madini

Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني‎) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Tanzania ipo tayari kwa uwekezaji utakaoongeza thamani ya Madini ndani ya Nchi

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati lazima ufanyike Tanzania. Mavunde ameyasema hayo leo Bali, Indonesia wakati wa majadiliano juu ya manufaa ya Madini Mkakati katika...
  2. JamiiForums Tanzania Kikao cha Taasisi za Fedha na Waziri wa Madini, Mavunde

    ANTHONY MAVUNDE, WAZIRI WA MADINI, TANZANIA Mwaka jana mwezi Septemba, nilifanya kikao na Taasisi za Fedha na Benki zote nchini chini ya mwamvuli wa Taasisi ya Umoja wa Benki nchini (TBA). Madhumuni ya kikao kile ilikuwa ni kujadiliana kwa pamoja namna nzuri ya kuifikia sekta ya madini kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa

    Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa Tangu kuingia madarakani kwa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, mwaka 2021 kumekuwa na ongezeko la 3.6% ambapo mwanzoni mwa mwaka 2021 ilikuwa 7.3% na kwasasa 2024 ni 10.9%. Ongezeko la Masoko a Vituo vya Ununuzi wa Madini Kutokea mwaka...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ITUPIE JICHO WIZARA TATU:-KILIMO, MADINI NA NISHATI ROSTAM AZIZ YUMO.

    Umakini unahitajika wizara Tatu, upigaji wa Rostam Aziz na kutumia picha alizopiga na Rais kutisha wawekezaji wazawa. (1). Wizara ya Kilimo, wizara hii sitashangaa na sikushangaa sakata la sukari na makarate ya kugawa vibali vya kuagiza Sukari na kampuni za simu, stationery nk Waziri wa kilimo...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kweli biashara za ziwani au baharini na madini bila uchawi hautoboi?

    Habari wakuu, hivi ni kweli biashara hizi bila ndumba hutoboi? Sisi wengine tupo kati kwa Mungu kama hatupo na kwenye ndumba ni weupe kabisa ila ndio hivyo tunaforce hivyo hivyo. Mimi nimeanza biashara za ziwani ila mambo ninayoambiwa hadi naogopa, wanasema watu wamekuja na mitaji yao wamepotea...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango aelekeza Wizara ya Madini kusimamia uvunaji wa madini ya kimkakati Nchini

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo. Mh. Dkt. Mpango ameyasema hayo leo Agosti 22, 2024 Katika eneo La Mpwayungu,Wilaya ya Chamwino-Dodoma wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango Aielekeza Wizara ya Madini Kusimamia Madini Mkakati kwa Manufaa ya Watanzania

    DKT. MPANGO AILEKEZA WIZARA YA MADINI KUSIMAMIA MADINI MKAKATI KWA MANUFAA YA WATANZANIA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo. Mh. Dkt. Mpango...
  8. JamiiForums Tanzania TRA Kukutana na Wadau wa Sekta ya Madini Kujadiliana Maboresho Sekta ya Madini

    TRA KUKUTANA NA WADAU WA SEKTA YA MADINI KUJADILIANA MABORESHO YA SEKTA YA MADINI -Kuhusisha Watoa huduma,Wachimbaji wakubwa na wadogo -Waziri Mavunde aipongeza Wizara ya Fedha kwa ushirikiano -Wizara ya Madini yajipanga kukusanya Trilioni 1 mwaka 2024/25 Dar es salaam Mamlaka ya Mapato...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa madini

    Habari za wakati huu wakuu humu ndani
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji Sekta ya Madini Tanzania Kuwavuta Wawekezaji Duniani Kote

    MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI TANZANIA KUWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE - MAVUNDE Asema Tanzania Iko tayari kwa Uongezaji Thamani Madini 📍Dar es Salaam. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini: Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji utaleta fursa mpya za uwekezaji na uhamishaji wa Teknolojia

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika Dar es Salaam Novemba 19 hadi 21, 2024. Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, katika...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yakabidhi gawio la mrahaba vijiji 5 wilayani Tarime Barrick yakabidhi gawio la mrahaba vijiji 5 wilayani Tarime

    Viongozi wa vijiji vilivyopata gawio la mrahaba wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mavunde na viongozi wa Barrick na Serikali mkoani Mara. Kampuni ya Barrick nchini yenye ubia na Serikali kupitia kampuni ya Twiga Minerals kupitia mgodi wake wa North Mara, imekabidhi gawio la shilingi...
  13. JamiiForums Tanzania Juhudi za Serikali Zawezesha Wachimbaji Wadogo wa Madini Kuaminika na Taasisi za Fedha

    JUHUDI ZA SERIKALI ZAWEZESHA WACHIMBAJI WADOGO KUAMINIKA NA TAASISI ZA FEDHA ● Kiasi cha Shilingi Bilioni 10 zakopeshwa kwa wachimbaji wadogo kutoka CRDB ● Ni mkopo wa Mtaji,manunuzi ya mitambo na utoaji huduma migodini - Waziri Mavunde aipongeza Benki ya CRDB kwa kuinua sekta ya madini -...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutumia ‘drone’ kwenye uchimbaji wa madini Kijiji cha Lemishuku

    WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amefanya ziara kukagua shughuli za uchimbaji madini na kusikiliza changamoto za wachimbaji wadogo katika eneo la Lemishuku,Wilayani Simanjiro eneo ambalo ni maarufu kwa uchimbaji wa madini vito ya Green Garnet Waziri Mavunde amepata nafasi ya kukagua uwekezaji...
  15. JamiiForums Tanzania Wadau Waitikia Wito wa Rais Dkt. Samia wa Kuongeza Thamani Madini Nchini

    WADAU WAITIKIA WITO WA RAIS DKT. SAMIA WA KUONGEZA THAMANI MADINI NCHINI -_Waziri Mavunde aweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanda cha kuchakata madini Kinywe(Graphite) -Zaidi ya Ajira 300 za moja kwa moja kupatikana -Tanzania kuwa mmoja ya wazalishaji wakubwa wa madini kinywe Afrika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tuko Busy na vita ya ukraine, yanga, simba, kuwahoji viongozi faida ya madini, bandari, wala hatutaki tunawasifu na kuwachekea,

    Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono, Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu, Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru, Tuhoji mapato viwanja vya ndege...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali yafuta maombi 2648 ya utafutaji wa madini kwa kutokidhi vigezo vya Sheria ya Madini

    Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kutokana na kutokidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini Sura 123. Hayo yamesemwa leo Agosti 14 , 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wakati akiwasilisha taarifa kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye sunstone, kama unajua location au mtu. Zinahitajika

    Mwenye sunstone na uko Dar es Salaam, Morogoro karibu tuzungumze Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone. Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze. Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
  19. JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini Yaanza Utekelezaji wa Programu ya Wakina Mama na Vijana (MBT) kwa Vitendo

    WIZARA YA MADINI YAANZA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA WAKINA MAMA NA VIJANA (MBT) KWA VITENDO •Leseni 4 zakabidhiwa kwa kikundi cha Mshikamano Women •Waziri Mavunde awapongeza kwa kujenga Zahanati na kununua Ambulance •Aitaka Halmashauri ya Msalala kupunguza ushuru kwa wachimbaji wadogo •Rais...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tume ya Madini inatoa leseni za wachimbaji wadogo kwa upendeleo na kisingizio cha kutokuwepo Bodi

    Hizi leseni mbona zinatolewa kwa upendeleo na maombi yetu yanaambiwa hayasikilizwi kwa kuwa hakuna board, wote wamestaafu huku wachimbaji wengine wakipewa leseni Waziri Mavunde hebu tusaidie na sie tuweze pata leseni tuendele na kazi sababu ukisema tusubiri board ipitishe inakuaje wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…