

    Habari Wanasheria mlioko humu, Mimi nilijenga nyumba yangu maeneo yasiyo rasmi ( squatter) tangu mwaka 2014 na kuhamia , kipindi hicho hakuna barabara , umeme Wala maji. Wanacnchi tulijichanga wenyewe na KULETA huduma MBALIMBALI kama vile barabara , maji na umeme na kipindi chote hicho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…