maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kutokana na maendeleo ya Technology ni muda muafaka wa makanisa kuendana na wakati

    Habari za muda huu wakuu, Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kumekua na utaratibu wetu wa kufuata taratibu na kalenda ya kanisa inavyotaka, ni kitu kizuri sana, lakini naona kuna haja ya kuendana na mabadilko ya technology ilikua kuokoa muda Mfano 1)...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya koo / makabila ni ngumu kupata maendeleo kwa sababu ya hizi tabia

    Mtu katoboa kwenye familia, watu wanarundikana kumuomba pesa tena kwajili ya matumizi badala ya mitaji, kukodi mashamba, n.k. Ndio hawa virusi wanafika miaka 40 bado wanaomba pesa, ukiwanyima unatangazwa ukoo mzima unaanza kushambuliwa huwapi pesa ndugu zako, yani wanachojua ni matumizi tu na...
  3. JamiiForums Tanzania Ukishinda Urais, vitu gani vitano utafanya katika utendaji wako?

    Ndio umeshinda urais wa awamu ya saba. Ni vitu gani vi-5 utaviondoa au kuvifanyia reformation ili utendaji wako na maendeleo ya wananchi viwe thabiti. Karibuni wakuu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Rorya, Jafari Chege amewawetaka wananchi wa Kata hizo kutambua dira ya maendeleo tangu walipokuwa, walipo sasa na wanakoelekea

    Akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Kata 3 za Nyamagaro kyang'asaro na Nyamtinga, Mbunge wa Jimbo la Rorya, Jafari Chege amewawetaka wananchi wa Kata hizo kutambua dira ya maendeleo tangu walipokuwa, walipo sasa na wanakoelekea. Chege ameendelea kuwapa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

    kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri mkuu: Mpango wetu CCM ni kuhakikisha wagombea wetu watakapopita kwenye maeneo yetu wasipate kazi kubwa kueleza miradi ya maendeleo

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwa ni mgeni rasmi kwenye mkutano Mkuu Maalum Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Itilima, mkoani Simiyu Februari 15, 2025 amesema mpango wa Chama hicho ni kuhakikisha kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njalu Silanga, Mbunge Itilima: Serikali imepeleka bilioni 85 kwa ajili ya miradi ya maendeleo Itilima, Simiyu

    Mbunge wa Jimbo la Itilima, Njalu Daudi Silanga, ameweka wazi mafanikio makubwa ya maendeleo katika wilaya hiyo, akieleza kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeleta shilingi bilioni 85 kwa ajili ya miradi mbalimbali. Akizungumza kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu waziri maji: Ukituma mbunge anayekubalika kwa mawaziri miradi ya maendeleo itajazana jimboni kwako

    Naibu waziri wa maji Andrea Methew amesema baada ya Njalu Silanga kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa wabunge wa CCM mkoa wa Simiyu ambapo utendaji wake ulipelekea Rais Samia kuridhia kutoa bilioni 440 kwa ajili ya mradi wa maji kutoka ziwa Victoria huku akisema ndani ya jimbo hilo upatikanaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Ruvuma: Dkt. Ndumbaro hana deni jimbo la Songea mjini utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas,amemsifu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Dk Damas Ndumbaro kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo katika jimbo hilo. Kanali Abbas ametoa kauli hiyo mbele ya wananchi wa Kata ya Subira, Manispaa ya Songea...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Kigoma afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo, asema barabara za vumbi zitasahaulika kuelekea Tabora

    Serikali mkoani Kigoma imeahidi kuendelea kusimamia kwa ufanisi miradi yote ya Maendeleo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora kama ilivyopangwa sambamba na kutosita kuchukua hatua kwa mkandarasi yeyote atakayekiuka makubaliano ya mkataba na kukwamisha miradi hiyo. Kauli hiyo imetolewa...
  11. JamiiForums Tanzania Madaraja, mabarabara ya lami si maendeleo. Magufuli hakufanya maendeo yoyote kwenye utawala wake

    Ukifika nchi zilizoendelea huwezi kuona watu wanazungumzia mabarabara , ma fly over au ujenzi wa zahanati kama ishara ya maendeleo. Hivyo vitu ni lazima kuwepo. Yaani ni sharti serikali itumie kodi kujenga barabara, miundombinu ya afya na elimu bora. Maendeleo ni kama yale yanayofanywa na Rais...
  12. JamiiForums Tanzania DKT. Mwigulu Nchemba: Kiongozi mwadilifu na nguzo ya maendeleo ya taifa

    Tangu kuteuliwa kwake kama Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameendelea kuonesha uadilifu, uthabiti na umahiri wa hali ya juu katika usimamizi wa uchumi wa Tanzania. Licha ya juhudi za wapinzani wake kueneza kampeni chafu dhidi yake, ukweli unabaki palepale—hana doa la ufisadi, hana tuhuma...
  13. JamiiForums Tanzania Sioni maendeleo ya Yanga tena chini ya Eng Hersi Said

    1.mwaka wa 3 wa uongozi mabadiliko ya katiba hayajakamilika mpaka sasa wawekezaji kwa hisa hawajawekeza 2. Hali na morali ya wachezaji ipo chini 3. Mauzo ya jezi yameporomoka 4.wachezaji wengi wanaidai club 5. Mawazo yake sasa yapo kwenye kugombea ubunge aje kuwa naibu waziri wa michezo...
  14. JamiiForums Tanzania Condester Michael Sichalwe (Mundy): Mbunge Kijana Anayeleta Mapinduzi ya Maendeleo Jimbo la Momba

    Na, Laudence Simkonda-Momba Condester Michael Sichalwe, anayejulikana kama Mundy, ni mwanasiasa mchanga na mwenye nguvu akiwakilisha jimbo la Momba mkoani Songwe, kama Mbunge, amejipatia umaarufu kwa michango yake muhimu katika maendeleo ya jimbo lake. Kazi yake imejikita katika kutatua...
  15. JamiiForums Tanzania Kenya, Tanzania, na Uganda zitwaeni Burundi, DRC, na Rwanda ili kuleta amani na maendeleo

    Tokana na chokochoko, migongano, migogoro, vita, na wizi nchini DRC, nashauri mataifa tajwa hapo juu yatie buti kwenye nchi hizo na kuzitwaa ili kuunda taifa moja kubwa na tajiri haraka. Tukizitwaa, DRC itasaidia kutoa ardhi kwa viinchi visivyo na ardhi ya kutosha kama Burundi, Rwanda, na...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wasomali Wana maendeleo ugenini lakini kwao Kuna Hali mbaya zaidi ya Burundi

    Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana ukija TZ wapo wachache ila wamejitahidi kwenye maendeleo, hupendelea biashara za malori. Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya, Burundi kuna nafuu, vita vya wao kwa wao haviishi Huduma za kijamii zipo chini sana umasikini...
  17. JamiiForums Tanzania Maajabu! Aliyekopa kidogo kwa miaka 6 maendeleo yanaonekana, Ila aliyekopa Trilion 35 kwa miaka minne hakuna project ya maana inayoonekana!

    Hakika ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Wakati wa awamu ya tano, nchi ilikuwa busy mno huku miradi ya maendeleo ikirindima kila pembe ya nchi, Kuanzia mradi mkubwa wa bwawa la Nyerere, Mradi wa SGR, mradi wa airport terminal III, barabara, Magufuli bus terminal, nk. Huku yote hayo...
  18. JamiiForums Tanzania RC Chongolo akabidhi gari la Wagonjwa, apongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Momba

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.Daniel Chongolo, amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Momba iliyopo katika Kata ya Chitete, akibainisha kuwa licha ya kasoro ndogo zilizojitokeza, majengo yaliyojengwa ni mazuri na yanaonesha matumizi mazuri ya rasilimali. Alisema hayo wakati wa...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna maendeleo yaliyoboresha maisha ya binadamu zaidi ya sayansi ya tiba na afya

    Katia safari ya maendeleo kama binadamu tumefanya mengi ya kustaajabu, kuanzia kuvumbua vifaa vya mawasiliano vya masafa ya mbali mpaka roketi lakini hamna cha msingi tulichofanya zaidi ya maboresho ya sayansi ya matibabu na afya Wanasema kabla ya mageuzi ya matibabu wastani wa kuishi dunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…