maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dira ya Maendeleo 2050: Tanzania Kuelekea Taifa Jumuishi, lenye Ustawi na Kujitegemea

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amesema pamoja na mambo mengine, dira mpya ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 utaijenga Tanzania kuwa Taifa jumuishi lenye ustawi, haki na linalojitegemea. Katika kufikia huko, Waziri Kitila wakati wakati wa Uzinduzi...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishwa kutoka kwenye ualimu nikaenda ustawi wa jamii?

    Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya Wasaini Makubaliano Kuendeleza Maendeleo Endelevu Zanzibar

    Umoja wa Ulaya (EU) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wamesaini makubaliano mawili muhimu yanayolenga kukuza maendeleo endelevu, uhifadhi wa bahari, na usawa wa kijinsia. Makubaliano hayo yalisainiwa mbele ya Riziki Pembe Juma, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto; Rita...
  4. JamiiForums Tanzania CCM adui wa demokrasia na maendeleo yake

    Kutokukubaliana na maamuzi ya wananchi ya kumchagua kiongozi wanayemtaka ni sawa na kuzuia maendeleo. Wagombea wanapojinadi, wananchi hupata nafasi kubwa ya kuchagua kiongozi wanayeamini ataleta maendeleo. Hata hivyo, CCM mara nyingi huonyesha utayari wa kupinga maamuzi ya wananchi kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Idadi ya Vifo vya kina mama wakati wa kujifungua ni picha ya maendeleo

    Nchi 20 zenye idadi ndogo ya vifo vya kina mama wakati wakujifungua Africa (2020), pia inaitwa maternal mortality rate (MMR) ni njia nyingine ya kupima maendeleo ya nchi. Namba baada ya jina la nchi ni Idadi hii ni ya Vifo vilivyotokea kati ya kila wanawake laki mmoja waliojifungua salama mwaka...
  6. JamiiForums Tanzania Idadi ya Vito vya kina mama wakati wakujifungua picha ya maendeleo

    Nchi 20 zenye idadi ndogo ya vifo vya kina mama wakati wakujifungua Africa (2020), pia inaitwa maternal mortality rate (MMR) ni njia nyingine ya kupima maendeleo ya nchi. Namba baada ya jina la nchi ni Idadi hii ni ya Vifo vilivyotokea kati ya kila wanawake laki mmoja waliojifungua salama mwaka...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Lini CCM watatambua kuwa na upinzani imara nchini, Bungeni na katika serikali za mitaa, ndio chachu itakayoleta kasi ya maendeleo ya Tanzania?

    Kuna kufikiri ambako nakuona hakupo sawa ndani ya CCM, kuanzia raisi Samia kama mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Spika wa Bunge, mawaziri, wakuu wa mikoa nk, yaani uongozi wote wa nchi ulio chini ya chama tawala cha CCM. Hivi ni lini watarudiwa na akili na kutambua kwamba kuwa na upinzani...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkumbo: Tumekusanya maoni ya vyama vyote vya Siasa Dira ya Taifa ya maendeleo 2050

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo akizungumza katika mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uliofanyika katika Hoteli ya Serena Ijumaa, mkoani Dar es Salaam tarehe 6 Disemba 2024, amesema: "Tumekusanya vilevile...
  9. JamiiForums Tanzania Hii Simba SC inapikwa nyiee! Fadlu Davids: Tulikipata kikosi tukiwa hata siyo sifuri, bali hasi -5. Haya ni 'Maendeleo'

    Miezi mitatu iliyopita, Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, aliweka wazi kuwa kikosi chake hakikuwa kimefikia kiwango cha ushindani asilimia 100. Alipoulizwa hivi karibuni kuhusu maendeleo ya timu kwa neno moja, jibu lake lilikuwa "MAENDELEO." Akizungumza kwa kina, Davids amesema: "Tulikipata...
  10. JamiiForums Tanzania Ile kauli ya Hayati Magufuli ya kwamba wapinzani wanachelewesha maendeleo ni ya kweli kabisa

    Sijui Hayati Magufuli niseme ni nabii au aliona mbali hadi kutamka kauli ile, maanake mm binafsi nimekuja sasa kujua kuwa hawa jamaa ni watu wa ajabu sana kila kitu wanapinga na hata wamefika mbali kuzusha uongo ili mradi tu wazusshe taharuki katika jamii Embu fikiria jana train yetu pendwa ya...
  11. JamiiForums Tanzania UCCM hufubaza na kuchakaza maendeleo wanayoleta wenyewe

    Imekuwapo miradi mingi inayoanzishwa kama strategic kufikia dira ya Taifa 2025 pia Malengo ya kidunia 2030 lakini inashindikana kuwepo kwa muendelezo mzuri wa usimamiaji wa hiyo miradi kutokana na Nepotism/udugu/umimi(UCCM). Kuna matukio mengi ya kuhujumu rasilimali za Taifa,miundombinu na...
  12. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuandaa sera za matumizi ya Akili Mnemba (AI) kwa maendeleo ya elimu nchini

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeanza kutengeneza sera na miongozo ya matumizi ya teknolojia ya akili mnemba ili kuhakikisha teknolojia hiyo inatumika kwa faida. Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Lugano Kusiluka, amesema hayo leo Jumatano, Desemba 4, 2024, wakati wa kongamano la 15 la...
  13. JamiiForums Tanzania Je, tumekuwa Rwanda kwa kutafuta vyeo vya kimataifa kama ni miradi ya maendeleo?

    Nchi ndogo kama Rwanda mikakati yake kutafuta maendeleo inaweza hata kumstaajabisha mtu. Unakuta wako kila umoja wa ushirikiano lakini ni kwa ajili ya vigogo wao kupata ulaji. Wasipopata mambo yanakua sio mazuri. Hebu fikiri, wapo commonwealth, na ufaransa ilipowafuatilia ili warudi umoja wa...
  14. JamiiForums Tanzania Ipo Jamii ya rika fulani ambayo huwa ni kikwazo kweli kwa maendeleo ya generation ya nyakati hizi

    YANGA YAMUANGUKIA MZEE MAGOMA Kufuatia matokeo mabovu inayoyapata kwa siku za hivi karibuni Klabu ya Yanga kupitia kwa rais wake Eng:Hersi imeamua kumpigia goti mzee Magoma ili kumaliza tofauti zao Ikumbukwe mara kadhaa mzee Magoma amekuwa akiuita uongozi wa Yanga kukaa nae chini lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Wabunge Wanawake Zanzibar Wapongeza Miradi Mikubwa Ilivyoleta Maendeleo Zanzibar

    Wabunge wa Umoja wa Wanawake (UWT) Zanzibar (Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum) tarehe 28 Novemba, 2024 wameanza ziara rasmi kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Rais, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Katika ziara yao, Wabunge Wanawake...
  16. JamiiForums Tanzania Shughuli za maendeleo za serikali ya Rais Samia ni short-term na hazilengi kukuza uchumi wa nchi

    Wanabodi, Tofauti na muonekano wa wengi, nina dhubutu kusema kwamba miradi ya kimkakati ya serikali, ina mchango mdogo sana kwenye kukuza uchumi wa nchi na kuleta maendeleo ya kudumu. Sio jambo ngeni Kwa nchi ya Tanzania kuhusishwa na umasikini duniani na kwasababu hiyo ni vyema kwa jambo hili...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzia: Afisa Maendeleo ya Jamiii Ilala Bi Rhoda Mwanyangala apata ajali na Kufariki

    Jioni ya Tarehe 25/11/2024 imetuletea simanzi mara baada ya Mtumishi huyu Mwema atisa Maendeleo ya Jamiii Segerea Rhoda Mwanyangala kuaga dunia. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Luguruni akiwa kwenye bodaboda kurejea Nyumbani kwake mara baada ya Gari lililobeba wanafunzi kufeli break muda ambao...
  18. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Kagera, Fatma Mwassa atembelea vituo vya kura kuangalia maendeleo

    Mkuu wa mkoa wa Kagera Khajati Fatma Mwassa akiwa kituo cha kilima hewa kata Kashai akiangalia namna wanavyoendelea kujitokeza kwa wingi kupiga kura .Pia ametumia fursa hiyo kuwaomba wananchi kuendelea kujitokeza katika vituo vilivyopo katika maeneo yao kupiga kura Pia soma > LIVE - LGE2024 -...
  19. JamiiForums Tanzania Hitimisho la Uchunguzi: Jiografia kama Sababu Kuu ya Kudumaa kwa Maendeleo ya Afrika (tumtue kidogo mkoloni mzigo wa lawama)

    Kwa yoyote ambaye amekuwa akifuatilia makala zangu za hivi karibuni, bila shaka ameona kwamba nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu sababu za kudumaa kwa maendeleo ya bara letu. Ingawa ukoloni mara nyingi hupewa lawama kubwa, uchambuzi yakinifu wa kihistoria na kijamii unaonyesha kwamba hata bila...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu: Maendeleo haya Chama, wekezeni katika kiongozi bora

    Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu , amewataka wananchi wa Kijiji cha Katanda, Kata ya ML. Magharibi, Jimbo la Tunduru Kaskazini, mkoani Ruvuma, kuzingatia vigezo vya uongozi bora badala ya kushikilia itikadi za vyama vya siasa wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ado ametoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…