Mwandishi mwenye asili ya Tanzania aliyeshinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka 2021 Abdulrazak Gurnah, hivi karibuni alitembelea China na kuzungumza na mwandishi wa China Mo Yan, ambaye pia ni mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Katika miaka ya hivi karibuni, mawasiliano ya utamaduni kati ya...
Afya, ustawi na kushamiri kwa Demokrasia, Haki, Usawa na Maendeleo yoyote duniani mathalani kiuchumi, kijamii au kisiasa, huchochewa sana kwa namna moja ama nyingine, na uwepo na msukumo wa upinzani imara wenye, sauti moja , nia moja, mipango madhubuti, lengo na uelekeo mmoja.
Tumuombe Mungu wa...
Maelewano na mshikamano ni Priceless - Kwahio chochote kile hata kama kina faida kiasi gani za kifedha hakiwezi kuziba pengo litakaloweza kuachwa na Jamii kutokuelewana....
Mfano kuna Wadau walienda vijijini kuwajengea watu nyumba za Kisasa kwa gharama kubwa na zingekuwa faida sana kwao (mwisho...
Be warned, This post is strictly for God's Believers. If you'll find it useless, you're strongly advised not to provoke or outrage targeted Audiences.
Natumaini nyote mko salama, and so do I.
Tatizo la wa toto kutoku[patina na wazazi lipo sana, haijalishi ni mzazi wa kiume au wa kike wengi...
Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara...
Watu wengi wanaingia kwenye ndoa kwa matarajio kuwa maisha ya ndoa ni raha mustarehe. Mnaelewana na mwenza wako nae atakua rafiki yako.
Ukweli ni kuwa, ndoa ni box tupu, unahitaji kuwekeza ili uvune. Hakuna mapenzi kwenye ndoa bali ni watu wawili wanaopendana wanaingia kwenye ndoa. Ingiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.