Kwako wewe uliyefanikiwa labda kupata ndoa bora,kupata maisha mazuri,kufanikiwa kupata kazi nzuri, kufanikiwa kuwa na biashala, kufanikiwa kuwa na gari nzuri na hata namna ya kuishi n.k ebu tunaomba mtupe mawaidha madogo zenu nini tufanye na nini tuache ili tufikie na sisi level zenu, maana...