maelfu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    Wanaua mmoja wanaongezeka maelfu ya wananchi wanazidi kuchochea moto siku yao ya mwisho imefika

    Wanaua mmoja wanaongezeka maelfu ya wananchi wanazidi kuchochea moto siku yao ya mwisho imefika. Kutekwa na kuuawa kwa watanzania kote nchini hakujasaidia bali kumeongeza mzozo na upinzani zaidi soon tutawafurusha wauwaji.
  2. Genius Man

    Tarime: Wananchi wameandamana na jeneza wakiimba Samia muuaji baada ya mwenzao kudaiwa kuuawa

    Nyomi la watanzania wameonekana leo Tarime wakiwa wameandamana na jeneza wakiimba Samia muuaji baada ya mwenzao kuuawa. Aidha kumekuwepo na mwendelezo wa mauaji na utekaji nchini Tanzania wa kiholela ambao una mfungamano na kuungwa mkono na Serikali ya Samia.
  3. The Palm Beach

    Hotuba ya Rais Samia kuuaga mwaka 2025 yazua mjadala. Aendelea kukebehi maelfu ya waliouawa. Yadaiwa si halisi, imetengenezwa kwa Akili Mnemba (AI)

    https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9 Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe 31/12/2025 masaa machache kabla ya kuingia mwaka mpya 2026 imezua balaa na mjadala makubwa kuhusu uhalisia...
  4. Genius Man

    Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini

    Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini. Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume cha sheria kwa hirq zake.
  5. Abraham Lincolnn

    PostGE2025 Kabla ya Oktoba 29 watu walishasema uchaguzi huu usifanyike kwanza, lakini ombi lao lilikataliwa

    Luka 13:32 Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: ‘Leo na kesho ninafukuza pepo na kuponya wagonjwa, na siku ya tatu nitakamilisha kazi yangu.’ Kabla ya uchaguzi, Wati walishasema uchaguzi huu usifanyike kwanza, Tupishe njia za haki zisimame vyema, Ombi hilo likakataliwa...
  6. Bawabu wa pili

    Rwanda: Kagame ayafungia maelfu ya makanisa ya Kiinjili

    Serikali ya Rwanda imechukua hatua ya kufunga maelfu ya makanisa ya kiinjili nchini humo, kufuatia ongezeko lake la kasi ambalo limeibua wasiwasi miongoni mwa mamlaka za serikali. Mamlaka zimeyakosoa makanisa hayo kwa kuyataja kuwa yamepoteza mwelekeo wake wa msingi, yakidaiwa kugeuka kuwa...
  7. Genius Man

    Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu

    Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu Mauaji utekaji sio siasa, wewe unapaswa kwenda jela.
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    PostGE2025 Video: Gen Z Mwanza waandamana, wafikisha mabango yenye ujumbe kwa JWTZ

    Hii ndio hali huko Mwanza vijana wakiandamana kwa amani barabarani, wengine wakitoa dukuduku zao mbele ya Jeshi la Wananchi (JWTz)
  9. B

    PostGE2025 Eti yaliyotokea "yametutia doa kidogo." Damu za maelfu kumwagika ni doa kidogo? Unakosa utu kiasi hicho?

    Watu wamekufa kwa maelfu yeye anasema imetutia doa kidogo. Anajaribu ku minimize ukubwa wa skandali la mauaji. Hana utu hata kidogo. Na hili la kusema itabidi atumie rasimali za ndani ni janja janja ya kutuandaa ki saikolojia ili auze, agawe, na kuhondomola ardhi na migodi na misitu na mali...
  10. M

    PostGE2025 Rais Samia: Upigaji kura ulirahisishwa sana! Iliwafanya Waangalizi wa Uchaguzi kudhani wananchi hawakujitokeza kupiga kura

    Rais Samia amesema kuwa utaratibu wa kuongeza vituo vingi vya kupigia kura ulisaidia sana kupunguza msongamano katika vitu hivyo, hivyo upigaji kura kurahishwa sana na haukuchukua muda mwingi wa wananchi kama ilivyozoeleka, jambo lililowafanya baadhi ya waangalizi wa uchaguzi kudhani wananchi...
  11. DuaZaMama

    PostGE2025 BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
  12. The Palm Beach

    PostGE2025 AFP: Siri yafichuka, Kondo na Mabwepande ndiko yaliko makaburi ya halaiki ilikozikwa maelfu ya miili waliouawa wakati wa MO29

    https://youtu.be/B1QPlZM3_og?si=GqpjmHKa1Z6nkMB6 Wameanza kutajana wao wenyewe na kutoa Siri walizodhania ni siri; Shirika la habari la Ufaransa (AFP) limeongea na baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya serikali ya Samia na CCM na kufichua Siri kuwa, maelfu miili ya halaiki ya waliouwawa...
  13. Genius Man

    Picha hizi zinasambaa mitandaoni kuwa Hawa ndio wauwaji waliouwa maelfu ya wananchi kwa kuvizia 29 October

    Picha hizi zinasambaa mitandaoni kuwa Hawa ndio wauwaji waliouwa maelfu ya wananchi kwa kuvizia 29 October ich
  14. Course Coordinator1

    Tetesi: Watu hawa wanahusika na mauwaji ya maelfu ya Watanzania

    Bila kupepesa macho si chini ya Watanzania elfu mbili waliouwawa kwa risasi za moto na pamoja na mateso juu. Baadhi walipigwa na kuvunjwa miguu, mikono, mbavu na hata mikono. Ghasia haikuwa shida , shida ilikua ni jinsi ya kuzuia ghasia hizo, mfano ikiwa kwa sasa kuna mamia ya watu...
  15. R

    Maelfu waandamana Ubelgiji kupinga Mageuzi ya Serikali ya kubanwa kwa Matumizi

    Maelfu ya watu wamejitokeza barabarani jijini Brussels, Ubelgiji, wakishiriki katika mgomo wa kitaifa kupinga mageuzi ya serikali na hatua za kupunguza matumizi, ambazo zimepelekea usafiri wa anga na wa umma kusimama Vyama vikubwa vitatu vya wafanyakazi nchini humo vimeungana kulalamikia sera...
  16. R

    Maelfu wamuunga mkono mpinzani wa Rais Paul Biya wa Cameroon

    Maelfu ya watu wamekusanyika katika jiji la Maroua, kaskazini mwa Cameroon, kumuunga mkono mgombea wa upinzani Issa Tchiroma Bakary, siku chache kabla ya uchaguzi wa urais utakaofanyika Oktoba 12, 2025 Hii inajiri wakati Rais Paul Biya , mwenye umri wa miaka 92, anatafuta kuendeleza utawala...
  17. L

    Rais Samia Akoshwa Na Mapokezi Ya Maelfu ya Wana Manyara. Aahidi Kuwatumikia Kwa Uaminifu na Weledi wa Hali ya Juu.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amekoshwa...
  18. CARIFONIA

    Kariakoo ni fulsa ya kubadilisha maisha ya maelfu ya watanzania

    🌍 Kuibua Upya Kariakoo: Kutoka Soko la Jadi Hadi Kitovu cha Biashara ya Kidigitali Afrika Kwa muda mrefu Kariakoo limekuwa moyo wa biashara nchini Tanzania, likihudumia si Dar es Salaam pekee bali pia mamilioni ya watu kutoka Afrika Mashariki na Kusini. Lakini katika dunia ya sasa ambapo karibu...
  19. K

    GE2025 Maelfu ya generation Samia wamhakikishia Samia kimbunga cha ushindi

    MAELFU YA GENERATION SAMIA WAMHAKIKISHIA SAMIA KIMBUNGA CHA USHINDI Mandhari ya Dodoma leo yamewaka moto wa shangwe na hamasa baada ya maelfu ya vijana wa Generation Samia kujitokeza kumsindikiza Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
  20. U

    Maelfu wahudhuria Mazishi ya majenerali wa Iran waliouawa na Israel kwenye mapambano ya siku 12

    Thousands line streets to mourn Iranian generals, nuclear scientists killed during war with Israel By AP Today, 8:34 am Mourners gather in Enghelab Square to attend the funeral ceremony of the Iranian army generals, nuclear scientists and their family members who were killed in Israeli strikes...
Back
Top Bottom