maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Je ni sawa mradi wa maendeleo unapokamilika kusubiria uzinduliwe ndio utumike?

    Miradi mingi inapokamilika husubiria kiongozi flani kuzinduliwa ,sawa ni jambo sahihi kuweka alama ya kumbukumbu ya kihistoria lakini sioni kama ni sahihi kuzuia huduma kwani ni kukosa maana sahihi ya malengo mahsusi ya MRADI. JE wewe ipi mbongo yako juu ya hili
  2. Y

    Ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar e

    Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
  3. R

    Mwaka 2023 bilioni 102 ziliidhinishwa kupelekwa kujenga chuo cha kilimo cha Mwalimu Nyerere, Wamefikia wapi ?

    Shilingi Bilioni 102 ziliidhinishwa 2023 kwajili ya ujenzi mkubwa wa chuo cha kilimo cha Mwalimu Nyerere Butiama. Awali chuo hicho kilianziswa 2010 lakini hakikuwahi kudahili wanafunzi, ndipo likawekwa pendekezo la kukijenga vizuri. Kuna kinachoendelea ?
  4. Taifa linalodharau elimu ya juu haliwezi kupata maendeleo.

    Kwa miaka ya karibuni zimesikika kauli mbali mbali kutoka kwa viongozi wa serikali juu ya wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania kwamba elimu yetu ni ya kukariri, elimu yetu inazalisha graduates wasioendana na soko la ajira, na baadae tukasikia wahitimu wajiajiri. Bado haikutosha, tukasikia hivi...
  5. Nimekumbana na matusi ya kufa mtu kutoka kwa GenZ kisa nimehoji uhakiki wa "maendeleo" anayofanya Ibrahim Traore

    Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi wengine huganda kwenye uongozi na kuharibu nchi mpaka unatamani tu hata jeshi lichukue nchi, tuje...
  6. PreGE2025 Makalla: Wanaobeza maendeleo ya Dar es salaam hawajui tulikotoka

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla akizungumza na wakazi wa Temeke Aprili 30.2025 amewashukia wale wote wanaobeza maendeleo ya jiji la Dar es Salaam, kwa kusema kuwa watu hao hawajui historia ya jiji hilo na hatua ya kimaendelea iliyopigwa kuanzia kipindi cha...
  7. PreGE2025 Kiliba: Kuna watu wakikusikia unamtaja rais samia wanakereka, yeye ndiye anayetuletea maendeleo

    Kuna watu wakikusikia unamtaja rais samia wanakereka, hakuna namna yeye ndiye anayetuletea maendeleo katika taifa letu" - Kiliba, Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe.
  8. PreGE2025 Wananchi wa Bwiregi wampongeza Sagini kwa Sh Bilioni 1.5 iliyotumika kwenye miradi ya maendeleo

    Wananchi wa Kata ya Bwiregi wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini kwa kufanikisha Bilioni 1.5 ambayo ilitumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo. Akizungumza kwenye mkutano na wajumbe wa CCM na wananchi katika Ziara ya Mbunge kwenye...
  9. R

    Eti, Pana maendeleo yawezayo kupatikana nje ya sanduku la kura?

    Salaam! Maendeleo ni kupiga hatua moja ndogo kwenda hatua ya juu Bora zaidi, sasa tujiulize, Sanduku la kura likinajisiwa, akaingia kiongozi Mkuu asiyetokana na ridhaa ya wananchi, Nini kitatokea? Wabunge wakiingia kwa kunajisi sanduku la kura, wapate wapi mawazo na hoja za wananchi ikiwa...
  10. Ni maendeleo au Huduma ?

    Mjadala kuhusu maendeleo ni mtambuka sana. Watu wamegawanyika juu ya dhana hii, wapo wanaodhani maendeleo ni upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile hospitali, barabara, umeme, elimu nk inatosha kuwa kipimo cha maendeleo (maendeleo ya vitu). Wapo pia wanaodhani maendeleo uwezo wa watu...
  11. M

    Maswa:Kiongozi anayeingilia majukumu ya Walipafedha ni adui wa Maendeleo.

    Katika nchi inayohitaji maendeleo ya haraka kama Tanzania, kila sekunde ya ufanisi ni hazina, na kila senti ya umma ni dhamana ya kizazi kijacho. Walipafedha wa taasisi za serikali wamewekwa kwa dhima ya kuhakikisha rasilimali hizi zinasimamiwa kwa weledi, kwa mujibu wa sheria. Lakini leo...
  12. H

    Jinsi ukristo ulivyochangia kurudisha nyuma maendeleo ya Afrika?

    Kwa hivyo hii ina uhusiano gani na Ukristo barani Afrika? Wamishonari wa kwanza wa Kikristo barani Afrika walikuwa na silaha na vitu vitatu BUNDUKI yenye nguvu ya mabwana wa wakoloni ,muujiza wa DAWA za kisasa (wakati huo) na BIBLIA. Wamishonari wengi wa kwanza walikuja kama madaktari na...
  13. Bollywood yawachonganisha waislamu na mabaniani huko India.Wanataka kuifuta historia iliyoandikwa na waislamu iliyoiletea maendeleo taifa hilo

    Dini ya uislamu katika usasa wake iliingia bara hindi punde tu baada ya utume wa Muhammad saw.Hiyo ilikuwa ni karne ya 7.Baada ya hapo wakaingia waislamu kwa makundi kutokana na sababu mbali mbali. Waislamu walivutiwa mno na tamaduni za watu wa eneo hilo kuanzia dini zao na aina ya...
  14. U

    Endeleeni kuota maendeleo enyi wadanganyika

    So long tumeamua kuwa watu wenye akili katika nchi are not fit for the office, na kila wakijitokeza,wote rulling party na opposition tunaungana kuwapiga vita. Basi tuendelee kukaa kwa kutulia. Kwa kifupi Wajinga Nchi hii wamefanikiwa kuwathibiti werevu.
  15. PreGE2025 Majaliwa: Zawadi pekee ya kuwalipa Rais Samia na Rais Mwinyi kwa maendeleo waliyoyaleta kwenye michezo ni "mitano tena"

    https://www.youtube.com/live/2AL9sZGpSbA Ufunguzi wa kikao kazi cha Mafunzo na Mazingativu cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bara, mgeni rasmi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (MB). Ufunguzi huo unafanyika kwenye Ukumbi wa...
  16. Leo tarehe 22 ndo tunapumzisha ndugu yetu Justin Kimodoi kwao bukoba Buyekera, pumzika salama mdau mkubwa wa maendeleo Kagera

    Ratiba ya mazishi
  17. S

    Tetesi: umuhimu wa mfumu huru shirikishi baina ya serikali na wasomi kwa maendeleo ya taifa

    Kujenga Taifa kwa Ushirikiano: Umuhimu wa Mfumo Shirikishi kati ya Wasomi na Viongozi wa Serikali Utangulizi Katika karne ya 21, maendeleo ya taifa hayategemei nguvu kazi pekee, bali yanahitaji mwelekeo wa kitaalamu, sera thabiti, na matumizi ya maarifa ya kisasa. Taifa x linakumbwa na...
  18. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) Ndugu Solomon O. Kimilike, Msalaba Mzito kwa Maendeleo ya Halmashauri yetu ya Ngara

    Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
  19. Mukhtasari wa Ripoti Ya CAG Kuhusu Ukaguzi Wa Miradi Ya Maendeleo Kwa Mwaka 2023/2024

    RIPOTI YA JUMLA YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI JUMLA KUHUSU UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Taarifa hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Mashirika ya Umma nchini Tanzania kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe...
  20. N

    CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ninapenda kuzungumzia kipengele kimoja kilichonivutia zaidi katika Ilani ya mwaka 2020-2025 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Sura ya 16, Kifungu namba 16.1 Kipengele b (Ukurasa wa 95) ambacho kinasema: "Katika kutimiza azma ya kujiendeleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…